alute mughwai lissu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Yule Kiongozi alotajwa na Alute Mughwai Lissu, ni yule jamaa mvaa bendera ya Tanzania', Middleman akiwa Lema

    Lissu alishasema anataka Haki, Ukweli, Uwajibikaji. LISSU anapigania MFUMO, anaelewa yeye ni Mti Mkavu , endapo ataweka ubinafsi mbele, nini itakua Hatima ya Taifa lake na Watanganyika??.
  2. U

    JamiiForums Tanzania Yale mahojiano yake na 'The Chanzo' yameondoka naye? Inaonekana alikuwa anajua mengi

    Kaka mtu ameondoka bila kujua hatima ya mdogo wake.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

    Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV. Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kaka yake Lissu, Mughwai: Nilifuatwa na kiongozi wa serikali niandike barua kumuombea msamaha Lissu

    Kaka wa Tundu Lissu, ambaye anaitwa Alute Mughwai Lissu amefichua kwamba mnamo mwezi Disemba mwaka jana 2025, aliwahi kufuatwa na moja ya viongozi wa juu wa Serikali, akimtaka kuandika barua kwa ajili ya kumuombea msamaha Lissu ili kesi yake ya uhaini iweze kumalizika kibinadamu. Mzee Alute...
Back
Top Bottom