thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  2. M

    Nimekua disappointed sana na Mtu ambaye nilikua namuona wa thamani sana....ni week sasa Tangu nikutane na hio disappointment

    Wakuu, nimekua disappointed na mtu ambaye tuko very close; nilikua namchukulia kama ndugu yangu wa damu. I was very fond of him yan katika circle yangu ya watu wachache, nilionichagulia, na yeye nilikua namconsider. Dah, gafla bin Vu akanifanyia kitu ambacho nikarealize kumbe mimi ndo nlikua...
  3. Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  4. Kuongeza nauli ya daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600 ni kuishusha thamani Tsh 500

    Katika jambo ambalo nimeshangaa ni hili la kuongeza nauli za daladala kutoka Tsh 500 hadi Tsh 600. Maana yake ni kwamba sarafu moja pekee ya Tsh haiwezi kulipia nauli ya daladala kutoka kituo kimoja hadi kingine. Si hivyo tu kutumia sarafu ya Tsh 500 kwenye nauli inapunguza kuombaomba chenji...
  5. R

    Kazi yenye thamani kubwa kuliko zote Duniani

    Salaam, Shalom!! INTRODUCTION. Sifa kuu ya KAZI, ni iwe halali, pili iwe na malipo ya kuweza kukusustain maisha Yako, yaeza kuwa umejiajiri au umeajiriwa, KAZI ni KAZI, ilmradi mkono uende kinywani. KAZI pia Si Kwa ajili ya kujipatia kipato pekee, KAZI pia ni Kwa ajili ya AFYA pia, ndo maana...
  6. Taratibu za kufuata ili kupunguza thamani za hisa za kampuni

    habarini wanajukwaa natuamini wote ni wazima wa afya na mlio na changamoto mungu awe nanyi katika kila hatua AMEN. Naomba muongozo wa taratibu gani za kufuata ili kuweza kupunguza thamani ya hisa za kampuni. mfano katika memats ya kampuni tuliandika thamani ya hisa moja ni 2 million lakini...
  7. Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

    1: Ingia kwenye ibada ukiwa na ajenda. Usiende kwa sababu watu huwa wanaenda. Jitahidi uwe na hoja na ajenda siriasi ukizopanga kuwasilisha kwa Mungu wako. 2: Usipende kukaa nyuma au mwisho. Ili kuwa mzingativu jitahidi ukae kuanzia siti za katikati kuelekea mbele kwa mnenaji. Usiulize nyuma...
  8. Kuwa mfupi au kuwa na mwonekano mbaya haimaniishi hautafanikiwa, endelea kujikubali na kujipa thamani

    Kuna jambo katika nchi yetu lipo mtu akijiona mfupi au kuwa mlemavu anaamini yeye safari yake ya MAISHA haitokuwa na MAFANIKIO hii sio Kweli ni upotovu. Katika MAISHA ili ufanikiwe unahitaji zaidi utimamu wa kiakili na kulivaa tumaini hata wakati Akili yako na Mwili vitakapokuwa havina Nguvu ya...
  9. Kwanini kifo kisiwe kama zawadi ya thamani ya kumpa mtu?

    Yaani mtu akifanya vema tunampongeza kwa kumuua, Imagine ukifa unapumzika kwa amani. Mihangaiko ya duniani unaiacha, unasahau shida zote za kila siku hutafuti hela , husikii njaa, huna mawazo, kiufupi ni peace tu. Naona kifo ndio ingekuwa zawadi nzuri na ya thamani ya kumpatia mtu aliyefanya...
  10. Ununuzi wa awali wa pointi za matumizi 1,000 zenye thamani ya $10 million kwa bei ya TZS 300,000 tu

    Mradi wa kimapinduzi wa tovuti ya udalali wa mauzo ya bidhaa na huduma kutoka pembe zote za dunia kwa kutumia teknolojia mpya ya private blockchain ijulikanayo kama Hyperledger Besu. Niko mbioni kutengeneza tovuti ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutengenezwa hapa duniani...
  11. R

    Kontena zaidi ya 2 ya Jezi feki zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. Bilioni 2 zakamatwa

