tigo

  1. Fall Army Worm

    Kingo awageukia TIGO

    My take: Kupitia hili Sakata la kesi ya Mbowe, Tigo wamepoteza sana uaminifu kwa Wateja, na hivyo inaweza kuathiri pakubwa tu. Tigo Wana kibarua kizito kirudisha Imani kwa Wateja.
  2. Determinantor

    Customer Privacy: JF itaheshimika daima Vs tiGO Tanzania

    Sizungumzii ukubwa wa kipato, wala silinganishi wingi wa wateja, nazungumzia suala la kulinda Privacy ya Mteja wako! JamiiForums kwa kupitia Mkurugenzi wake Maxence Melo walikua tayari kufungwa jela na alishawekwa mahabusu ila SIO kutii AGIZO fake na kutoa taarifa za Wateja wake. Tigo Tanzania...
  3. CCM Music

    Maxence Melo na JF ni underrated. Wapewe heshima wanayostahili, wao ni zaidi ya akina tiGO, Voda na wengine

    Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine. Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa mtandao wao. Hawa Jamaa wamepambana uso kwa uso na Polisi. Wamepambana uso kwa uso mahakamani...
  4. leonaldo

    Sera ya faragha MIC Tanzania Public Limited Company - tiGo

    Tumebishana sana kuhusu alichokifanya bwana yule kule kwa pilato tuangalie sera ya faragha ya kampuni inasemaje kuhusu kutunza siri za wateja pitia hiyo sera halafu tujadiri kama sera ndio mbovu au yeye bwana wakili kakosea au hakufuata utaratibu wa kutoa data za mteja . MIC TANZANIA PUBLIC...
  5. Mshana Jr

    Mitandao ya simu Tanzania ipo 'compromised'?

    Ni wiki ya Mtandao wa Tigo Tanzania baada ya muajiriwa wake kitengo cha sheria kuwa mmoja wa mashahidi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Kampeni zimeanza kushika kasi kila kona kususia huduma za mtandao husika. Hili lina madhara...
  6. Shoctopus

    Wanaodhani ni Tigo tu wanajidanganya, lakini hata wanaotuchungulia nao wanachunguliwa

    Asalam-aleikhum Wana-JF! Niko kwenye mada tayari. Yule wakili wa TIGO ktk kesi ya Mbowe na wenzake jana tarehe 02/11/2021 amefunua uvundo (a can of worms) katika kampuni za simu na TCRA kwa upande mmoja na kwenye vyombo vya Dola na Serikali yenyewe kwa kiwango kinachotia wasiwasi. Kwa bahati...
  7. Jerlamarel

    Wakili wa Tigo adai kwao Compliance (Utii) kwa mamlaka ni kipaumbele kuliko Privacy (faragha) za Wateja

    Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa. Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
  8. K

    Tigo inamilikiwa na nani?

    Kampuni ya Mawasiliano ambayo mtu mmoja anaweza kuwa Mwanasheria, akawa afisa tehama, akawa na uwezo wakusoma taarifa za wateja, akaziprint, akazipeleka anapoona panafaa kwa kugonga mhuri wa kampuni, akazisafirisha, akaenda kuzitetea mahakamani. Hii Ni taasisi inayomiliki data za wananchi na...
  9. C

    FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  10. Lycaon pictus

    Tigo washitakiwe kwa false advertisement

    Tigo wanatangazo jipya, 'Mzigo umeongezwa' wanasema wameongeza vifurushi. Kwa bei zao hizi mpya. 500 inanunua MB 150. Tsh 3000 inanunua mb 1500. Mimi sioni kilichoongezeka zaidi ya kupotosha watu. Juzi tu nilikuwa nanunua mb 1000 kwa Tsh 1000. Haijalishi wanaviita vipi vifurushi vyao...
  11. Frustration

    Kampuni za simu zimepunguza vifurushi vya internet tena

    Vodacom na Tigo walikuwa na kifurushi cha @1000tsh dk 100, sms 100 na 1Gb 3days au kwa @1500 tsh kwa 7days. Sasa hivi voda cha 3days wameweka 800MB na tigo 750MN. Airtel ndio wameua zaidi in short jionee mwenyewe. Najua serikali ina mkono au baraka zake hapa.
  12. aka2030

    Azam telecom ni fire 🔥 tigo byee byee

  13. Red Giant

    Mpesa inakataa kutuma pesa tigo pesa, TCRA waangalieni hawa voda.

