Toka saa 11 alfajiri nataka kumtumia mtu pesa kupitia number yangu ya simu lakini kila nikijaribu naambiwa connection error.
Kuna mwingine amekutana na hiyo changamoto au ni simu yangu ndio ina tatizo?
Habari Zenu Waheshimiwa……!!!!!!!
Naomba kufahamishwa Settings za MTANDAO WA TIGO au Codes za Kujua alie kutafuta hewani/Au alie Kupigia wakati simu yako ikiwa Off Line/Au ikiwa Imezimwa………!!!!!!!
Kwa mfano MTANDAO WA VODACOM kama uko Tanzania ukibonyeza hizi Code *62*0754125125# Ukiwa...
Yaani nikiwapigia watu simu inakata
Napigiwa na watu simu inakata
Nilijiunga na bando ka Home internet gb 40 nimeshindwa kabisa kufanya chochote
Yaani ningekuwa naweza ningewashitaki huu mtandao😡
Laini mpya kabisa. Nimeweka salio la elfu mbili na sijaitumia kabisa. Baada ya wiki mbili hela yote imepotea.
Wiki nzima nawafuatilia mwisho wanasema ulijiunga na huduma kadhaa. Nawaomba wanitumie uthibitisho wamekaa kimya kwenye Facebook page yao.
Nimejaribu kuhamia mtandao huu kwa wiki ya pili sasa lakini sina hamu nao, yaani ikifika mida ya saa mbili usiku spidi ya internet inashuka sana kiasi kwamba hata kucheki video ni kwa kusua sua, mida hii ndio huwa napenda kutumia net lakini kwa hali nayokutana nayo ni mateso tu, si enjoy hata...
Job Title: Head of Pricing, CVM and Business Analytics – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You drive adoption, penetration and ARPU of customers across all segments, products and services to ensure MTMSL meets its targets by designing and implementing strategies and initiatives that will help...
Job Title: Commercial Manager – MTMSL (Tigo Pesa)
Job Description
You are responsible for revenue budget achievement, product development, portfolio management, pricing and segmentation as well as to provision of business analytics for the tigo pesa corporate business decisions...
Nilikuwa miongoni mwa watu ambao wanaupiga vita mwenge wa uhuru na baadhi ya mila zetu za kitaifa, lakini huyu beberu wa waingereza hapa amenibadilisha mawazo na kunikumbusha kuwa kila taifa lazima liwe na mila zake hata kama hazina maana kwa wakati huu.
Nime recharge kifurushi hapa nicheki balance naambiwa niko na 3 GB za Boomplay ...
Boomplay itasaidia nini sasa ? Ondoeni huu upuuzi wa kuni convert Mbs zangu na kuzifanya za Boomplay
Habari wakuu. Mwezi uliopita nilinunua simu Tigo shop redmi 10 A na nikaungwa na ofa zilikua GB 5 Kwa ajili ya mwezi uliopita na muhudumu akaniambia kuwa ofa ni ya mwaka mzima na kila mwezi nitakua napata GB kadhaa sasa Leo ni tarehe 1 ila Naona patupu. Naomba msaada Kwa anejua jinsi ya...
Mambo vipi wadau, MB za tigo zinayeyuka sana. Kitendo cha kuunga bando tu, baada ya dakika chache wanakutumia ujumbe umetumia 75% ya kifurushi chako!
Hivi ni kwangu mimi tu au ni kwa wote?
Niende kwenye mada.
Kama Kuna muhusika wa kampuni ya tigo humu ndani anifikishie amri yangu kwa mtu anayeusika, kuwa sitaki kusikia tangazo lao la karibu dakika mzima wakati napiga simu.
Yaani unatumia dakiki nzima kusikiliza vijielezo vyenu nikasajili simu wakati nimesha sajili? Mwisho wa...
Baada ya tigo na zante kuungana, sasa huduma za tigopesa zinapatikana kwenye zantel.
Yaani iko hivi, wewe kama mteja wa Zantel unaweza kuweka na kutoa hela kupitia wakala wa TigoPesa.
Hivyo, ukiwa Zantel yako unapata huduma za tigo pesa bila ongezeko la gharama yoyote ile.
Toka juzi tukipiga simu mnaweka matangazo then ndio muito wa simu unafuata, hatujapiga kusikia matangazo, what if napiga simu kwa doctor kama imetokea dharula?,what if nimevamiwa nataka msaada kwa haraka?
Fanyeni utaratibu mzuri, tunawapenda ila mnakwaza.
Miezi mitatu nyuma nilipokea simu kutoka kwa mdada aliyejitambulisha anatoka kampuni ya tigo Bima (Milvik)
Akanielezea sana kuhusu huduma zao, nilikua nazifahamu zote ila huwa sipendi kumkatisha tamaa mtu yoyote wa marketing anapokua ananielezea kuhusu bidhaa yake…(i know how hard it is to...
Nimepita huko kwenye ukurasa wao, nikakuta vifurushi vipo hivyo, je huduma ipoje kwa aliyewahi kuitumia njoo utujuze, maana naona kidogo itakuwa nafuu.
Mm ni mpenzi wa bando la wiki na natumia mtandao wa Tigo.
Mara nyingi huwa sipendi kukatiwa salio na ilikuepukana na hili napenda kujiunga siku 3 au mbili kabla ya kufikia deadline.
Maajabu ninayokuta na nilichelewa kuchunguza ni kuwa kifurushi kipya kinaanza kutumika na kile ambacho ulikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.