tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkazamoyo

    TFF yakanusha kuhusika kwenye kualika watu kwenye mkutano wa CAF

    Taarifa ya Tff kuhusina na yanga kutokualikwa Pia soma https://www.jamiiforums.com/threads/kama-yanga-haikualikwa-basi-ni-kweli-tff-ina-chuki-mgogoro-dhidi-ya-yanga.2009540/unread
  2. M

    Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
  3. Lupweko

    Waraka wa Yanga ukiwasihi mashabiki wake kuiheshimu TFF na Serikali

    Jamani wananchi, uongozi umeshasema tuiheshimu TFF na Serikali, ikiwa ni pamoja na kuwa watulivu kwa maamuzi yoyote yanayotolewa na mamlaka hizo za juu
  4. Jidu La Mabambasi

    Kama Taasisi, TFF acheni kulumbana na Haji Manara, he has nothing to lose!

    Hivi kribuni Nd Wallace Karia wa TFF kaingia ligi ya kujibizana na "crazy" Haji Manara, msemaji wa Yanga. Katika tafrani hili linaloenda kukua chizi huyu Manara sasa kawaingiza tope TFF. Lakini kuna msemo maarufu kuwa "Never argue with fool, people might not notice the difference". Na hao...
  5. N

    Whatsapp group wanayanga wakimtishia maisha Wallace Karia wa TFF wadai atahamia Lugalo jeshini kwa usalama wake

    Naam Bugga Buggati limefanikisha kuhamishia matatizo yake kwenye taasisi, baada ya Barbara kukataa ujinga wake huo haswa pale aliposema mashabiki wa yanga wasiingie kwenye mechi za kimataifa za simba na uongozi wa Barbara ukatoa press release kusikitishwa na matamko yake hayo na ya kuyakana Kwa...
  6. Mganguzi

    TFF wanasheria za mkoloni ni mungu watu. Bodi ya Ligi ni kama mzinga wa nyuki. Yanga awamu hii msikubali na kinachoenda kutokea

    TFF na bodi ya ligi wanajificha kwenye kanuni na vijisheria kandamizi. kutisha na kufungia fungia watu hovyo., Hawajui demokrasia na uhuru wa maoni. Siraha Yao ipo kwenye kanuni na fungia fungia. Nenda pale epl, bundersliga, hutaona michezo ya kitoto kama ya viongozi wa bodi sijui kamati ya...
  7. LIKUD

    Tff mkitaka soka la wanawake bongo liwe juu tengenezeni wachezaji kariba ya jezi namba kumi wa Yanga Princess

    Nianze kwa ku declare interest, sijawahi kuwa shabiki wa soka la wanawake hata kidogo. Nilipokuwa mtoto mdogo nilikuwa nikiona wanawake wanacheza mpira nilikuwa nawaonea huruma kwa sababu nilidhani walikuwa wanaumia wakicheza. Nimekuwa mtu mzima still bado sijawahi kuupenda mchezo huu kwa...
  8. Mganguzi

    Kamati ya maadili ya TFF ,Kwa hili la Manara mmekurupuka.

    Inavyoonesha Kuna mtu amemkamia sana manara ,angalia barua ya tff muda iliyoanza kusambaa,inaonekana imeandikwa Saa Moja asubuhi au Jana ileile usiku, swali ni saangapi wamekaa na kupitia tukio Zima hata kukubaliana eng hersi,na manara wafunguliwe kesi?inaonyesha ni utashi wa mtu Mmoja ndie...
  9. Lycaon pictus

    Raia wa kawaida ninaweza kuitwa na kamati ya maadili ya TFF?

    Ni watu gani wanaweza kuitwa na kamati ya TFF? Hivi kwa sasa Haji Manara kimpira si raia wa kawaida? Raia wa kawaida anaweza hukumiwa na kamati ya maadili ya TFF?
  10. S

    Tupo kama kilele cha Wkii ya Wananchi kinawshusu TFF. Kama haiwahusu, wanawzaje kuwa na mamlaka nalo?

