timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. Aucho, Mkude, na Chama kuelekea kuiaga Yanga Je, wanastahili kucheza timu gani kwenye ligi ya NBC?

    Klabu ya Yanga SC iko mbioni kuingia kwenye ukurasa mpya wa kikosi chake baada ya taarifa kuibuka kuwa baadhi ya nyota wake wakongwe na mahiri kama Khalid Aucho, Jonas Mkude, na Clatous Chama huenda wakaondoka mwisho wa msimu huu. Kwa mujibu wa ripoti kutoka vyanzo vya ndani ya klabu pamoja na...
  2. Uongozi Wa Timu ya Dodoma jiji Unapaswa kuvunja benchi la Ufundi na kumtimua kocha kwani wasipoangalia timu itashuka daraja.

    Ninasikitika sana Kuona kocha mzawa (Mexime) Kuleta Maigizo kama vijana vijana Wa TikTok ya kuwatania Simba SC Kuwa hawaleti timu badala ya kuchanganua mbinu namna gani ya kumkabili Mpinzani wake (Simba SC). Kocha na benchi lake la Ufundi wamejisahau kabisa wanacheka Cheka tena na kutokumbuka...
  3. Kwa kauli ya Nani kama Mama ndio mjue Timu Kataa Kuoa Kataa Ndoa Tuliona Mbali sana

    Kisa cha Ally Kamwe na Baba yake kinawasanua wabishi wote, sisi tumekaa pale tunawaangalia na haubadirishi msimamo, kuoa ni ushetani na kuoa ni gereza huwezi kwa ujinga wako na upofu ukabeba shida za mwanamke unachanganya na za kwako. Wakati mwanamke anakuja na shida zake ili kujikwamua na...
  4. Sheria au kanuni inajieleza yenyewe miaka na miaka yakwamba timu mgeni itafanya mazoezi kwenye uwanja husika kwa muda ambao match husika itachezwa

    Hapo vip!! Ukitafakari na kuchambua kisheria hili dai la yanga yakwamba hawakupata taarifa..unaona wameamua kuingiza siasa kwenye mpira wetu. Hivi kati ya sheria au kanuni na taarifa ipi yenye nguvu...Simba amebase kwenye sheria na kanuni,yanga amebase kwenye utaratibu wa kisiasa. Na je kwenye...
  5. M

    TFF, najua Simba itapokwa pointi kwa kutoingiza timu uwanjani na Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia Simba wasifanye maamuzi ila Haji Manara msimuachie

    Mm nawaza hili jambo lazima litatokea tu maana mpira wa bongo una changamoto za mda mrefu sana, yote kwa yote kwa vile wao wameshasema hawatacheza tena najua mtawapa pointi 3, lkn kubalansi mambo Yanga mtawaadhibu kwa kuwazuia simba wasifanye mazoezi ila Haji Manara amewadhalilisha sana na...
  6. Lazima ifike wakati sheria iwe wazi na Dabi ifanyike mahali hakuna timu mgeni wala mwenyeji!

    Wadau wa Michezo, Ninayo yangu ya kushea! Ndugu wenye mamlaka ya Mpira hapa Tanzania ni TFF na Bodi ya ligi Tanzania,na kwa mamlaka ya Michezo Tanzania ndipo tunamkuta Baraza la Michezo Tanzania (BMT), na zaidi Wizara husika! Ni nini maana yake? Hawa watu Inatakiwa wafanye kazi kwa pamoja japo...
  7. Almasi Kasongo na wenzako wa TPLB mnatuharibia mpira wetu mnatakiwa mjiuzulu hakuna kanuni inayoruhusu timu kugomea mechi wa kunyimwa kufanya mazoezi

    Tff wanakiri kabisa kwenye barua yao ya kuhairisha mechi kua timu ya simba haikutoa taarifa kwa mamlaka yeyote ili taratibu za kikanuni zifuatwe nanukuu paragraph ya nne(4) Baada ya kupitia taarifa mbalimbali zikiwemo za maofisa wa mchezo na vyanzo vingine,kamati ilibaini kua klabu ya simba...
  8. Nini adhabu ya timu ngeni kuzuiwa kufanya mazoezi ya mwisho?

