Mnachihanguu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 266
- 331
Wewe tumia kichwa kuhifadhi wanzuki..endelea kutumia kichwa kufuga nywele.
Wewe tumia kichwa kuhifadhi wanzuki..endelea kutumia kichwa kufuga nywele.
calm down and stay quiet then gentleman..tell that lie your kids at home, bcs you feed them..whatever you speak no one can argue.

Ndugai pia alikuwaga mgonjwa.Ni kweli alikuwa mgonjwa, hata hivyo usisahau Samia alikwenda Russia, na hao ndio mabingwa wa vifo vya sumu. Wasiwasi ndio akili.
Sema Mangula ana bahati hakuwa na health issues. Hizo sumu zikikukuta na health issues kama Ndugai, Ben Mkapa na huyu Alute huponi.Watu wa ccm wazuiwe kununua sumu.maana siyo kwa ukatili huyu.kipindi kile kidogo tu wammalize philiph mangula akawahi hospital leo tena wamefanya
Kwa umri wa miaka 40 kwenda juu,ugonjwa ni kawaida hasa usioambukiza lakini Kuna watu wamejipa majukum ya kuwapa wengine mserereko wa kwenda Mbinguni!!Alikuwa mgonjwa tu.
Ila siasa za sasa ambazo wanazifanya upinzani zinageuza kila kitu kuwa uhasama.
Ccm wabaya sanaSema Mangula ana bahati hakuwa na health issues. Hizo sumu zikikukuta na health issues kama Ndugai, Ben Mkapa na huyu Alute huponi.
King Kong III Ngwathra Chivundu
The monster is here!My fiends, ladies and gentleman,
it's best to avoid nonsensical narratives following the passing of the deceased, who had long been battling health challenge just as any other human being might.
further more,
judging by his face, facial expressions, voice, and outward appearance, it was clear that what eventually happened could have occurred at any moment.
the health of the man appeared to be facing even greater challenges.
May the deceased rest in peace.
![]()