Kama huna kitu, huna thamani na huo ndo ukweli. Hasa kwa sisi wanaume thamani yetu inaambatana na mafanikio tuliyo yapata kwa juhudi na maarifa yetu.
Vijana wengi tunapoteza valuable time kudiscuss vitu visivyo na manufaa, toka nje kapige kazi, hakuna kitu kitakuja kwa kukaa siku nzima uki...