the chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ili la Anger linaumiza, je wako wangapi? 29/10/2025, ebu ingia the chanzo yaani nimejikuta nalia,ila machozi yangu hayajadodondoka bure.

    Baada ya tarehe 29/10/2026, kupita Kuna clip mbili zinasambaa kwa kasi, ya kwanza ni ya Bwana mmoja akilalamika mwanae kuuwa tarehe 29/10/2025,analalamika kutokupewa mwili wa mwanae ambaye alimkuta mochwari na baada ya siku kadhaa hakumkuta mwanae hata hapo mochwari maswali yake U wapi mwili...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Yale mahojiano yake na 'The Chanzo' yameondoka naye? Inaonekana alikuwa anajua mengi

    Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.
  3. JamiiForums Tanzania Khalifa wa The Chanzo: Vyombo vya Jinai vinaichunguza Tanganyika Law Society sababu imegoma kupiga magoti kwa watawala

    Mhariri wa The Chanzo Khalifa ametoa wito mzito kwa wananchi kusimama kidete kuilinda Taasisi ya Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), akionya kuwa jitihada zinazofanywa na serikali na mamlaka zilizopo madarakani zinalenga kuifanya TLS ipoteze sauti yake huru na kuingia kwenye safu za vyama...
  4. JamiiForums Tanzania Naumizwa na ujinga huu, nifanyeje? Mtu kama Balile anashindwa kujibu SWALI la Kharifani wa the CHANZO real? Hakuna kitu kibaya kama kusoma ushakuwa

    Miaka mingi iliyopita nikiwa nimehitimu elimu ya juu, nilikutana na Dada mmoja naomba nimtaje anajulikana kwa JINA la ivone Kamuntu, Dada huyu Mimi nilisoma nae o level pale Airwing, tulifaamiana maana wote tulikuwa serikali ya wanafunzi naweza sema yeye alinujua sana Mimi maana Mimi zama zile...
  5. JamiiForums Tanzania Ebu nitajie chombo cha habari bora Tanzania kuliko The Chanzo

    Achana hayo mastudio wanayo yapaka paka rangi kuwanogeshea Achana na hao watangazaji wanaogambaniwa kila baada ya miezi 6 unamkuta ameenda pengine The chanzo ndio iliobaki kuuliza maswali magumu, taarifa zilizo hardcore, taarifa zilizo deep, blockbuster interviews, etc
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, hii taarifa ni ya The Chanzo? Je, ni kweli Mapenzi ni chanzo kifo cha mtoto wa Mange

  7. JamiiForums Tanzania The Chanzo: Tanzania yauza Afrika Mashariki kuliko inavyonunua

    Tanzania ina trade surplus dhidi ya nchi jirani — hii inamaanisha inapata fedha zaidi kutoka mauzo ya nje kuliko inavyotumia kwa uagizaji kutoka nchi hizo. Nchi zinazotoa surplus kubwa zaidi ni DRC, Rwanda, Uganda na Burundi. Hii inaonyesha Tanzania imekuwa muuzaji mkuu wa bidhaa (hasa bidhaa...
  8. JamiiForums Tanzania TCRA imeitaka media ya chanzo kushusha video za gwajima kwamba bado hawajatoa ufafanuzi mbona jamiiforums na BBC hawajaambiwa washushe na ufafanuzi ba

    TCRA imeitaka media ya chanzo kushusha video za gwajima kwamba bado hawajatoa ufafanuzi mbona jamiiforums na BBC hawajaambiwa washushe na ufafanuzi bado. Nimesikia heti wanadai kwamba chanzo imeegea tu upande mmoja kwamba maelezo kwenye video ya gwajima hayajatolewa ufafanuzi na serikali, sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…