Habari zenu wana JF
Kuna nyumba inauzwa milioni 45 maeneo ya Kivule, ina sebule, dinning, jiko, vyumba vitatu vya kulala na kimoja master. tiles kote, madirisha ya aluminium, gril, matanki ya vyoo, maji ndani na umeme upo tayari, n.k. Nataka niendek benki nichukue mkopo nikanunue, je napigwa au...