Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.
Hatutaki baadaye kuja na zile swaga za kushiba makande ya mchana na kuanza kuangalia upepo umelalia wapi ndio mnaibuka!
Inatakiwa tujue mapema hii timu ni ya aina gani ili kusudi tuweke kumbukumbu sawa.
Kuna wale vijana wa Mwenyekiti Rage washasema ndio mwisho wa Yanga, hawatoboi kutokana na...
CHAKI (JAFFAR KASMALI) MCHEZAJI WA COSMOPOLITAN NA TIMU YA TAIFA AMEFARIKI LEO NEW YORK
Chaki alikuwa golikipa hodari wa Cosmo katika miaka ya 1960 wakati huo wachezaji wenzake ninaowakumbuka walikuwa Msuba, Mansur Magram, Mustafa Mabuge, Emil Kondo, Kitwana Popat (Kitwana Manara) ni miaka...
Ni sehemu maalum kwa wadau wa mpira wa miguu kutoa maoni, ushauri na uchambuzi.
Msimu mpya umeanza kwa timu zetu 4 kuiwakilisha Tanzania kwa ushiriki wa michuano ya kimataifa barani Afrika.Tanzania imepata nafasi ya kupeleka timu 4 ukiwa ni msimu wake 4, Ligi ya Tanzania inashika nafasi ya 5...
Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha.
ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
Azam pamoja na kutikuwa Bora lkn likija swala la Simba au Yanga wanakuwa wamoto mno. Je wanakamia?? Niko!!!!
Timu Hizi kubwa kwanza hutaka ushindi kwa namna yoyote na kila timu ndogo viongozi wengi Ni washabiki wa Hizi timu kubwa na hivyo kutumika kuhujumu timu kwenye mechi ngumu.
Kama kila...
Haya mambo ya kubebana eti kuimarisha Muungano ifike pahala isiwe kwenye kila kitu. Hata mwk jana timu ya Zanzibar ilifungwa goli 7 hadi AIBU. Jana tena timu zote mbili za znz zimefungwa.
Hawa jamaa wakitaka timu zao ziimarike WAKUBALI KUWA SEHEMU YA LIGI KUU TANZANIA NA WAACHE UBINAFSI...
Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana.
Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa...
Mimi naomba kwa wale wote wanaopenda nchi yetu tusibaki kulalamika na serikali yetu ambayo haifanyi lolote kurekebisha mkataba badala yake naomba tufanye hivi
Team ya wasomi wanao taka mabadiliko wasafiri kwenda Dubai kama wadau wa maendeleo na waombe kukutana na viongozi wa huko . Waende na...
Simba sc mnyama hatari kafanya yake leo, na ndiyo timu kubwa zinavyobeba makombe.
Eti oooh tumeupiga mwingi, sasa kama umecheza vizuri umeshindwa vipi kufunga magoli, ukweli usemwe leo simba waliingia kwa ajili ya kubeba hiki kikombe na wamefanikiwa.
Nyie mlioingia kwa ajili ya kutandaza...
Najua wanachama na mashabiki mmehuzunika kupoteza ngao leo lakini huzuni yenu itakwisha siku sio nyingi!
Yanga wameonyesha bado wanacho kikosi bora sana kuanzia beki na viungo but tatizo lipo kwenye final third, ambalo nafikiri kocha gamond anatakiwa alifanyie kazi, na aanze kumtumia Hafidh...
Kuna rafiki yangu alikuwa anamiliki gazeti la michezo wakati fulani. Rafiki yangu huyu alinipa Siri ni Kwa vyombo vya habari huwa vinaipaisha sana Yanga.
Alisema kuwa mashabiki Wa Simba si wanunuzi Wa habari za michezo kuliko mashabiki wa Yanga.
Kwa maelezo yake ni kwamba siku Yanga ikishinda...
Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine!
Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa...
Nijijibu mwenyewe kuwa ukubwa wa timu ya Azam UPO KWENYE RASILIMALI HASA KIWANJA, TV NA VIWANDA NA WALA SIO UWANJANI.
Uwanjani Timu ya Azam ni sawa tu na Coastal Union, Moro Utd, Mtibwa , Ruvu shooting nk
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2.
Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
Rais kuhudhuria shughuli za Simba ni mpaka aalikwe kwenda Simba day, hii inatia mashaka, hivi Raisi wa Tanzania anashindwaji kubalance mzani wa usimba na uyanga ?
Rais aliibembeleza Yanga ikubali mualiko kwenda Ikulu maana wakati huo Yanga ilikuwa na ratiba ngumu ya kwenda kumaliza mechi za...
Ni suala la muda tu pumba na mchele vitajitenga, nimeona timu zote Azam, simba na Yanga na nimejiridhisha ya kuwa bila kupepesa macho wala kutikisa masikio Wananchi waendelee kutamba mjini bado wanayo timu bora ambayo inakwenda kutwaa tena ndoo kwa mara nyingine!
Kutoa mapovu ni ruksa but...
Ni mechi ambayo imekuwa rahisi sana kwa mabeki wa simba Kutokana na mambo kadha wa kadha ya kiufundi, kwanza ni wazuri kwenye umiliki wa mpira kwa mchezaji mmoja mmoja but kitimu bado wana kazi kubwa ya kufanya, pili awachezi mpira wa malengo na inaonekana wachezaji wao wengi awana uzoefu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.