tija

Tija Gomilar Zickero (born 12 May 2000) is a Slovenian handball player for RK Krim and the Slovenian national team.She represented Slovenia at the 2020 European Women's Handball Championship.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwl.RCT

    SoC03 Hakuna Demokrasia Inayoweza Kujengwa Bila Ukosoaji Wenye Tija Kwa Wale Walio Madarakani

    HAKUNA DEMOKRASIA INAYOWEZA KUJENGWA BILA UKOSOAJI WENYE TIJA KWA WALE WALIO MADARAKANI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI: Demokrasia ni mfumo wa utawala ambao unategemea uwajibikaji, usawa na uhuru wa kujieleza. Kwa wakati wetu, nchi nyingi duniani zinajitahidi kujenga na kudumisha demokrasia...
  2. N

    Tulitegemea Muswada mpya wa Sheria ya Usalama wa Taifa uwe na tija katika maswala ya kiuchumi ya Taifa

    Tulitegemea muswada mpya wa Sheria za TISS uwe na tija katika maswala ya kiuchumi kama taifa letu. Kwa mtizamo wangu muswada huo umegusia zaidi katika kuwaongezea ulinzi viongozi wa Juu, tunaomba sheria ziwe chachu ya kulikomboa taifa letu kama vijana bado tunasafari ndefu sana ya kulijenga...
  3. D

    Ushauri: Nina milioni 3, nafikiria kufanya biashara yenye tija na kuleta faida

    Wadau mimi nina kiasi cha 3m nafikilia kufanya biashara ambayo itakua na tija na kuleta faida ,nahitaji ushauli wenu ni biashara gani nzur ya kufanya nipo Dar es Salaam.
  4. blinder peaky

    SoC03 Upeo wa Mabadiliko yenye Tija katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania

    Utangulizi Elimu ni msingi muhimu katika kuleta maendeleo endelevu na ustawi wa jamii na taifa kwa ujumla. Kupitia elimu watu hupata maarifa, ujuzi, na mafunzo yanayowawezesha kujenga uwezo wao wa kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na uwezo wa kujenga mustakabali...
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Cherehani - Pamba ipewe tija kwa Wakulima wa zao hili

    MBUNGE CHEREHANI - PAMBA IWE NA TIJA Mbunge wa Jimbo la Ushetu Kahama-Shinyanga Emmanuel Cherehani amesema Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe apewe udaktari wa heshima kutokana na mchango wake katika nchi yetu hususani kwenye Kilimo. "Wananchi wa Ushetu walipokea Mahindi ya kutosha...
  6. J

    Tuzo za Muziki Nchini: Maoni ya Wadau juu ya nini kifanyike ili kuongeza Tija, Mvuto na Kupunguza Malalamiko

    Mnamo Aprili 29 kuamkia April 30 mwaka 2023 Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) wakishirikiana na Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo waliandaa tuzo rasmi kwa ajili ya kuwapongeza wanamuziki wa Tanzania (Tanzania Music Awards). Baadhi ya walifanikiwa kunyakua tuzo hizo kwenye vipengele...
  7. Heart Wood.

    Swali fikirishi: Je, tunahitaji idadi kubwa ya watu ili kujikwamua kiuchumi au tunahitaji watu wenye tija kwenye uchumi wetu?

    Angalizo: Mada hii haiwahusu wenye mtizamo wa kuijaza dunia katika mtizamo wa imani za dini. Wakuu, bila kuwachosha naingia moja kwa moja kwenye mada. Kwanza, nikiri wazi kuwa mie si mtaalamu wa uchumi, bali ni mdau wa mambo fikirishi tu. Nimekuwa nikisoma baadhi ya maoni ya watu wakisema eti...
  8. B

    Kibaka huyu ni kutoka mamlaka gani?

    Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma. Ana nini huyu kumtofautisha na mhuni mvuta bangi wa mtaani?
  9. Lanlady

    Upimaji wa utendaji kazi kwa kutumia OPRAS hauna tija!

    Inashangaza kuona baadhi ya maeneo bado wanatumia opras kama rejea ya utendaji kazi wa watumishi. Ikumbukwe kwamba fomu hizi hujazwa na mtumishi kwa kushirikiana na kiingozi wake. Kwa asilimia kubwa, hakuna uhalisia katika upimaji kwa kutumia hizi fomu
  10. M

    Je, hii hama hama ya huku na kule ya Mtangazaji Maulid Kitenge ina Afya na Tija Kitasnia?