    Kwanza nitamke wazi kuwa mimi ni shabiki wa Yanga kabla ya kuandika ninachotaka kukiandika hapa. Tukirudi kwenye mada, TFF kama shirikisho la soka hapa nchini, ni wazi limeundwa kwa mujibu wa sheria na shughuli zake zinafahamika na bila shaka lina mipaka yake Kwa misingi huo, si kila tukio...
  11. Vawulence

    TFF kumchakaza atakayeshirikiana na Manara

    Manara amekuwa akiendelea kuropoka licha ya adhabu anayotumikia. Amekuwa akilalamika kuwa kaonewa licha ya kupewa siku 21 za kukata rufaa. Ushahidi ambao angeutumia kwenye rufaa amekuwa akiusema kwenye press. Licha ya adhabu bado yupo kwenye denial haamini kama kafungiwa kweli. Yanga...
  12. Kitimoto

    Basi la TFF kukamatwa, kupigwa mnada kulipa deni

    BAADA ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam kuliamuru Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kulipa deni la Sh 56,446,700, wakili wa Taasisi za Filbert Bayi, Karoli Tarimo amefungua maombi kukazia hukumu akiiomba mahakama iruhusu kulikamata basi la TFF lenye namba za usajili T581 CGR...
  13. Cicadulina

    TFF yamjibu Haji Manara

    Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kidao Wilfred amesikitishwa na madai ya aliyekuwa Ofisa wa klabu ya Yanga, Haji Manara kuwa alimuomba msamaha kwa maelezo kuwa Rais wa TFF, Wallace Karia alifanya makosa. Kidao amesema maneno hayo si ya kweli, na Sekretarieti ya TFF...
  14. Replica

    Haji Manara: Mimi bado ni Msemaji wa Yanga, Hukumu ilikuwa ni ya kuchafua brand yangu, adai Rais Karia alitoa maneno machafu

    Manara: Sikuwa nataka baada ya kusomwa hukumu ile niseme lolote wala sio kawaida yangu lakini kwakuwa hukumu ile ilikuwa na mambo mengi ya kuchafua jina langu, kuharibu reputation na image yangu lakini ya kuififisha brand yangu ambayo nimeijenga kwa jasho jingi na kwa miaka mingi. INAENDELEA...
  15. Roving Journalist

    TFF yamfungulia mashitaka Kocha Azam FC kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi

    Sekretarieti ya Shirikisho la Soka Tanzania imemfunguli mashitaka Kocha wa Azam FC U-17, Mohamed Badru mbele ya Kamati ya Maadili kwa madai ya kuwasilisha vyeti visivyo sahihi. Tarehe ya kusikilizwa kwa shauri hilo itapangwa na Kamati ya Maadili ambayo tayari imeshapokea malalamiko hayo.
  16. Petro E. Mselewa

    Swali chokonozi: TFF inaweza kumfungia mtanzania kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi?

    Shirikisho la soka hapa nchini almaarufu kama TFF linaratibu, kuongoza na kusimamia soka ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. CAF ni kwa Afrika nzima na FIFA ni kwa dunia. TFF inatekeleza majukumu yake, pamoja na mambo mengine, kupitia Kamati na uongozi wake. Jana, Kamati ya Maadili...
  17. GENTAMYCINE

    Angetile Osia (Katibu Mkuu wa TFF uliyetumbuliwa) na Rais wa TFF Karia tumekuchoka na Chuki

    Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) umekuwa na tabia za Kipuuzi na Kishamba mno hasa za kupenda Kujitokeza kutolea Ufafanuzi wa Hukumu na Sheria za TFF na Kamati za Maadili hasa pale ikiwa inaihusu Klabu ya Yanga. Angetile Osiah (Katibu Mkuu wa TFF Uliyetumbuliwa) kama kweli una...
  18. Boss la DP World

    Ukweli Mchungu: Haji Manara ni mkubwa kuliko TFF

    Huu ndiyo ukweli Mchungu 1. Watanzania wengi wanamjua Haji Manara na hawaijui TFF wala viongozi wake. 2. Haji Manara amechangia uhamasishaji wa watu kupenda soka, nakumbuka kipindi kile akiwa Simba na Jerry Muro akiwa Yanga ilikuwa burudani murua sana. 3. Japo Haji amefungiwa lakini namsihi...
  19. Lycaon pictus

    Mpira unaweza kufanyika nje ya TFF?

    Kuna hayamambo TFF inafungiamtu kujihusisha na mpira. Nauliza kama mpira hauwezi kufanyika nje ya TFF. Mtu anaweza kuanzisha ligi ambayo TFF hawahusiki kwa lolote?
  20. Allen Kilewella

    TFF wamewadhulumu Costal Union

    Mfumo wa kuendesha mashindano ya FA Cup ya Tanzania yamekaa kidhulumishi sana. Fainali ya mwaka huu ilifanywa kati ya Yanga na Coastal Union ya Tanga. Yanga wakashinda na kuwa mabingwa. Sasa Coastal Union wakaishia kushiriki Fainali ya FA bila ya kupata manufaa ya kushiriki kwenye mashindano ya...
Back
Top Bottom