Umtama Mula
JF-Expert Member
- Jan 11, 2021
- 291
- 798
Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.
Inasikitisha sana.Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.
Alikuwa mgonjwa tu.Kwa ile hali huenda ni Natural Death, lakini kwa hali ya hii nchi ya sasa lolote lawezekana.
Ni kweli alikuwa mgonjwa, hata hivyo usisahau Samia alikwenda Russia, na hao ndio mabingwa wa vifo vya sumu. Wasiwasi ndio akili.Alikuwa mgonjwa tu.
Ila siasa za sasa ambazo wanazifanya upinzani zinageuza kila kitu kuwa uhasama.
My fiends, ladies and gentleman,Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.

Tupe Link...Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.
Ccm ipi, mtu anaongea tu km vile kichwani amejaza kinyesi..Watu wa ccm wazuiwe kununua sumu.maana siyo kwa ukatili huyu.kipindi kile kidogo tu wammalize philiph mangula akawahi hospital leo tena wamefanya
Chanzo cha uhasama ni cccm na polisi wao mbwa wewwAlikuwa mgonjwa tu.
Ila siasa za sasa ambazo wanazifanya upinzani zinageuza kila kitu kuwa uhasama.
..tell that lie your kids at home, bcs you feed them..whatever you speak no one can argue.My fiends, ladies and gentleman,
it's best to avoid nonsensical narratives following the passing of the deceased, who had long been battling health challenge just as any other human being might.
further more,
judging by his face, facial expressions, voice, and outward appearance, it was clear that what eventually happened could have occurred at any moment.
the health of the man appeared to be facing even greater challenges.
May the deceased rest in peace.![]()
Kama huelewi basi ccm vichwa vyenu ni vigumuCcm ipi, mtu anaongea tu km vile kichwani amejaza kinyesi..
Tiss not ccm..usiongee km kichwan unatumia kufuga nywele.Chanzo cha uhasama ni cccm na polisi wao mbwa weww
..tiss sio ccm, bado unaota kuna ccm zama hiziKama huelewi basi ccm vichwa vyenu ni vigumu
Cccm na polisi wao ndio chanzo cha uovu wote.....kwasababu ni viongozi wa cccm ndio wanaotoa amri...hata ukirejea kauli kama bao la mkono liliongelewa na Tiss au katibu mwenezi wa cccm?Tiss not ccm..usiongee km kichwan unatumia kufuga nywele.
..endelea kutumia kichwa kufuga nywele.Cccm na polisi wao ndio chanzo cha uovu wote.....kwasababu ni viongozi wa cccm ndio wanaotoa amri...hata ukirejea kauli kama bao la mkono liliongelewa na Tiss au katibu mwenezi wa cccm?