    Siku nyingi. Nikijaribu kutuma pesa kutoka Mpesa kwenda Tigopesa inakataa. Inarudiarudia kusema niweke namba ya siri hata mara kumi. Nahisi Voda wanafanya hili makusudi, labda wana bifu na Tigo. Maana hata kununua airtime tigo kwa kutumia Mpesa haiwezekani. Kama wana bifu, basi linatukwamisha...
  14. comte

    CHADEMA-huenda wakatutangazi tuanze kususia bidhaa za airtel na Tigo kisa kesi ya Mbowe

    Upande wa Jamhuri katika kesi ya Uhujumu uchumi umesema unakusudia kutumia mashahidi 24 katika kesi hiyo akiwemo mfanyakazi wa Mtandao wa Airtel na Tigo.Pia utatumia vielelezo vya nyaraka 19 na vielelezo halisia.
  15. Ferruccio Lamborghini

    CEO wa Tigo aaga rasmi

    Ukiwa umepita mwezi mmoja tangu Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Hishem Hendi kutangaza kuachana na kampuni hiyo baada ya kupata nafasi nyingine Hispania, Mkurugenzi Mtendaji wa Tigo, Simon Karikari ametangaza kuondoka nchini. Taarifa za kuondoka kwa Karikari zilizoenea tangu Ijumaa iliyopita...
  16. A

    SMS za Account Namba zimekuwa Blocked na Mtandao wa Tigo?

    Wakuu habari, Jana nilikuwa nahitaji kumtumia Mtu Account namba yangu ili anitumie pesa nikatoe, hii yote ni katika kupunguza gharama ya Makato. Nikamuandikia SMS, mimi natumia mtandao wa Tigo, niliandika Majina kamili, jina la bank husika na namba ya Account cha ajabu kila nikituma ile SMS...
  17. Thailand

    SoC01 M-pesa Kibubu, Tigo Pesa Kibubu n.k: Njia nyepesi ya kuweka akiba kwa wananchi

    Habari ndugu! Imekuwepo changamoto kubwa kwa watu kupata pesa toshelevu kwa ajili ya kuendeleza shughuli zao za maendeleo. Hii inatokana na ugumu wa maisha unaozikumba familia nyingi hivyo kila kiasi kidogo kinachopatikana kinaishia katika manunuzi ya maitaji ya muhimu kama chakula na kulipa...
  18. data

    Tigo sihami Ng'oo

    Kwa usawa huu wa Tozo..hapa ndio Nyumbani...
  19. M

    Kuanzia Jana kutumia code ya simbanking tigo ni sh 100 kwa Mara moja, *150*03#

    Kuanzia Jana tigo wameanzisha tozo ya kuweza kuingia sim banking kwa kutumia mtandao wao, kwahivo kula ukitaka kuangalia salio, kutuma salio kwa simu banking lazma utoe 100 ndo uingie ndani. Sasa sisi waalimu unakuta zamani unaangalia hata salio Mara 30 kucheki salary sijui itakuaje, kila...
  20. Faana

    Tigo Mnakera na Meseji za Matangazo

    Tangu jana mpaka muda huu nimepokea meseji 69 za matangazo ya cha asubuhi, huu ni usumbufu kwetu watumiani wa mtandao wenu, Itoshe kuwaambia hali hii ikiendelea baadhi yetu tuna suspend line zenu zinakuwa za kupokelea tu simu. Tutajaza salio kwenye line za mitandao ya kiistarabu kwakuwa mmekuwa...
Back
Top Bottom