Habari za Jumapili?
Katika maisha unapitia na changamoto kama hizo, nina mikopo japo sio mikubwa sana lakini inaniweka wasiwasi sana nisije nikaenda jela bure natafuta namna niwalipe madeni yao, lakini uchumi wa kati baba/mama kwangu ni shida sana; unasumbua sana mimi kwangu upo wa mwisho...
Kama unavyojua, Ili uweze kutumia application ya Tigo Agent unahitaji OTG. Na OTG zipo kwenye simu chache tu. Kwenye simu nyingine inabidi upoteze muda wako ku-donwload OTG kwanza ndio Iweze kufanya kazi.
Sasa kama hutaki kupoteza huo muda. Na unatafuta simu inayokuja na OTG moja kwa moja...
Jamani wenye mitandao mmezidi kuturundikia SMS za matangazo na promosheni zenu zisizokoma mpaka usiku wa manane.Yaani kwa siku unaweza kupokea SMSs kama 5+, kwa maana hiyo ukiwa na SIM card nyingi ndio unaongeza kero.
Watumiaji tunahitaji kuwasiliana ili kufanikisha shughuli zetu za kila siku...
Baada ya kuskia matangazo ya smart kitochi, nikaenda zangu mliman city kushuhudia kitochi kikoje.nikaingia tigo kuzicheki zao then nikaingia voda, lakini nikagundua za Tigo ni bora zaidi ya voda, ingawa voda zinauzwa kwa bei ya chini na ofa zao ni nyingi ,yani wanakupa gb kibao dakika sms fb ya...
Laiti kama wake zetu wangekuwa na ukarimu wa namna ile mambo ya kupenda vipande yasingekuwepo.
"Na ile elfu ninayosevu kila siku ndio nimetumia baabah!"
Mwamba unaacha 10 unakula msosi wa elfu 15! 🤣🤣🤣
Ai wishi i kudu bi Haijipiii!!!
Watanzania wengi wanaishi maisha ya kukopakopa. Huko kwenye kukopa ndiko watu wanalizwa vibaya sana. kama watanzania wengine nikaingia account ya tigo nikakopa airtime. Sasa nikasema ngoja ni clear deni lote leo. Haya ndo madudu niliyoyagundua; imebidi niandike ili watu tuwe macho kabla ya...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza.
Kuna ofa inatangazwa na tigo ukitoa hela na kuituma unapata 20,000 huo ni wizi mtupu nakushauri usijaribu kufanya hivo utambulia makato ya elfu 8 na kupewa elfu 2 tu au usipate chochote.
Sasa hiyo ofa yao imelenga kujikusanyia pesa tu nasiyo...
Habarini wadau na wanajf wote. Hongereni kwa kuuzingatia ushauri wa wataalamu wa afya ili kuzuia maambukizi mapya ya covid-19.
Nauliza Bei mpya ya vifurushi vya internet vya wiki kwa mtao wa tigo vimebadilika kutoka sh 3000/=?
nimejaribu kumnunua lakini napata and ya kuwa Sina salio la kutosha...
Waungwana, nahitaji msaada wa ku-unlock modem/router mbili ambazo nimenunua toka kwenye mitandao ya simu Tigo na TTCL hivi karibuni.
ya TTCL ni: 4G USB Wingle Model: W02
ya Tigo ni: Mobile WiFi E5573Cs - 322
Nime-attach picha zake. Kama hizi haziwezi kuwa unlocked kwa sasa tafadhali...
Mnamo Jumanne ya Tarehe 11 mwezi huu (Februari 2020) nilinunua kifurushi cha Internet kwa njia ya Tigo Pesa. Ndugu zangu wana JamiiForums yakapita masaa 24 bila ya kupewa kifurushi wala kupewa taarifa yoyote.
Nilichukua hatua ya kuwapigia Huduma kwa Wateja, nikajibiwa kifurushi changu...
MALALAMIKO MBALIMBALI YALIYOTOLEWA NA WADAU:
Habari za mida hii wakuu, hivi haya mabadiliko ya bando za Tigo ni kwangu tu au kwa watu wote? Maana daah bando zimekuwa ghali sana kwa sisi Wananchi wanyonge.
=====
---
---
---
---
---
---
=====
WADAU WENYE MTAZAMO TOFAUTI:
---
---...
Wadau wote salaam.
Naona kuna mabadiliko kwenye menu za vifurushi vya tigo yamefanyika siku mbili tatu hapa nyuma.
Sasa katika pitia pitia zangu katika hizo menu mpya mbona sioni package ya sms tupu wakuu...?
Mwenye kufahamu naomba anijuze wadau. Thanks.
Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya biashara hiyo ya MPESA na TIGO PESA kwa laini zisizo zenye majina yao, leo zimefungwa, watapata wapi laini...
Job Country: Tanzania
Job Purpose
You will be responsible for expanding Tigo Pesa market position with corporations and partners by driving the company’s overall growth strategy of bringing on new clients and increasing usage of the existing companies. You will also quantify new industry...
Regional Sales Manager Kilosa
Job Country: Tanzania
Job Purpose
Ensure achievement of sales objectives in this region and correct implementation of company strategy through effective coordination of sales and distribution to achieving above target revenue growth
We Lead and Contribute
By...
Heshima kwenu.
Mimi natumia kitochi cha Tigo. Naomba usaidizi wa kuwezesha Facebook bure kwa miezi 6 kwa anayefahamu. Niliagiza simu kwa hiyo sikuweza kupata nafasi ya kuwekewa ofa zao.
Raia wenzangu, kuna anayejua namba ya simu ya Mtendaji Mkuu wa Tigo tumfikishie matatizo tunayopata na huu mtandao wa Tigo. Hiyo team ya Customer Service aidha hawajui watendalo au ni wajeuri. Something has to be done about the Customer Service team.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.