Yule Kiongozi alotajwa na Alute Mughwai Lissu, ni yule jamaa mvaa bendera ya Tanzania', Middleman akiwa Lema

Yule Kiongozi alotajwa na Alute Mughwai Lissu, ni yule jamaa mvaa bendera ya Tanzania', Middleman akiwa Lema

Unalazimisha kuandika ujinga kwa nguvu ndio maana uzi wa kwanza umefutwa.

Upuuzi mwingi usio na ushahidi wowote zaidi ya hisia tu!.
Do not rush at conclusion! Inawezekana ana clue! Haiwezekani akafa baada ya mahojiano. A right thinking member of a society is justified to direct his mind in that direction!
 
Lissu alishasema anataka Haki, Ukweli, Uwajibikaji.

LISSU anapigania MFUMO, anaelewa yeye ni Mti Mkavu , endapo ataweka ubinafsi mbele, nini itakua Hatima ya Taifa lake na Watanganyika??.
Hivi katika hali kama hiyo LEMA alivuta pesa ngapi? Billions? Trillion? I am trying to imagine turning to be a traitor for how much shillings!
 
Do not rush at conclusion! Inawezekana ana clue! Haiwezekani akafa baada ya mahojiano. A right thinking member of a society is justified to direct his mind in that direction!
Hana clue yoyote huyo amerukia kujiongeza na hii habari yake ya kutunga baada ya kuona taarifa za msiba wa kaka yake Lissu.

Jifunze kusoma psychology za watu uwajue.
 
Back
Top Bottom