Nawasalimia kwa Jina La JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Kabla ya yote mimi si Mjuzi sana wa mambo ya Uchumi au siasa ya uchumi ila kwa kuwa nimepata ushauri kwa wasomi wa uchumi na mambo haya ya siasa ya uchumi ningependa niwamegee kidogo kuhusu mambo nikiyoelekezwa kuhusu Trending marks...
Habari za asubuhi najuta kununua luku kwa kupitia tigo pesa nimenunua umeme saa 16:02 Tarehe 28.06.2021 mpaka sasa sijapata umeme majibu hayaridhishi, basi kama mmeshindwa si mrudishe pesa ya mteja.
Umelipa TSh 40,000 kwa ajili ya LUKU, No. ya kampuni: 001002, kumbukumbu ya malipo:22118028400...
Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu.
Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
Aisee kumbe inawezekana kabisa kuzishitaki hizi kampuni za mitandao ya simu? Manaake naona wamekua na tabia ya kujifanyia mambo kiholela sana. AY na Mwana Fa walionesha njia naona na huyu mwamba kaamu kujilipua pia.
Jamaa Alikatwa TZS 4,650/- na Tigo kimakosa, Akawashitaki TCRA kuomba Fidia...
Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu.
Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
Imagine ndo umepanga kuonana na mtu leo jamani. Masimu hayaendi, sms usiseme, miamala haisogei yani tafrani. Utajuta yani na ndio usikute uliomba ka emergency kazini kwa siku ya leo, mambo si ndo yashaharibika nyie.
Yani nimewaza ningekua na appointment sijui ingekuaje yaini
JF,
Naomba kujadili Hawa jamaa wa TiGO Nini hii Longanae, utakuta nusu ya airtime ambayo unalipia mfano kwa Sh 3,000 kifurushi Cha Combo kwa wiki unapata muda wa maongezi dakika 200.
Kati ya hizo dakika 100 wanazi-fix automatic kwa mtu mmoja tu unayemchangua kuongea nae muda mrefu na dk 100...
Habari wana Jf, nadhani kuna tatizo upanda wa Tigo especially Tigo Pesa ndani ya miezi miwili haiwezikana huduma za Tigo pesa ziwe zinashida, tatizo liko wapi? Kama ni watu wa IT badilisheni au kama ni mitambo ya zamani badilisheni.
Hivi mnatambua kama kuna watu wanatumia tigo pesa kama wallet...
Awali ya ya yote ni kutaka kuwasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendeleeee vijana wa kitanzania waliopewa majina teamleder yasiokuwa na faida kabisa kwao na familia katika kampuni ya Tigo wanatumikisha sana zaidi ya miezi 8 mwisho anakuja kulipwa utopolo, binafisi imenisikitisha rafiki yangu...
Leo mimi mwenyewe ni mwathirika wa wizi wa bundle unaofanywa na tigo. Yaani kudownload nyimbo 3 ambazo jumla hazifiki 20MB na kutumia JF na Whatsapp. Nacheck muda huu nina 34MB katika one GB nliyokuwa nayo asubuhi.
Huu ni uhuni na wizi wa kiwango kikubwa sana. Hakuna kitu ambacho nmefungua...
Wanaihama Afrika kabisa....
====
Millicom International Cellular S.A. (Millicom) is selling its Tanzanian subsidiaries (Tigo and Zantel), the company announced on Monday, 19 April 2021.
The telecom firm, which is listed on Nasdaq (New York City) and Stockholm (Sweden) stock markets, said in...
Mzuka wanajamvi!
Hizi ndizo nchi 16 zinazotumia mtandao wa simu Tigo. Katika bara la South America na Latin America (Central America)
South America
Argentina, Uruguay, Brazil, Paraguay, Bolivia, Chile, Peru, Colombia, Mexico
Central American countries.
Costa Rica
El Salvador
Guatemala...
Millicom wameamua kuuza Tigo kwa kampuni ya Madagascar, hivyo tutarajie tigo kubadilisha jina muda si mrefu.
Jamaa naona wanakimbia uchumi wa kijamaa, uchumi usioangalia Market Force bali unaongalia wanyonge wanasemaje.
Habari zaidi:
Dar es Salaam. Kampuni ya Millicom International...
TAARIFA KWA UMMA
Kesho natalajia kufungua kesi dhidi ya Tigo Tanzania kwa kukiuka haki za mlaji/mteja wake.
Tokea jana tarehe 6/04/2021 saa 11.15 jioni miamala ya tigo ilikuwa haitoki wala huwezi kuangalia salio niliwapigia simu 3.30 usiku wakasema ndani ya masaa 24 huduma itakuwa imerudi, Leo...
Tigo pesa wamerudisha menu ingalao unaziona lakini ukifuata maelekezo hadi kwenye kutumia pesa inazingua eti uulize huduma kwa wateja. Tigo pesa ilivyonifanya vibaya sina hamu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.