Jimbo la Hai, Kilimanjaro mbunge wake ameamua matumizi ya fedha za mfuko wa jimbo ni zake na fedha hizo zimekuwa siri, kwa mbunge na ameamua kutokuweka wazi matumizi yake kwa kuunda kamati ya kusimamia mfuko huo.
“ kamati ya mfuko wa jimbo, ingehusisha madiwani wote na watendaji wa taasisi...
Putin ametoa hotuba itakayoanza kulazimisha wanajeshi wa akiba.... Tiketi za ndege zimeisha, hamna ndege, watu wanaikimbia nchi, tatizo ni mataifa machache yanawapokea Warusi kwa sasa....
Russian President Vladimir Putin has announced the partial mobilization of his country's reservists...
Waandaaji wa tamasha la muziki nchini Uganda la 'Nyege Nyege' wanasema jaribio la bunge la kupiga marufuku tamasha hilo kwa sababu ya wasiwasi kwamba linapotosha maadili limeongeza mauzo ya tiketi.
Tamasha hilo karibu na kingo za Mto Nile limevutia takriban watu elfu kumi na mbili, wengi wao...
"Subiri nimalize shule" imeongeza idadi kubwa ya wasomi ambao wameshindwa kutimiza malengo yao. Wengi hudhani ya kwamba, kuhitimu masomo ndiyo mwanzo wa kuanzisha familia. Wakike kwa waume wanasahau ndoto zao za awali na kukimbilia kuoa ama kuolewa pasipo kutimiza zile ndoto walizokuwa nazo...
Nimesikia kwamba utaratibu wa kutumia tiketi za kielektroniki umeanza rasmi tarehe ya leo. Tunaambiwa tukate tiketi ya Bus husika online, tunatambua sio Kampuni zote za Mabasi zina website sasa sijui itakuwaje. Mwenye uelewa kuhusu utaratibu huu naomba anieleweshe zaidi.
Kwa namna duru zinavyotabanaisha ni wazi bwana Mpina hana chake tena 2025.
Wakubwa hawampendi tena na zaidi wanamuona ni kirusi hatari kinachoweza kusanua yawayo/yajayo.
Ushauri wangu kwa bwana Mpina, jichunge wasije kukufanya kama walivyomfanya Mwakyembe wakati ule.
Jumla ya tiketi Milioni 2.45 kati ya 3,010,679 zilizotengwa kwaajili ya Michuano ya Kombe la Dunia litakalofanyika nchini Qatar zimeuzwa huku tiketi 520,532 zikiuzwa ndani ya siku 43 (Julai 5 - Agosti 16).
Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), nchi za Marekani, Uingereza, Saudi...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (Latra), imesema kuanzia Septemba 1, 2022, mabasi yanayofanya safari za mikoani na nchi za nje yasiyotumia tiketi za mtandao hayaturusiwa kufanya shughuli za usafirishaji wa abiria.
Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Agosti 18, 2022 na Mkurugenzi Mkuu wa...
Struggle is real my friend, hali ikienda hivi inabidi wafanye kale ka mchezo cha last year kuingiza watu bure siku husika yaani kesho kwa sababu hakuna namna
Kumezuka wimbi la watanzania ambao wamekua wakijiingilia aiport utadhani ni stendi ya basi.
Hili limekua ni tatizo kubwa muda mwingine linapunguza hata usalama.
Sasa tufanye yafuatayo ili kutokomeza tatizo hilo.
1. Mtu anayeenda kumpokea mgeni wake awe na kopi ya visa, tiketi ya kusafiria na...
Marvel's Doctor Strange in the Multiverse of Madness tayari ameingiza dola milioni 42 kabla ya mauzo ya tikiti kabla ya kutolewa Mei 6, Filamu inayokuja sio tu muendelezo wa Doctor Strange wa 2016, lakini ni muendelezo wa Loki na Spider-Man: No Way Home.
Filamu ya Doctor Strange pia itaendeleza...
Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
Leo asubuhi nikitokea Sengerema nimeshuhdia hili. Nauli ya kivuko ni sh 400 ukitoa buku unarudishiwa sh 500 badala ya mia sita. Mkatisha tiketi anachenji kibao za mia tano miatano lakini mezani hana mia hata moj.
Nimerudi jioni hii nimetoa buku mbili nimerudishiwa buku jero.
Ina maana kila...
Salaam Wakuu,
Abiria wanaotumia kivuko cha Magogoni Kigamboni mnakumbushwa kwamba mwisho wa matumizi ya tiketi za karatasi kwenye kivuko hicho ni Tarehe 28 Februari 2022 hivyo abiria wote mnaombwa kununua kadi za N-CARD. Kadi hizo zinapatikana Kivukoni pande Zote mbili.
Wakala wa Ufundi na...
Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma.
Kutokana na Sera za kudhibiti maambukizi ya COVID19, Waandaaji wamesema mashuhuda wa kimataifa hawatokuwepo, na...
Hivi Watanzania tuna hulka ya namna gani ya maisha?! Siku za sikukuu iwe Idd el Fitr Pasaka na Xmas kwanini wafanyabiashara wetu wanapandisha bei za kila kitu juu?!
Wenzetu wanaodai kuishi Dunia ya kwanza tunasoma wako tofauti, iwe vyakula hasa kuku na nyama, usafiri, nguo na bidhaa za kila...
After a 15-year break, the Nairobi-Kisumu passenger train service resumed Friday on a high, with over 90 percent of seats booked by Thursday.
Queues were still long at the Nairobi Railways Central Station Thursday evening as families heading to the village for festivities booked tickets.
“The...
Mimi nipo eneo hili la Ukanda huu wa Kaskazini- hasa mikoa hii ya Arusha na Kilimanjaro kwa muda fulani. Kwa muda mfupi ambao nimekuwa huku, nimesafiri kwa nyakati tofauti kwa mabasi madogo (maarufu kama Coaster kwa wenyeji wa huku) kati ya Moshi - Arusha na Arusha- Moshi lakini cha kushangaza...
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani MTU unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
HII Ni hujuma ama Nini? Rudisheni mtandao nyie sio mtandao unarudi saa tisa Na foleni ya kuingia uwanjani unaingia ndani dakika ya ishirini wakati mayele Kisha fanya yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.