Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie
Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti.
Hili jambo limenishangaza sana juu ya privacy ya namba zangu, kwa bahati nzuri haikuwa namba nayotumia sana...
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu.
Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA) kwenye line ya TIGO lakini sijaiona. Kwa nini hivyo?
1. Tigo hawana hiyo huduma?
2. Sijaitafuta kwa...
Wakuu,
Binafsi naona hizo Brand nilizotaja hapo zimefail kubadilisha majina na itachukua miaka mingi watu kuendelea kutumia old names yaani Twitter na Tigo instead of X or Yas.
Ni brand gani nyingine zimefail kubadilisha majina yake?
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani??
(2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama mithali au simulizi ya mfano na siyo rekodi ya kihistoria au kisayansi. Hapa kuna muhtasari wa hadithi...
Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu
Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara.
Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando
Suluhisho ni huduma ya unlimited...
Sijui hawa watu wa YAs walifikiria nini.
Maana asilimia kubwa ya wateja hapa nchini wanatumia kiswahili.
Hilo neno Mixx by Yas ni la kiingereza kwa asilimia zote.
Sasa sijui walikuwa wanamlenga nani ila kama sisi wateja tunatumia kiswahili hicho kingereza ni kwa ajili ya nani?
Halafuu, hayo...
Eti ndugu zanguni YAS?
Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online?
Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
Tunaweza kudhani ni coincidence lakini kuna vitu vilo kiroho zaidi
Mtandao wa Tigo ulipata umaarufu hasi baada ya kubadili jina lake la zamani la Buzz lililotoka kubadilisha na Mobitel
Tigo ilifika mahali kulitamka mbele ya watu ilikuwa ni ukakasi kwakuwa lilinasibishwa na kafanya mapenzi...
The term "Yass" (or "Yaaas") is a slang expression used to convey excitement, approval, or strong agreement. It is often drawn out to emphasize enthusiasm, such as "Yaaas, queen!"
Origin:
The term gained popularity within LGBTQ+ (
L - Wasagaji (Lesbian): Wanawake wanaovutiwa kimapenzi au...
Mliposikia Mh. Lissu Rais ajaye wa Tanzania kufungua kesi ng'ambo nanyi mkajiona wajanja mkabadili jina la kampuni.
Sidhani kama mnaweza kuwakimbia wanasheria wabobezi kwa namna hiyo.
Ok yote kwa yote na Mimi laki 8 yenu napita nayo shwaah. Siwezi kumlipa YAS, Mimi simfahamu
Afadhali hawa Tigo wamebadilisha hili lililokuwa lisha kuwa na maana ya kishenzi
Sema yaaaas
Maana sisi mwenye mishe zetu ilikuwa inatukata kweli
"Naomba Tigo?
"unatigoo hapo?
"Tigo unatoa?
Shwainiiii😅
na kuwakomoa tunasema Mixx by yas ipoo swafiii kabisaa😅
Tangu mtandao ubadili jina yaani ni majanga tupu.
Ni zaidi ya lisaa sasa, huduma ya Mixx by Yas (zamani Tigo pesa) haipo hewani. Sio kwa menu ya kawaida wala kwenye App yao.
Nilikuwa nilipie bidhaa fulani nimeshindwa, huu ni utapeli sasa
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
TIGO INTERNET UNLIMITED
Bundle hizi tutaakuungia kwenye simu yako ya mkononi au kama una device yako ya internet.
Tuma ujumbe Whatssap au piga simu
📞0765991551
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.