    Kontena zaidi ya mbili zenye jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Stars zinazokadiriwa kuwa na thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni mbili zimekamatwa kwenye ghala moja lililopo eneo la Chang’ombe Jijini Dar es salaam huku Mtu aliyeziingiza nchini pamoja na Mmiliki wa ghala lililokutwa na jezi...
  12. Naibu Waziri Kihenzile: Miradi itekelezwe kwa kuzingatia Muda na Thamani ya Fedha

    NAIBU WAZIRI KIHENZILE: MIRADI ITEKELEZWE KWA KUZINGATIA MUDA NA THAMANI YA FEDHA "Nawapongeza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege kwa kuweka taa katika uwanja wa ndege wa Dodoma, uwanja huu kwa ripoti kutoka Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA) inaonesha unashika nafasi ya 4 kwa kuhudumia abiria...
  13. Thamani ya kipa wa Simba mmoroko Ayub ni sawa na Thamani ya kipa wa Yanga Diara wakiwa saba

    Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
  14. Taasisi ya MOI yapokea vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya Uingereza vyenye thamani ya Tsh Bilioni 3

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni. Katika...
  15. Mbunge Condester Sichalwe: Tunauhitaji wa kinu cha kuchakata na kuyaongezea thamani mazao yetu

    Na Laudence Simkonda -Momba Mbunge wa Jimbo la Momba Mheshimiwa Condester Sichalwe (Mundy) ameiomba Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko(CPB) kuanza kuona uwezekano wa kujenga kinu cha kuchakata mazao ili kuyaongezea thamani ndani ya wilaya hiyo. Momba ni Halmashauri mkoani Songwe, ambayo...
  16. Kwanini tunalipwa mgao wa shilingi inayoshuka thamani kutoka kwenye migodi yetu badala ya kuchukua dhahabu isiyoshuka thamani?

    Dhahabu ni pesa isiyoshuka thamani,tangu kuumbwa kwa dunia,dhahabu haijawahi tetereka katika soko la dunia,tukisubiri kugawana pesa baada ya hesabu wajanja watatangaza hasara,na kwa nini pesa na si dhahabu isiyoshuka thamani, tubadili sheria, tugawane Gold Bars(vitofali),Wazalendo wa nchi hii...
  17. Saudi Arabia kuiuza Palestina kwa thamani rahisi sana

    Wakati uchaguzi wa Marekani unakaribia kumekuwepo na habari nyingi kuhusiana na mazungumzo ya kurudisha uhusiano baina ya Saudi Arabia na taifa la Israel. Uhusiano huo umeshindikana kwa miaka yote hiyo tangu kuundwa kwa taifa la Israel mnamo mwaka 1948.Hii imetokana na tawala zote za Saudi...
  18. Mkulima wa nyanya usitupe nyanya zako zilizo kosa soko fanya hivi kuziongezea thamani

    Wakulima wengi wa nyanya wanapata hasara kutokana na kuzalisha nyanya ambazo zimezidi mahitaji ya soko au Sababu nyingine ni uhaba wa masoko ,Kiasi kikubwa cha nyanya zinaoza shambani au sokoni ni kwa sababu wakulima wengi hawana/hawajui jinsi ya kuhifadhi nyanya zao Kwa utafiti wangu...
  19. Balozi Kairuki asema biashara ya China na Tanzania imepanda thamani kutoka Dola za Kimarekani Milioni 200 hadi 600

    Balozi anayemaliza muda wake Nchini China, Mbelwa Kairuki ambaye kwa sasa amepangiwa Kituo kipya cha kazi Nchini Uingereza, amefanya Mahojiano Maalum na Kituo cha TV Mjini Beijing yenye lengo la kupata ufafanuzi wa yale aliyofanya ndani ya miaka sita ya Ubalozi Nchini humo. Balozi Kairuki...
  20. Kushuka kwa thamani ya Shilingi dhidi ya Dola kutaongeza Deni la Taifa kwa karibu Tsh. Trilioni 2

    Tanzania huenda ikatumia gharama kubwa kugharimia deni la Taifa, ikiwa ni miongoni mwa athari zinazosababishwa na kuongezeka kwa thamani ya Dola ya Marekani dhidi ya Shilingi. Hali hiyo ina athari hasi katika uchumi wa nchi kwa sababu hivi sasa inahitajika shilingi nyingi zaidi ili kupata Dola...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…