    EFM to Wasafi FM mara Wasafi FM to EFM mara tena EFM to Wasafi FM kulikoni? Maulid Kitenge tafuta Mfadhili mkubwa ufungue Media yako Kubwa hii hama hama inashusha Value yako kwani ni kama Mwanamke asiyetulia na Ndoa yake au na Bwana / Mume Mmoja aliye sahihi.
  11. Stephano Mgendanyi

    Kawaida Ataka Tija Kilimo BBT

    KOMREDI MOHAMMED KAWAIDA ATAKA TIJA KILIMO BBT Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Ndugu Mohamed Ali Kawaida amewataka vijana nchini kutokidharau Kilimo na badala yake wakikumbatie na kuiona kama kazi itakayowainua kimaendeleo. Akizungumza wakati alipotembelea mradi wa Jenga Kesho...
  12. K

    Kuhusu pendekezo la kufuta Mashirika yasiyoleta tija, Rais Samia anapigia mstari tu alichosema Hayati Magufuli

    "Naamini mwaka huu tutakuwa na ongezeko la Mashirika yanayotoa gawio, Mashirika yasiotoa gawio lazima tutumie sheria kuhakikisha yanatoa au yanaondoka, Msajili wa Hazina simamia hili. Taasisi zote zinazotakiwa kutoa gawio, zifanye hivyo kabla ya mwezi wa saba, haiwezekani hadi Jeshi limetoa...
  13. Equation x

    Ili mfike mbali kimahusiano na yawe yana tija, inatakiwa robo tatu (3/4) ya matarajio yenu yawe yanafanana

    Mahusiano sio kitu rahisi Wengi wanaamini kufanya tendo la ndoa ndio mahusiano, hilo si kweli; mahusiano ni zaidi ya tendo. Mahusiano ni sawa na kuunganisha kampuni A na B, zenye mitazamo tofauti, na hatimaye kujiwekea makubaliano kwa vile vitu mnavyofanana na kutengeneza kampuni mpya C...
  14. Gotze Giyani

    Kama kijana wa kitanzania kuwa na mawazo yenye tija na maendeleo ya baadae

    Wadau habarini za muda huu nimeleta hii mada mbele zenu tujadili. Nimekua nikiona maada mbali mbali humu watu wenye uwezo mkubwa kufikiri wakizileta huku na watu wamekuwa wanazipondea mfano mtuu anaweza kuuliza kwa mtaji wa 10m nifanye biashara gani watu wanaishia kumuambia oo sijui anunue...
  15. commonmwananchi

    Usajili wa line na vibao vya makazi havina tija kwa Wananchi

    Wezi wa mitandao wameishinda serikali! Vibao vya makazi vimeimarisha nini tangu kuwekwa kwa gharama ya zaidi ya B360? Tunashuhudia kila mwaka nchini, Serikali kupitia TCRA, tukielekezwa na kulazimishwa kusajili line za simu kwa watumiaji wapya, lakini pia kuhakiki kwa wale ambao walikwisha...
  16. ChawaWaMama

    Ushuhuda wa Mkulima Rais Samia awezesha ukulima wenye tija

    GTs, Leo ikiwa siku ya dominika murua kabisa nimeamka zangu jijini nikiwaza hili na lile na nikitafakari namna maisha yavyoenda. Nikiwa nawaza mara paap simu ya mkulima toka vijiji vya mbaali kabisa, nikapokea simu. Mkulima …Halooo ChawaWaMama … Ndiyo habari za leo? Mkulima… Nzuri mno, za...
  17. sammosses

    Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  18. Lanlady

    Kama kweli ndivyo ilivyo, basi ni vigumu kwa viongozi kama hawa kufanya maamuzi yenye tija kwa taifa

    Kwa picha na ujumbe huu kutoka kwa kiongozi mkubwa wa serikali, hakika bado tuna safari ndefu. Mwingine alipost amebeba gunia begani. Je, ina maanisha nini? Kwamba hatuna nyenzo za kurahisisha kazi au hatuna maarifa? Huyu naye kula huku amesimama na soda mkononi, atatusaidia kweli kufikiri kwa...
  19. Msanii

    Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  20. Equation x

    Wageni rasmi wenye tija

    Nimejaribu kuhudhuria sherehe mbali mbali kwa miaka kadhaa; sherehe za mashule, vyuo, mambo ya ujenzi n.k Na katika hizo sherehe nimeona tofauti kubwa kwa wale wageni rasmi, wanaopewa nafasi hizo. Katika risala, huwa kuna kipengele cha kuelezea changamoto walizonazo, na zinazoitaji utatuzi...
Back
Top Bottom