tigo

  1. S

    Vifurushi vya tigo Internet, ndio vinaisha kwa kasi kiasi hiki au ni wizi?

    Jana usiku niliweka kifuruahi cha siku 7 cha net, sma na dakika ambapo nilipara MB 400 na nilitumia zaidi ku-browse ila nashangaa muda huu net imeanza kususua na kuangalia salio naona zimebaki MB 19 na point. Sasa najiuliza hii speed ya bando kwisha ni haki au ni wizi? Sidhani hata kama...
  2. L

    Experience yangu ya matumizi ya tiGO fiber

    Nimekuwa nikitumia superkasi kwa muda na nilijaribu ile ya airtel japo performance zilikuwa poa ila nilikuwa nikipata shida ya latency kuwa kubwa maana mainly shughuli zangu zina involve calls za zoom and google meet. so recently tigo wamesambaza fiber yao mpaka huku bunju nikaamua na mimi...
  3. NEGAN

    Tigo Tanzania mmenitapeli MB za ofa baada ya kununua simu kwenye duka lenu (Tigo shop)

    .
  4. comrade_kipepe

    Makao Makuu ya Tigo yapo wapi kwa hapa Dar?

    Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao muamala upo hewani nisubiri ndani ya masaa72 hela itarudi kwenye tigopesa na kama isiporudi itaenda...
  5. Vien

    Kwa watumiaji wa Tigo

    Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya. 1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store) 2. Ingia Invite & Earn 3. Bonyeza Redeem 4. Weka hii code 2ZJVO8ZK Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
  6. Optimistic_

    Router za 4G au 5G kutoka Tigo Tanzania, ni buure router

    Wakuu 1. Router ni bure 2. Router ni ya 5G 3. Tunakuletea popote 4. Vifurushi ni unlimited 5. Ina connect watu 65 at once umbali wa metre 100 Nini cha kufanya uwe na vifuatavyo Kama ni mtu binafsi 1. Tin certificate 2. Nida ID 3. Pesa ya kifurushi Kama ni taasisi au kampuni uwe na 1. Nida...
  7. Optimistic_

    Tigo postpaid bundle

    Vigezo vya kupewa huduma 1. Nida ID au namba ya nida 2. Tin certificate au Tin namba 3. Email 4. Pesa ya security deposit (Pesa ya dhamana) mfano unataka kifurushi cha ef40 unalipa ef40 kama dhamana MUHIMU Dhamana hii haumpi mtu unailipia kwenda TIGO nakuelekeza jinsi ya kulipa alafu...
  8. E

    Je naweza kurudishiwa vocha kuwa tigo pesa?

    Samahan wakuu Kwa bahati mbaya Sana Jana nilikua nanunua vocha ya tigo Tsh 4000 kwenye crdb SIM bank sasa nikakosea nikajikiuta nmenunua vocha ya elfu 40000? Jeh naweza kubadilishiwa iwe tigo pesa. Mwenye kufahamu naomba anisaidie ushauri naweza kweli kuirudisha iingie kuwa tigo pesa.
  9. M

    Tigo mmefeli na promosheni yenu ya SakoKwaBako

    Hii promosheni kwangu naona haina maana yoyote Yani nanunua MB kisha unaniongezea MB nyingine kidogo za bure halafu unanibana kwamba nitumie tu kwa Whatsapp is not fair Kulikua na ulazima gani kumuongezea mtu MB halafu unampangia wapi pa kuzitumia Mwanzoni wakati mnapigia promo hii promosheni...
  10. A

    KERO tiGO Mbagala Zakhiem branch kuna wizi unafanyika kupata namba ya Lipa kwa simu

    Kuna mchezo mchafu unafanyika kwenye branch ya Mbagala Zakhiem upande wa Lipa kwa simu, HQ wanasema ni bure kupata number ya Lipa kwa simu ila ukifika kwenye hii branch Wanatoza 10,000 kwa ajili ya hii huduma. Je, huu wizi umebarikiwa na manager wa branch?
  11. Megalodon