    Je, kwenye mashindano yanayosimamiwa na TFF na CAF zipo timu ambazo ziliwahi kucheza mechi bila timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho kwenye uwanja wa mechi?. Je, Kuna timu duniani ambazo zilipewa adhabu kwa kuzuia timu ngeni kufanya mazoezi ya mwisho? Kama zipo, zilipewa adhabu gani? na je...
  9. Ally Kamwe asema kikosi cha Yanga kitawasili saa 11 uwanjani kujiandaa na Mechi ya dabi leo jioni

    Meneja Habari Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe anasema timu itawasili uwanjani saa 11:00 jioni kujiandaa na mechi ya leo jioni. Itakumbukwa bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kupitia Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi imetangaza kuahirisha Mchezo wa Yanga dhidi ya Simba kwa mujibu...
  10. Mnaombeza Lissu jifunzeni toka kwa timu ya Simba

    Kuna watu ambao kwa bahati mbaya wengine ni wanachama waandamizi wa CHADEMA, wanabeza msimamo wa Lissu wa kusimamia maamuzi ya vikao vya chama kuwa "No reforms No election" kuwa ni jambo lisilowezekana. Lakini Klabu ya Simba kwa kusimamia Kanuni za ligi ya Tanganyika, imefanikiwa kugomea mchezo...
  11. Hatupeleki Timu uwanjani na hakuna kitu mtafanya

    Najua mnajua enyi uto mlichokifanya mlijua fika madhara yake, sasa kama mliadhimia Simba asifanye mazoezi ya mwisho, kwa nini mnalazimisha acheze hivyo hivyo? Au mlijua majini mliyoyazindika uwanjani yangeoneka ( mkajikuta mnavunja miiko ya mganga wenu)? Sisi sio wanyonge kiasi hicho, TFF na...
  12. Tungekuwa na timu nzuri tungeileta maana tungekuwa tunajiamini

    Tatizo hatujiamini kwahiyo eleweni kiutu uzima, bora wapewe points 3 na magoli 3 sisi tutalipa faini TFF yatakwisha kuliko kuja uwanjani wakati li Prince Dube na li Aziz Ki, na li Pacome bado lile toto li Max Nzingeli, li Mzize yote yanakutamani hapo li Boka nalo lipo, na li Yao Yao limerudi...
  13. B

    Hii mechi ya trh8 Timu zote ziliwekeza nje ya uwanja. Ndomana yametokea yalio tokea

    Tukitoa mahaba na mapenzi na ushabiki wa hizi Timu mbili Simba na yanga ukweli usemwe tu. Simba na yanga ni kurwa na doto ni Timu zinazo Juana nje ndani. Akuna kitu amewahi fanya Simba yanga ajafanya. Hakuna njia alyopita Simba yanga ajapita. Hiki kinachotokea Leo trh 8 hakuna jipya kwa...
  14. D

    Simba itapeleka timu Uwanjani tayari kwa mechi na Yanga

    (Kila kinachosikika ni lazima kiletwe humu); Kutoka chanzo muhimu, inasemekana kuwa licha ya barua Yao ya kutoshiriki derby ya Leo, kikosi Cha Simba kitapelekwa uwanjani kama kawaida tayari kwa mechi. Kwa mujibu wa chanzo hiki, Kilichofanyika usiku wa Leo ni milolongo ya hatua za kuwatoa...
  15. Picha: Sababu za kiroho kwa nini Simba wanaogopa kupeleka timu uwanjani

    " Wajomba zangu nisiwafiche, Kwa Yanga hii Simba hamchomoki"
  16. Wazee wa kuomba ban mnatuangusha, kweli mnataka Derby ipite hivi hivi bila kutetea timu zenu? Hakuna anayejiamini?

    Wakuu, Mpaka siku ya mechi imefika sijaona mtu aliyeomba ban, imekuaje tena? Hakuna anayejiamini kuwa team yake ni kigogo bahari?😂🤣🤣 Embu njooni mjitutumue bana tupate raha ya kuwaita modes:BearLaugh::KEKLaugh: Inaonekana safari hii kila mganga wa mtu ni kiboko, kila upande namba hazisomi...
  17. Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  18. GSM akiacha kudhamini timu nyingine Yanga itakuwa timu hatari zaidi

    Imagine pesa zote anazopeleka kwenye timu nyingine zipelekwe Yanga, wakati huo huo upande wapili kanji bai hataki kutoa hela ya mfukoni, anaendesha timu kiujanja ujanja. TFF kubalini pendekezo la makolo haraka, wanahamu ya kupigwa 5+ mara kwa mara.
  19. Kwanini iitwe Kariakoo Derby wakati ni timu ya Simba SC pekee iliyo Kariakoo?

    Mada zangu zina kawaida ya kuwa mbele ya muda. Ukija kibishibishi muda utakuumbua. Kuna siku nilihoji uhalali wa kusema ligi ya NBC ni ya 5 kwa ubora Africa, wengi wakanibishia bila chanzo cha kuaminika cha hiyo ranking. Matokeo yake sasa hivi, kila mtu, kuanzia mashabiki, wachambuzi hadi...
  20. Kwanini hakuna special thread za timu za Tanzania?

    Tangu nijiunge JF naona special thread za timu za ulaya tu: Manchester City Manchester United Arsenal Real Madrid Barcelona Lakini sijaona special thread za Simba SC,Young Africans,Azam,Kagera Sugar, au timu yoyote ile ya Afrika! Zipo mimi ndio sijaziona hizo thread? Sheria na kanuni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…