Tigo Tanzania mmezidi kutunyonya na bando zenu, hawa jamaa wana calculate vip hizi MB? Haiwezekani hata robo saa haijaisha GB1 imeisha..!
Hivi tatizo nini hii kitu imeanza kujitokeza wiki sasa, Tigo embu jitafakarini bwana...
Umeme umekata ghafla, giza, joto unaamua kununua umeme kupitia tigo, 30,000/= cash, unasubiriiiii weeee hakuna token zinatumwa, unawapigia unasikilizishwa mzikiiii weeee nusu saa ndio wanapokea, unawaeleza shida yako kwa utulivu ili angalau waKusomee hizo token uendelee kufanya biashara ni usiku...
Habari wakuu…
Mama anaupiga mwingi kuelekea golini kwake.
Sasa Wakuu mimi sijajiunga na huduma zozote tigo kuomba hizi sms. Cha ajabu kila baada ya dakika kadhaa natumiwa sms "PATAPATA"
Nimeajaribu kublacklist lakini sms hazina namba imeniwia vigumu.
My point is this:
Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa.
SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
Kheri ya ijumaa kuu kwa wote.
Siku ya tarehe 23 mwezi wa 3,nilifanya malipo kwa njia ya mtandao nililipa ticket ya bus Dar to Mwanza.
Malipo yangu hayakufanikiwa nikawasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia kuna tatizo la kimtandao kwa hiyo fedha zangu zitarudishwa baada ya siku 3.
Kila...
Hivi ina maana thamani ya Voda ni mara 20 ya thamani ya tiGO, haya manunuzi kafanya bilionea Rostam.
Mimi sijaelewa kabisa Bei ya manunuzi haya, wataalamu mtufungue. Au ndo Hawa wamefake thamani ya Voda kuwa ni trilioni 2 watu wamenunua hisa 25% kwa bilioni 480, halafu Hisa zenyewe haziuziki...
Tajiri Rostam Azizi ndio Mmiliki wa Sasa wa Kampuni za Tigo na Zantel
Pia, soma=>Tigo na Zantel kuuzwa kwa Axian group ya Madagascar, naona wanakimbia Socialism economy
Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani?
Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida?
Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
Habari zenu wakuu,
Kutokana na Paypal kutoruhusiwa kupokea pesa Tanzania, nafikiria kuanzisha huduma itakayosajiliwa ambayo itawawezesha watanzania kupokea pesa kutoka paypal na kuingia kwenye mitandao ya simu ya Tanzania kama M-Pesa, Tigo Pesa na Airtel Money.
Napokea maoni, ushauri na...
Natumia tigo na voda. Naweza nikanunua GB tatu za Voda na zikakaa muda mrefu hadi unaridhika, hata siku tatu zinafika. Naingia Ista, YouTube nk. Lakini nikinunua GB 3 za tigo hata siku zinaweza zisimalize kwa matumizi hayohayo.
Na wewe umeexperience hii ya kifurushi cha Tigo kuisha haraka...
Hili limekua tatizo kubwa sana kwa simu za kitochi 4G ukiitumia baada ya muda Fulani Kanaganda yaani ukiiwasha haiwaki inaishia hapo tu kwenye "karibu tigo".
Je, unaweza kutumia mbinu gani kukatengeneza mwenyewe bila kwenda kwa fundi ikiwa una laptop. Maana hata ukikatengeneza baada ya muda...
Nmeona offer ya Hizi simu zikiwa znauzwa maduka ya tigo,na nmevutiwa nazo kweli. sasa hofu yangu ni kwamba zinaweza zikawa locked, yaan line ya Tigo ndo inakua na nguvu tu, japo kuna mdau kaniambia kuna possibility kuwa line zote znafunction bila kikwazo..
Ombi langu ni kwa yeyote ambaye amewahi...
Ukiweka menu ya simu banking utashangaa unasearch halafu inaandika transaction failed(inashindwa kukuunga na mfumoi wa benki). Ukija kuangalia salionunakuta mia yako imefyekwa.
Utasema labda mtandao ulikuwa mbovu nijaribu tena, mia nyingine inaenda. Kwanini mnakata pesa bila kutoa huduma? Huo...
TIGO Tanzania ni kampuni kubwa ya simu na nimetumia huduma zenu kwa muda kiasi kabla ya hapo nimekuwa Active Customer wa Vodacom kwa miaka mingi.
Nimeamua kuhamia TIGO kwasababu namba kubwa ya watu ninaowasiliana nao kwasasa ni wa Tigo. Pamoja na kuvumilia kupata messages nyingi za...
Kwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet.
Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni
Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi
NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.
Namba...
Shahidi ambaye ni wakili katika kesi ya Mbowe kwa jina la Frank Kapara ameeleza kwa mlolongo mrefu uzoefu na utendaji wa kazi yake katika kampuni ya Tigo. Pia ameeleza jinsi gani anavyotoa taarifa za wateja kwa vyombo vingine pale anapohitajika kufanya hivyo. Maelezo yake anaonyesha ni rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.