    BoT, TCRA ifanye auditing kwenye mikopo ya Mpesa, Tigo na Airtel . A case of MGODI

    Rate ya BoT kwenye kampuni za kukopesha ni 3.5% as a guidance issued by BoT. A simple study imefanyika kwenye mikopo ya Vodacom kupitia Mpesa and there is huge deviation which is believed to be against BoT guideline. 1. Informant amekopa kiasi cha 84,800, Mgodi huwa wanakata kwanza riba yao...
  12. kali linux

    KERO Inaonekana Baadhi ya IP Addresses zinazotolewa na mtandao wa Tigo na Airtel zipo blacklisted (zina low reputation)

    Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites zangu mwenyewe kuanza kutopatikana kwa users walokuwa wanatumia mtandao wa Tigo na Airtel, ivyo...
  13. MASSOUD AHMED

    Tigo post paid inakera

    Hii huduma ya Tigo post paid ni kero, mawakala wanaowapa kazi waunganishe watu hawawaambii wateja vikwazo vilivyopo, wanakuunga kwa group la watu usiowajua. Akitokea mmoja hajalipa na kaacha kutumia laini mnahukumiwa nyote, is not fair na inakera sana mpka tunafkiria kuhama mtandao wao.
  14. T

    Kujua mtu aliyekupigia kwenye Line ya Tigo kama haukuwa hewani

    Wakuu nahitaji Kujua Kama kuna namna ya kuset ili Kujua mtu aliyejaribu kukupigia wakati haupo hewani kwenye mtandao wa tigo
  15. K

    Hiki wanachofanya Tigo siyo utapeli?

    Inafahamika kwamba kwa sasa tigo Tanzania inamilikiwa na kampuni inayoitwa HONORA TANZANIA PLC, lakini kwenye website au hata kwenye huduma zao kama za bustisha n.k terms and conditions zinasoma bado MIC. Hii imeekaaje kisheria incase wamezingua kwenye tigo pesa huduma ya nivushe ambayo terms...
  16. Hckcode8

    Mtumiaji wa mtandao wa TiGO hiki kitonga kisikupite

    Download TIGO PESA APP (play store au app store ) jisajili utapokea 1GB , Kama tayari app unayo log out then hakikisha iko updated then log in again utapata 1GB
  17. Jamii Opportunities

    FTTX Proejct Manager at TIGO

    FTTX Proejct Manager at TiGO May, 2024 Tigo is a telecommunication company in Tanzania. With over 13.5 million registered subscribers to their network, Tigo, directly and indirectly, employs over 300,000 Tanzanians including an extended network of customer service representatives, mobile money...
  18. Cheology

    Tigo pesa wananikata pesa bila mimi kuidhinisha. Nikiwapigia wanababaika.

    Msaada wenu naitaka tigo pesa yangu ila hunikata kila ninapoweka pesa kwa matumizi yangu. Mfano Hii ni kifano tu na sometimes nakatwa nastukia baadae. Msaada wenu ili niset simu yangu isiweze kufanya hii miamala
  19. Erythrocyte

    Huu ndio uongo wa Kampuni ya tiGO Tanzania

    Hebu angalia Tangazo lao Halafu angalia walichokifanya nusu saa kabla ya muda Hii ni Aibu kwao na Mamlaka zinazowasimamia Nimeweka ushahidi huu ili kuondoa uongo uongo kwenye masuala ya msingi, hizi hela tunazoweka humu si zao ni zetu wajaribu kutuheshimu
  20. C

    Tigo wanakata 3% unapohamishiwa salio?

    TIGO Tanzania, juzi wakati namuhamishia dogo salio (siyo kifurushi na wala siyo pesa) ili yeye sasa ajiunge na kifurushi akitakacho, On the process kufikia mwishoni baada ya kuweka amount (angalia picha) naletewa ujumbe wa kwanba mtumiwaji atakatwa 3% ya amount nitakayomtumia. WHY IS THIS 3%...
Back
Top Bottom