Toka jana huduma ya Tigo pesa haipatikani, nimeongea na huduma kwa kwa wateja wanasema ni kweli huduma hiyo haipataikani ila mafundi wanapambana kushughulikia tatizo.
Kilicho nikwaza ni kukaa kimya kwa siku zote bila kutoa taarifa, leo nilitakiwa kufanya malipo ya watoto shule nataka kutoa...
TTCL ni shirika la uma, limefufuka ila halina wateja wa kutosha
Sasa huu ndio muda wa kuvuna wateja.. serikali iwabebe kama ilivyoibeba NHIF...
Tigo, voda , hallotel mtawapora wateja wote
Mtandao wa Tigo umekuwa mtandao wa ajabu sana. Yaani saizi wana-program ya ovyo sana ukinunua salio kupitia Tigo pesa, pesa iliyokuwa kwenye acc ya Tigo pesa unakatwa haijalishi hata kama umenunua kifurushi kwa salio la kawaida. Naamini watu wa Sheria mpo humu mtalizungumza suala hili kwa Lugha...
Tangu Alhamis ya week iliyopita nilitoa pesa kwa wakala wa tigo pesa mara mbili bila mimi kujua.
Mara ya kwanza nilitoa 45,000 lakini nikaambiwa muamala wangu umekataliwa. Na wakala hakuona sms ya muamala. Nikazani ni tatizo tu la kawaida. tu.
Kwa vile kulikuwa na pesa kwenye account nikatoa...
Habari,
Kuna clip moja nimeiona kwenye mtandao wa Instagram ikimuonesha mtu mmoja ambaye bila shaka alikuwa ni kiongozi wa tour ya jana ya WCB ya tumewasha na tigo waliofanya jijini Dododma akiomba radhi ya jambo linaloonesha sio la kiungwana na lisilokuwa na stahala lililofanya na "Msanii"...
Huu mtandao sasa basi, unatia kichefuchefu hadi kutapika. Kwao wateja si watu wa kuthaminiwa tena. Wameshiba utajiri waliochuma kwa wateja wanaowadharau na kuwapuuza. Unaripoti tatizo kwao (customer care) halitatuliwi.
Baadhi ya kero za TIGO Mobile:
1. Unalipia kifurushi (data au muda wa...
Naomba yeyote aliyeongezewa muda wa maongezi au MB kama mpiga debe wao Joti anavyotangaza hadharani aniambie, nafahamu kwamba ukiongeza muda wa maongezi unaletewa sms ya kwamba umepewa MB kadhaa, sasa kiuhalisia ukiacha hiyo SMS kuna kweli wa hizo MB na unazionaje na zinaishaje?
Nimeuliza kwa...
Tigo tusaidieni maelezo,*150*01# inagoma
inasema
"Ndugu mteja, namba hii haipo. Kupata huduma za Tigo Pesa, piga *150*01#"
wakati umepiha namba hiyo hiyo.
Wanazingua
Uchambuzi huu ni kwa mujibu wa Wakili wa Mahakama Kuu, Hamza (jina la Twitter, @hamzaalbhanj)
Kitu cha kwanza kufahamu hapa ni kitu kinaitwa jurisdiction". Hili neno limetawala sana kwenye hukumu ya Mahakama Kuu ya Mheshimiwa Jaji De Mello. Jursidiction ni ule uwezo wa Mahakama kusikiliza...
Mahakama Kuu, Dar es Salaam, imetengua hukumu iliyoiamuru kampuni ya simu za mkononi MIC (T) Limited, maarufu Tigo, kuwalipa wanamuziki wa kizazi kipya Hamisi Mwinjuma (MwanaFA) na Ambwene Yesaya (AY) Sh 2.1 bilioni kwa kukiuka sheria za hatimiliki.
Jaji Joacquine De-Mello amebatilisha uamuzi...
Kwanza naomba kueleweshwa hii ya TCRA kutoa amri na kupanga bei/kupandisha bei katika kampuni binafsi huru ambazo si za kiserikali hii imekaaje, maana sielewi kupitia hili tamko.
======
Mamlaka ya mawasiliano TCRA imeyataka makampuni ya mitandao kulipa kodi adi asilimia 30% ya bidhaa za laini...
Wakuu naomba mwenye kujua anijuze ni vipi naweza pata access za mitandao ya kijamii kwa kutumia Mtandao wa Tigo
Bando lipo nimeunga la. Social pack baada ya data za kawaida kuisha lakini bado siwezi peruzi mtandaoni
Hapo shida ni nini wakuu
Watu wengi wameripoti sms kwa kutumia mtandao wa Tigo zinakwama hewani kwa mud mrefu kabla ya kufika au haziendi kabisa moja kwa moja;
Hii ni mbaya sana kwa sababu SMS zingine ni crtical zifike kwa muda muafaka vinginevyo unavuruga kabisa utaratibu wa maisha wa kila siku.
Unaweza ukahisi mtu...
Nimeingia kununua bando mitandao yote kwa mtandao wa Tigo kama kawaida kwa kupiga *147*00# na voda *149*01#. baada ya kubonyeza button ya mwisho nikapokea kifurushi cha mwezi lakini kimeandikwa kitakuwa kinatumika kuanzia saa 4 usiku hadi saa 11:59 asubuhi.
Huu ni wizi mkubwa kwa sababu...
Watumiaji wa mtandao wa twitter, Telegram, wanashindwa kupata huduma hiyo kupitia kampuni ya simu ya Vodacom. Tatizo hilo limeanza siku ya leo.
PIA SOMA
= > Leo Mitandao ya kijamii Tanzania Bara imekuwa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter na Telegram zimeguswa
Huu mtandao unazidi kuwa KERO kwa BAADHI ya watumiaji.
Hivi nikwanini mnagawanya dakika za kutumia mchana na nyingine za usiku? Tena eti kuanzia saa nne usiku, hivi mtu mzima anaongea mambo gani usiku huo kila siku?
Kama kwa utafiti wenu mmeona wapo wateja wenu wengi wanatumia muda huo,basi...
Kwa masikitiko makubwa naandika baada ya tigo kukwama kunirudishia line yangu hewani iliyopotea karibu mwezi sasa na line hiyo niliisajili kwa kutumia namba ya NIDA .
Line nilipoteza tarehe 26 july 2020,na kwa sababu ya changamoto ya mtandao wa police loss report nikaja kupata loss report...
Habari wanaJF,
Website ya Mtandao Mkubwa wa Mawasiliano wa Tigo Tanzania yadukuliwa na inaonekana wadukuzi wanadai Ransom ili waweze kuwaachia.
Shambulio hili limetekelezwa kwa kufunga encrypt taarifa zote na ili ziwe decrypted ni lazima kiasi cha fedha kilipwe. Hata hivyo hakuna uhakika kuwa...
Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu na programu tumishi maarufu kwa Kiingereza kama apps.
Ukuaji wa sekta hiyo unajidhihirisha pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.