thread

  1. Ziroseventytwo

    Nilitegemea kukura (live) special thread ya uchaguzi mkuu wa marekani.

    Badala yake ni nyuzi za kugogeana mademu huko afrika ya kati. Kina Nyani Ngabu Mzee Mwanakijiji Yoda na Kiranga sijui mnaishi marekani ya wapi!!
  2. Teslarati

    Sinza (Sin city) special thread: Burudani, Vimbwanga na Starehe unazoweza kuzipata

    Nimefikiria kuanzisha uzi kuhusu hii pande ya mji wa dar es salaam tupate kushirikishana mambo kadhaa. Ukiona pisi kali kapanga sinza anakaa kigetogeto na hana kazi maalum, mkuu usitongoze wewe uliza tu bao moja sh ngapi. Wanaume watanashati kupitiliza huko sinza wengi sio riziki. Kama ni...
  3. Eli Cohen

    THREAD ya ku-expose aina tofauti za utapeli unaofanyika ili tusaidiane kutoingia kingi kirahisi.

    Wauzaji feki wa sabuni za kuoshea choo: Unakuta wame print kabisa na tshirt ya jina ya biashara yao. Wana target wale wanaonunua jumla. Ukifungua sabuni unakuta mimaji milaini mitupu. Wanaojifanya Afisa wa TRA: Unakuta mfanyabiashara anapigiwa simu na mtu anaejitambulisha kama mfanyakazi wa TRA...
  4. INJECTION TECHNICIAN

    Uzi wa kupeana fursa za kazi na ajira

    WAKUU HUU UZI MAALUMU WA MAJOBLESS Wakutiana Moto na kufarijiana kwa yote tunayopitia vile vile kupeana fursa na taarifa kuhusu utafutaji kazi NIANZE NA MIMI Huu mwezi wa pili tangia nisimamishwe kazi nilipokuwa nafanya kazi NI mkoani geita geita gold kutokana na kashfa ya pombe nimerudi dar...
  5. S

    Special thread kwa ajili ya wakemia waliopo kazini ,wanaosoma na wanaotafuta kazi tupeane connection

    Uzi maalum wa wakemia karibuni
  6. S

    Chemists, Quality Control Chemist, Lab Technician Chemists who are on job and who are looking for job, welcome for connection

    Uzi maalum wa Wakemia wasionaajira, wanaotafuta kazi na waajira hata wanafunzi wakemia karibuni tupeane connection.
  7. Jazajuan

    The Institute Of Finance Management (IFM) Special Thread

    The Institute of Finance Management (IFM) is a public Institute in Tanzania established in 1972. It stands as the oldest higher learning financial institution in Tanzania. The institute has been involved in teaching, research, and consultancy. Currently, the Institute enrolls about 9228 students...
  8. Stuxnet

    CHADEMA Someni Tena Thread Yangu ya Julai 2021; Sitisha Maandamano ya 23/09, Mnakosea Sana

    Hata kama wana sababu 1,000 za kuandamana wasitishe tu. Huu siyo wakati mwafaka wa kuandamana. Maandamano yapo kwenye JF na Twitter tu, ila mitaani watu wana mishe zao. Narudisha ushauri wangu wa Julai 2021, anagalieni mnapokosea...
  9. Mi mi

    Congolese Rhumba thread

    Wimbo wowote wenye mahadhi ya rhumba tupia iwe kwa lugha yoyote wewe tupia tu sio lazima kilingala. Ferre gola- marathon
  10. kiredio Jr

    Jikosoe udhaifu wako [Thread]

    Mimi siwezi kusema hapana, hata kama najua siwezi kutimiza jambo ninalo ahidi lakini bado naahidi na mwisho sitimizi.
  11. Teslarati

    Hivi raraa reree hizi likes unazogawaga uzi mzima unatumia BOT au nini?

    Kuwa off wiki ambazo walevi wenzio ndo wamebananika kazini shida sana. Ngoja nipoteze muda kuongelea hili swala la raraa reree Huyu ndugu yetu ana kiwanda cha likes, hebu nipe siri na mm niwe natoa likes hvo, au jamaa ni BOT?
  12. Unavoidable Servant

    Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

    JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State. Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
  13. THE FIRST BORN

    Football Wallpapers Thread

    Habari Mwana Michezo. Mpira kama tujuavyo ni Mchezo wenye Matukio mbalimbali ambayo huacha kumbukumbu katika Akili zetu. Kwa kulitambua hilo Leo hii nimeonelea nianzishe huu Uzi, hapa utakutana na kila aina ya Picha uipendayo na itakayo kukumbusha Tukio/Matukio ya kimchezo ambayo uliwahi...
  14. EvilSpirit

    Aisee kuna member anakuwaga makini sana kufuatilia thread,haruki thread wala comment

    Member mwenyewe ndio huyu hapa sijui ni nani huyu
  15. Vien

    Special thread: Copa America 2024 - USA

    Karibu katika speacial thread ya Copa America 2024 inayoendelea kule USA, Tutakua tunaendelea kupeana updates hapa kwa yanayoendelea Mpaka sasa ni Team tatu pekee zimeonyesha kiwango cha juu sana katika mashindano haya Argentina Uruguay Colombia Brazil ameanza haya mashindano vibaya kwa...
  16. holoholo

    Nyimbo za kisukuma special thread

    Naamu wale wenye nyimbo za asili has a za kisukuma mkuje APA muweke nyimbo tuzidownload
  17. Doto12

    Mke wangu ana wiki 4 mwezi sasa tangu kujifungua, hatuna mpango kupata mtoto hivi karibuni

    Mada imejieleza wakuu. Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa. Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period. Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
  18. X

    Special thread: Mgogoro kati ya Urusi na NATO

    Uzi huu unaangazia kile kinachoendelea kuhusu mgogoro ulioibuka sasa wa NATO na Russia katika vita vya Ukraine. Ikumbukwe kuwa katibu mkuu wa NATO Jens Stoltenberg, alitaka silaha za misaada kwa Ukraine sasa zianze kutumika kushambulia moja kwa moja ndani ya mipaka ya Russia hasa miltary...
  19. Elitwege

    Rais Dkt. Mwinyi anafaa kuwa Rais wa Tanzania

    1.Wakati Tanzania bara wanafukuza wamachinga hovyo na kuwarudisha nyuma kimaendeleo, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi amewapa vitambulisho na kuwapa uhuru wa kupiga kazi masaa 24. 2. Wakati Tanzania bara Makamba akipandisha bei ya kuunga umeme mpaka zaidi ya laki 9, upande wa Zanzibar Rais Mwinyi...
  20. Kamzuzu360Robbyraitony

    Misemo ya wakosaji

    MISEMO YA WAKOSAJI🤡 Gari lenyele ni la mkopo Manzi kampendea pesa iPhone ni simu za showoff Chakula cha hotel hakina afya— junky Kila mtu atarudi kaburini mtupu Wenye pesa hawana furaha maishani Utajiri una siri nyingi sana Lazima wataachana tu Ongezea misemo ya KICHAWI
Back
Top Bottom