Mwan a Fa na Ay waliwahi kuwashtaki Tigo kutumia nyimbo zao kwenye miito ya kupiga simu, Tigo waliwalipa bilioni 2.15 lakini kiuhalisia huenda walibaki na bilioni 1.5 (kila moja milioni 750), Huenda walimlipa mwanasheria wao Albert Msando milioni 150 na wazee wazito wakapiga mchinjo wa milioni...
Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call.
Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
Hongera sana Haji Manara kwa nafasi hiyo adhwimu.God bless!!!
Aliyepewa kapewa.
Itoshe kusema kwamba Mganga wa Haji sio tapeli.
---
Kupitia Ukurasa wake rasmi wa Instagram HajiManara anathibitisha kupata usemaji wa Kampuni ya Mawasiliano ya tigo. Katika kulieleza hili Haji Manara anaandika...
Wakuu Salaam,
Naomba msaada kujua mtandao gani kati ya Vodacom, Tigo, Airtel, na Halotel wana gharama nafuu ya POSTPAID INTERNET CONNECTION na wenye kasi nzuri.
Asante.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza
Nahitaji kuishtaki kampuni ya Tigo kwani walichonifanyia jana wenyewe wanajua
Wamenisababishia hasara ya zaid ya tsh milion 20
Kwahiyo mwenye kujua utaratibu wa kuishtaki kampuni plz ani pm ili nianze mchakato
Habari zenu wana jukwaa?
Kuna kitu kinaendelea katika huu mtandao nimefuatilia naona sio sahihi na kama wanafanya sijui wanafanya kwa sheria gani.
Juzi kati hapa nilikuwa nachat na kipenzi cha roho yangu nikashangaa nikiandika neno "sex" katika sentensi zangu, text husika haiwi delivered ila...
NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online.
1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo kudhibiti kiwango cha juu ya muamala pale ambapo akaunti yako inakiasi cha kutosha kufanya muamala...
Nimekuwa mtumiaji wa huu mtandao kwa zaidi ya miaka 18 (nikibadirisha chip mara moja tu kuendana na mahitaji ya mabadiriko ya teknolojia) sasa enzi hizo buzzy ni bomba na ile longa longa ukikesha huku ukihangaika kupata laini… enzi hizo mabibo hostel vijana usiku ndo ulikuwa muda wa...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na oparesheni, misako na doria zenye tija kuhakikisha usalama wa raia na mali zao. Aidha, Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kupitia misako na doria limepata mafanikio mbalimbali ikiwemo kukamata watuhumiwa wa kughushi na utapeli, kupatikana na silaha bila...
Mwaka 2018, MIC Tanzania Limited (Tigo) iliamriwa na Kamati ya Malalamiko ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kumlipa Ogada Ogweno Tsh. 1,000,000 kama fidia ya usumbufu. Pia walitakiwa kumrudishia Tsh 450 waliyoikata kimakosa kwa huduma ambayo hakujiunga
Hali ilikuwa hivi, Ogweno alitaka...
Habari ndugu, ninaomba msaada wa jambo hili,nime-renew namba yangu ya zantel ktk laini ya tigo kama invyofahamika makampuni haya ni mamoja ,tatizo linakuja kwenye data ni kwamba haisomi kabisa nimejaribu data setting za tigo na hata zantel hazionyeshi mtandao kama ni 2g,h+ au 4g ,naomba msaada...
Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.
Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.
Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...
Hii ni mara ya 3 ndani ya huu napokea ujumbe kama huu na kubadilisha namba ya siri ya Tigopesa.
Sijui sababu ya wao kufanya hivi ni nini ila kwangu kama mteja ni kero kwa sababu namba nilizozizoea kutumia kama pasword nimeshazitumia zote tatu na ndio zenye urahisi kwangu wa kuzikumbuka...
Ni mtoto wa sister, kwa umbo lake la ubaunsa videmu vya uswahilini vinammendea sana. Sasa akatoka kimapenzi na binti mmoja huko Yombo. Sijui walifanya kwa makubaliano ya cash au ni mahaba tu.
Sasa siku moja tulikuwa tunapita mtaa wa pili kwa mguu nikashituka kusikia wadada wawili watatu...
Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta.
Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa.
Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
Kampuni mpya ya Honora Tanzania imetoa taarifa kwa wadau wake katika biashara kubadili jina kutoka MIC Tanzania kwenda Honora Tanzania. Pamoja na kubadili jina la kampuni, Honora wataendelea kutumia 'Brand name' ya Tigo na huduma zote zitabaki kama zilivyo.
Honora Holdings Limited imesajiliwa...
Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini?
Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
Heading inajieleza wana jamvi,
Hawa Tigo huduma yao ya internet iko chini sana (Low siku za hivi karibuni). Yaani bando linaisha tu bila kulitumia vizuri.
Position: Internal Auditor (2 positions)
HOW TO APPLY
If you are interested in applying for either of these positions, kindly address your email to career.tz@tigo.co.tz
On the subject line, indicate the role you are applying for (eg. Head of Internal Audit).
Attach your updated CV (in PDF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.