Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!
Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!
NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau naomben msaada wenu wa kimawazo
Jf inanipa uraibu mbaya Sana nimeshafanya kautafiti Yani kukiwa hakuna nyuzi mpya katika majukwaa yote huwa afya yangu inapata shida .
Mfano mafua makali
Kichwa kuuma
Mwili kuchoka haraka
Kushindwa kufanya maamuzi kwa wakati nk.
Je nifanyaje niondokane na huu uraibu wa jf?
Kuna wakati...
1)Kwa pamoja tumeamua kuwa mabaharia wote Tanzania tusitongoze wanawake wanaoitwa Hamida kwa miaka mitano hadi pale Hamida aliyemtesa baharia mwenzetu atakapojitokeza na kuomba radhi
2) Ndugu yetu aliyepata mkasa huu tutamtafutia wanawake watano wazuri zaidi kisha tutamuozesha kwa gharama...
Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo
But some of them have an interest,
Bolingo
1.Nzele- Madilu
2.Bandeko- Madulu
3.Ton Ton -Madilu
4.Sydiegi-Madilu
5.Associe - Fally Pupa
6.Faulta de Jon -Koffi
7.Papaa- Ngwasuma
8.Loi- Koffi
I real like Congo Music
Hello bosses uzi huu ni maalum kwa ajili ya kufahamishana technology mbalimbali ambazo kwa njia moja ama nyingine zimezuiwa au kufichwa au kuruhusiwa kutumika tu na watu au taasisi fulani pekee.
1)THE CURE OF ALL DISEASE BY Dr ROYAL RIFE
Tuangalie kwanza Kiufupi wasifu wa Royal Rife. Royal...
Habarini wakuu
Nimeamua kuanzisha huu uzi maalumu kwa kuweka picha zilizotengenezwa kwa mifumo ya kompyuta. huu utakuwa ni uzi wa kuweka picha tulizozitengeneza sisi wenyewe na si picha za ku download au kuweka picha kutoka kwa mtu mwingine.
Huu uzi ni wa kujumuisha watu wote: wanaozalisha...
Mzuqa
Haw watu wa ajabu. Unaweza kuta ndege itafika kesho Jumatatu Bongo. Wameleta thread kutuzuga eti mzungu kashinda kesi ili watu-mock na kutucheka ndege ikiwasili kwasababu hawa watu wanaishi kwa mashindano na kukomoana hili kujifariji wanapoharibu na kushindwa.
Lyamber na barafu jaribuni...
Leicester City Football Club is an English professional football club based in Leicester in the East Midlands. The club competes in the Premier League, England's top division of football, and plays its home games at the King Power Stadium.[2]
Leicester City
Full name
Leicester City Football...
Huu uzi ni kwa ajili ya madereva wa Uber ku-share mikasa wanayokutana nayo katika kazi zao. Nimeamua kuuanzisha baada ya dereva mmoja kunisimulia mastory ya abiria anaokutana nao hasa nyakati za usiku siku za weekend wakiwa wamekolea.
Hivi vituko vinavoendeleaga vinawakuta na wengine? Nina hamu...
Katika maisha kuna mambo ambayo tunahisi tunayajua / tuko sahihi kuamini hivyo mpaka pale inapotokea unafahamu kwamba unavyoamini sio sawa. Yapo mengi kama vile kuamini -
> Mtu akikuruka miguu utakuwa mfupi hadi pale atakaporudia kukuruka.
> Kutumia sukari nyingi, (eg: kwenye chai / juisi)...
Karibuni kwenye uzi maalumu kwa wale wapenzi wa Comics (Super heros) hasa kwa mashabiki wa DCEU movies na MCU movies.
Mimi ni mshabiki wa Marvels hasa Doctor Strange upande wa DC nampenda Joker tu.
MCU ilianza mwaka 2008 ambapo Kevin Feige,Victoria Alonso na Louis Despocito waliungana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.