The Instituto de Tecnologia Intuitiva e Bioarquitetura (English: The Intuitive Technology and Bio-Architecture School) (TIBÁ) is an eco-centre located in the coastal jungle of Brazil (Mata Atlântica), dedicated to demonstrating and teaching sustainable development and 'barefoot' construction techniques. It was founded in 1987 by Rose and Johan van Lengen, author of the grassroots construction manual 'The Barefoot Architect'. This book has gained popularity worldwide through its advocation and detailed instruction on appropriate technology and natural building techniques for builders, architects and students.The name TIBÁ comes from the Tupi language (Brazilian Amazonian tribe) meaning "A place where many people meet".
Jamani hii dunia Ina mengi. Hujafa hujaumbika, ukiwa juu Leo kesho unaweza kushuka chini.
Unaweza ukawa na cheo Leo,kesho ukamaamuma(backbencher) , uwezo sio jambo la univunia ni kushukuru na kuwa moderate.
Nirejee kwangu, Sina kipato kikuuubwa Sana. Na Wala sikiwa na kipato kidichi, ni...
Kwa wataalamu na wazoefu mliomo humu, naombeni ushauri wenu. Katika miche zaidi ya ishirini, miwili imeonesha kutokuwa sawa:
1. Kasi ya ukuaji imepungua, kama inataka kudumaa
2. Majani yamejisokota kidogo
3. Ina kama ukungu mweupe hivi kwenye shina
Mwanzoni nilifikiri imezidishiwa mbolea...
Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
Habari wanajamvi.
Je, una mifugo inayosumbuliwa na maradhi mbalimbali?
Ningependa tutumie uzi huu kushare picha za wanyama wa kufugwa (ng'ombe, mbuzi, kondoo, nguruwe, kuku, bata n.k) tunaowafuga au tuliowahi kukutana nao wakisumbuliwa na magonjwa mbalimbali ili tujifunze na kupata ushauri wa...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. John Jingu ametembelea Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) ambapo kwa niaba ya Waziri wa Wizara hiyo Ummy Mwalimu amepokea msaada wa vifaa tiba vya upasuaji kutoka Jumuiya ya St. Roch ya nchini Uingereza wenye thamani ya Th. 3 bilioni.
Katika...
Idara ya famasi imefanya maboresho makubwa kupitia kitengo cha uzalishaji maji tiba, (Infusion Unit).
Akizungumza katika makabidhiano Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, Dkt. Fabian Massaga amewapongeza Idara ya Famasi kwa jitahida kubwa wanazofanya ili kuongeza uzalishaji...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki katika mbio za Ruangwa Marathon ambazo ziliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Septemba 9, 2023 Mkoani Lindi.
Akizungumza baada ya kumalizika kwa Marathon hiyo Waziri Mkuu Mhe...
Watu wa tiba asili mnafumbia macho mambo haya yanashusha hadhi ya tiba asili. Unakuta mtu anaenda na dawa za kienyeji mnadani, au anatembeza mitaani kama nguo chukueni hatua. Pigeni marufuku mbona watu hawabebi Fansida, Alu nk kupeleka mnadani? Wauze mahala maalum Ili hata mgonjwa akihitaji...
Utafiti uliofanyika nchini Brazil umegundua kuwa kucheka kunasaidia katika matibabu ya ugonjwa wa moyo kwa asilimia 10.
Utafiti huo uliofanywa na Hospitali ya Clinicas de Porto Alegre ukiongozwa na Daktari bingwa wa moyo, Profesa Marco Saffi uligundua kuwa tiba ya kucheka inaweza kusaidia...
Habari wanaJF?
Mtoto wangu ana umri wa mwaka mmoja na miezi 6, anasumbuliwa sana na Vipere. Nishampeleka sana hospitali, lakini dawa zote anazipewa hazimsaidii, akitumia dawa Vipere vinapotea kwa muda mfupi lakini baada ya muda mfupi vinarudi tena.
Jaman naombeni msaada kwa anae faham nina sumbulia na tatiz sehem ya korodan yani napokuw natembea panachoma mno kwa kizungu wanaita stinging au burning mpak sehem ya aja kubwa inatokea wakat wa kiangaz na hata pale barid linapokuw kali napata shida msaad jaman
Naombeni ushauri tafadhali. Tatizo la huu mti wa mchungwa ni kama linavyoonekana pichani.
Nilishauriwa na muuza pembejeo za kilimo ninyunyizie DUDU ETHOATE lakini haijasaidia.
Kuna dawa inayoweza kuusaidia?
Jamani kama uzi unavyojieleza hapo juu, naomba msaada kidogo kama kuna wataalamu wa afya mpo humu naomba mnipatie elimu kidogo juu ya jambo hili kwani linanitatiza katika ubongo.
Ni kwamba ule unga unga ambao unapojikuna katika ngozi inayoambatana na KORODANI yaani mji wa mbegu zinapotengezwa...
"... Toka nimeanza ziara vijijini kwenye kila Zahanati Ninayopita kuangalia mwenendo wa utoaji wa huduma za afya kwa Wananchi, Nimekuta kuna akiba ya madawa na vifaa tiba vya kuweza kutumia miezi Mitatu mpaka Sita..."
"... Tunaishukuru Serikali yetu kwa uwekezaji mkubwa kwenye Sekta ya Afya...
Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye thamani ya shilingi milioni 136.
Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Vijana...
Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili.
Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umebaini kuwapo udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wanachama na viongozi wa dini kwa kufungisha ndoa batili ndugu wa familia moja ili wakidhi vigezo vya kuwamwanachama wa Mfuko huo kama mke na mume. Hayo yalibainishwa jana katika mkutano wa wadau wa mfuko...
Kuna madai mengi kutoka hizi sanitarium clinics kwamba wanaweza kutibu kansa aina zote na kisukari aina zote Ila binafsi simfahamu mtu yeyote aliyekuwa na magonjwa haya akatibiwa akapona. Mwenye ushahidi atusaidie tuweze kuamini kwani kuna watu wengi wanasumbuliwa na haya maradhi duniani kote.
Dawa inayodaiwa kuongeza nguvu za kiume maarufu 'Akayabangu' pamoja na vumbi la Kongo zimepigwa marufuku kutumika nchini kwa kile kilichoelezwa kuwa hazijathibitishwa ubora wake.
Hayo yamesemwa jana Ijumaa, Juni 23, 2023 na Mwenyekiti wa Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala, Profesa Hamis...
P.I.D- Pelvic Inflammatory Disease.
P.I.D Ni maambukizi kwenye via vya uzazi kwa mwanamke ambayo huusisha maambukizi kwenye shingo ya kizazi(CERVICITIS),nyama kwenye mfumo wa wa uzazi(ENDOMETRITIS) na mirija ya uzazi(SALPINGITIS).
Kuna aina mbili ambayo ni chanzo cha maambukizi ya ugonjwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.