Habari RAIA wema wa Tanzania, nimekaa nalo sana moyoni, lakini kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya kutokana na matendo mabaya ya askari polisi.
Siku Mona nilikuwa nimesimama dukani nanunua vocha ghafla defender ya polisi ikaja ikawa inabeba watu hovyo. Kufika kwangu nikagoma nikauliza...
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.
serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua.
Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege.
Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.
Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa...
Naona serikali siku hizi imekuwa hodari sana wa kupokea ushauri wa tozo za serikali kwa kisingizio cha uzalendo bila hata kuzifanyia utafiti wa kina kuona kama kuna socioeconomic impacts za tozo hizo. Serikali sasa inaendeshwa kwa njia ya "hapendwi mwananchi bali kodi yake"
Mwigulu amekuwa...
Marekani imepiga marufuku mauzo ya tiketi za ndege kutoka na kuelekea Belarus, ikiwa ni mwezi mmoja tangu Ndege ya Ryanair ilipolazimishwa kutua na Mwandishi wa Habari kukamatwa
Hatua hiyo ni mwendelezo wa maamuzi yaliyochukuliwa dhidi ya Rais Alexander Lukashenko ambaye anatuhumiwa kufanya...
Habari zenu wakuu,
Nataka kusafiri kwenda mkoani na tiketi ya basi nishazoea kukata manual lakini siku hizi ni mtandaoni, ila nilisikia madereva wakitaka kugomea huu utaratibu lakini sikusiukia iliishia wapi.
Je, bado wanakata tiketi za mtandaoni au baada ya ule muito wa mgomo ilisitishwa...
Watu wengi washafika uwanjani lakini wakatisha tiketi wanaonekana ndani na machine zao lakini Wala hawataki kutoa huduma.
Je, huu sio uhujumu uchumi? Serikali mnataka mapato gani zaidi ya haya?
Yaani uwezo wa serikali kusimamia utaratibu ndo umefika mwisho? Kwanini watumishi hawajali watu? Ile...
Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza.
Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo amefanya ziara ya kushtukiza kituo cha mwendokasi eneo la gerezani na kukuta mfumo wa kusoma tiketi haufanyi kazi, mtendaji mkuu alisema mfumo haufanyi kazi baada ya kutokea mgogoro kati ya supplier na alieununua. Meneja huyo amesema mfumo mpya unajengwa na...
Wamiliki wa mabasi wasitisha mgomo ulioitishwa baada ya makubaliano na LATRA pamoja na TRA kuwa mazuri.
Abiria wa Mwanza na Mbeya walichelewa baada ya wamiliki wa mabasi kuitikia wito wa mgomo ulioitishwa kuanzia leo.
Chanzo: ITV
Pia soma: Chama cha Wamiliki Mabasi (TABOA) kusitisha kutoa...
Baadhi ya Malengo na faida mfumo wa ukataji wa tiketi za bus kielektroniki nchini
▪️Kuwa na udhibiti katika sekta ya usafirishaji.
Wasafirishaji kuwa na ushindani wenye tija, Mfano kwa sasa nauli zinazowaongoza ni za mwaka 2013 lakini hawazitumii. Basi la daraja la juu (luxury) anauza bei ya...
Chama cha wamiliki wa mabasi nchini(TABOA) kwa kauli moja kimetangaza kusitisha kutoa huduma kuanzia jumatano wiki ijayo kwa kugomea mfumo wa ukataji tiketi wa mtandao wakidai mfumo huo ni kandamizi na unawaumiza wamiliki na kufIkia hatua ya kutaka kuwafilisi.
====
Dar es Salaam. Wamiliki wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.