Kwa Sasa ni mwendo wa kopa weka kopa weka. Tena Sasa ni kopa nyingi weka kidgo najua mnapata sana
Inaitwa hakuna namna. Maisha ni magum na lazima yaendelee.
Tumuombee Rais Samia, Maisha sio poa. Mimi sio CHADEMA nilisikia wakuongea hiki kitu.
Milo ni mi4 Kwa wiki trust me..
Mlo unaliwa saa...
Hizi tabia za kufanya simu zetu kama mabango ya matangazo yanazidi kunikera kwa siku unaweza kupokea hata text 10 za ofa zao wakati wanajua kuwa wanatukera.
Nitakuja kuwashitaki.
Tigo wameboresha Vifurushi vyao vya malipo ya baada kama ifuatavyo.
DATA ONLY
15K......15GB
30K......35GB
40K.......48GB
60K.......72GB
100k........120GB
COMBO
15K........10GB + dakika 400
30K........25GB +Dakika 1000
40K.......35GB + Dakika 2000
60K........55GB + Dakika 3000
100K......100GB...
Polisi wanaotembea na pikipiki maarufu kama (tigo), wanadaiwa kuwafanya bodaboda kama wahalifu kwa kuwakamata ovyo na kuwazungusha bila kuwapeleka kituoni wasipotoa pesa kwa lengo la kumalizana juu juu.
Bodaboda wasiolipa pesa hupelekwa kituoni pasipo kujua hatma yao, pikipiki huchukuliwa...
Wakuu mko vyedi najua,
Baada ya vifurushi kuwa patashida, mwaka jana November nilijiunga TIgo Post paid. Nililipia mwezi wa 11 lakini mpaka leo sijaunganishwa.
Wakala wao ananiambia zinashunghulikiwa kila siku. Mara aniambie nimeshaunganishwa wakati mimi sioni upande wangu. Kiukweli tigo...
Wiki nzima mnatuma matangazo tangu asubuhi hadi usiku wa manane ni kama mmeajiri mtu anayemaliza kozi ya kutuma matangazo, anachoweza yeye ni kubonyeza bonyeza tu bila kujua athari anazosababisha kwa wateja
Haya ni baadhi ya matangazo mnayotumia wateja wenu wiki nzima kwa kujirudiarudia zaidi ya...
Watu tunaamua basi angalau tujiunge bundle ya mwezi mzima kwa Huduma ya Post Paid. Ninyi mnaiba data.
Sielewi yaani ku browse JF tu na Whatsapp ambako sijadownload kitu kwa siku inakatika 2+GB? C'mon guys watanzania si wajinga kihivyo.
Tuheshimiane please mimi siyo layman wa matumizi ya simu...
Habarini wakuu,
Nimejaribu kufanya utafiti kidogo wa kujua gharama za Fixed Telephony (E1) ya tigo lakini nimeambulia patupu. ningependa kujua kama kuna mtu anayeweza kua anajua akanisaidi insights za hapa na pale.
Shukrani.
Leo ni siku kadhaa nikipambana na wizi wa pesa niliyokuwa nayo ndani ya tigopesa. Huduma kwa wateja wameleta hadithi tofauti za aina tatu zote nimekataa. Walianza na kusema zimerudi benki, benki imesema haina ujinga huo.
Wakasema zitarudi baada ya masaa 24 bado hazikurudi. Mwisho wanasema...
Kilichoniondoaga voda ni hii ishu ya sh.100 sasa nilivyokuja tigo nao haikuchukua muda wakaanzisha huo ujinga tena bila kuarifiwa wala kushirikishwa.
Mshahara jana ukaingia kwa wengine na ukachelewa kwa baadhi yetu basi watu kutokana na kupigika wakawa wanachungulia moja kwa moja accounts zao...
Hii ofa kiukweli haina maana kwa baadhi yetu, maana unaangalia salio linakuja sms refu la ma MB ya kusikiliza nyimbo Boomplay.
Yaani hapo unakuta una MB 200 za kuperuzi mtandao wowote lakini una GB 10 za kusikiliza nyimbo Boomplay, wakati sisi baadhi yetu siyo wapenzi wa kusikiliza nyimbo...
Nimeshashuhudia wana Yanga SC wakijitokeza kwa nguvu zote kutetea kauli za kuwachafua na kuwatuhumu ila kwa hii ya mmoja wa shabiki na mwanachama wao hivi majuzi baada ya kutoka Suluhu na Club Africaine ya nchini Tunisia kusema kuwa Unbeaten Record yao na ushindi wao katika Ligi Kuu ya NBC ya...
Hapo vip!
Kuna tofauti kubwa sana kati ya hizi companies 2
Leo ukitaka kuswapu line ya Mpesa itakuchukua takribani miezi 3 au 4 ila tigo siku hiyo hiyo ili mredi wamethibitisha pasipo shaka wewe ndio mmiliki wa line husika iliyopotea.
Vodacom inapendwa na wazeee ila Tigo inapendwa na new...
Nimeachana rasmi na vifurushi vya TIGO, nimerudi halotel japo ni wale wale kasoro jina tuu.
Halotel 1500 MB 750
Halotel 2000 GB1
Tigo 1500 MB 650
TIGO 2000 MB 800
N.k
N.k
In short hakuna mtandao wenye unafuu kwa sasa, ndugu zangu kama kuna mtu anajua mtandao wenye WIFI unlimited, na bei zake...
Mnasikia ninyi TIGO na mitandao mingine, msitufanye watanzania wapumbavu na wendawazimu, mnaendelea kupunguza vifurushi maanake nini!!! Tumewakalia kimya ndiomaana mnaendelea kufanya ambavyo wanataka.
Nasema hivi endeleeni tu kupunguza, kuna siku kitawaka, kama hamkuona ofisi zenu...
Nilikuwa nimeweka vocha yangu ya buku 2 ninunue GB 1! Kuingia kwenye Menu ya Tigo tayari mambo yamegeuka, kwasasa kumbe hiyo GB 2000 hupati hata GB 1 yani! Kweli mpaka kufikia 2025 tutanunua GB 1 ELFU 5.
Duh....
Hapana Mfalme Zumaridi aache visingizio sasa. Kama ameshindwa kuongoza kanisa si aseme tu.
Anashindwaje kuwakaripia wapiga vyombo kwa kuongeza sauti hadi inakuwa kero kwa waumini?
Sisi ndio tunatoa sadaka, lakini hatuoni sadaka zetu zinafanya kazi gani.
Yeye kila siku yuko kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.