tigray

  1. beth

    Ethiopia: Waasi wa Tigray wakubali kusitisha mapigano kwa masharti

    Chama cha ukombozi wa Tigray TPLF kimeitaka serikali kuu ya Ethiopia iwaondoe wanajeshi kutoka kwenye jimbo la Amhara pamoja na wanajeshi wa nchi jirani ya Eritrea ikiwa ni masharti kabla ya wao kushiriki kwenye mazungumzo yoyote na serikali kuu kuhusu kusitisha mapigano. Chama cha (TPLF)...
  2. M

    Maelfu ya mateka ya majeshi ya Ethiopia yalitekwa na Tigray Defense forces yafikishwa mji mkuu wa Tigray

    Inakuwaje WanaJF! Tigray defense forces ni nouma. Serikali ya Ethiopia inaminya uhuru wa habari kuficha kinachoendelea Tigray lakini mkong'oto wanaoupokea huko ni wa Hatari. Hii imetokea jana. Hao ni washenajeshi wa Ethiopia walioshikwa mateka wakiwa paraded Mekelle mji mkuu wa Tigray...
  3. beth

    Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu 400,000 wanakabiliwa na njaa Tigray

    Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya watu 400,000 huko Tigray Nchini Ethiopia wanakabiliwa na uhaba wa chakula, wengine Milioni 1.8 wanaelekea kupata shida hiyo na Watoto 33,000 wakiwa na Utapiamlo Kaimu Mkuu wa Misaada Umoja wa Mataifa (UN), Ramesh Rajasingham amesema watu Milioni 2 bado hawana...
  4. beth

    Ethiopia: Serikali yatoa wito kwa waasi wa Tigray kukubali kumalizika mapigano

    Serikali ya Ethiopia imewataka waasi wa Tigray kuunga mkono usitishaji mapigano huku ikielezwa Mashirika ya Misaada yanapata changamoto kuwafikia maelfu ya watu wanaokabiliwa na njaa. Mamlaka zimesema ili mapigano kusitishwa kikamilifu pande zote mbili zinahitajika hivyo upande wa Tigray...
  5. Analogia Malenga

    Waasi wa Tigray wapuuza usitishaji wa vita wa Ethiopia

    Viongozi TPLF katika jimbo la Tigray wamepuuza tangazo la kusitisha vita lililotolewa na serikali kuu mjini Addis Ababa jana, na wameapa kuendeleza mapambano hadi pale watakawafurusha kikamilifu wanajeshi wa Ethiopia. Wanajeshi wa Ethiopia wakipiga doria katika mji wa Mekele (07.03.2021)...
  6. beth

    WHO yaelezea wasiwasi wa kuibuka magonjwa Tigray kutokana na kutokuwepo Huduma za Afya

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 5 Tigray Nchini Ethiopia wanahitaji msaada hususan wa Chakula na wengi wanapoteza maisha kutokana na njaa. Mkuu wa Shirika hilo, Dkt. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema pamoja na ukosefu wa chakula, huduma za Afya zimeharibiwa na...
  7. Kurzweil

    Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

    Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono. Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
  8. Sam Gidori

    Abiy Ahmed akiri kwa mara ya kwanza uwezekano wa uhalifu dhidi ya binadamu katika mapigano ya Tigray

    Waziri Mkuu wa Ethiopia amekiri uwezekano wa kuwepo kwa matendo ya uhalifu dhidi ya binadamu kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa mapigano katika eneo la Tigray mwezi Novemba mwaka jana. Abiy Ahmed amekiri pia kwa mara ya kwanza, baada ya mamlaka kukanusha mara zote, kuwa vikosi vya Eritrea...
  9. Sam Gidori

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari watiwa nguvuni Tigray - Ethiopia bila kuambiwa sababu ya kukamatwa kwao

    Wafanyakazi wanne wa vyombo vya habari wamekamatwa na vyombo vya usalama katika eneo lililokuwa na mapigano la Tigray nchini Ethiopia. Tangu kuzuka kwa mapigano mwezi Novemba mwaka jana baada ya Waziri Mkuu wa Ethiopia kutangaza hatua za kijeshi dhidi ya kundi la TPLF akiwashutumu kuvamia...
Back
Top Bottom