timu

Caleb Timu (born 22 February 1994) is a New Zealand-born Australian rugby footballer of Samoan heritage who plays rugby union for the Queensland Reds in the Super Rugby competition. His position of choice is back row/loose forward.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tujulishane timu tunazoenda kushabikia Kombe la Dunia 2022 Qatar

    Mimi ni 🇳🇱 Netherlands a.k.a Dutch Land, a.k.a The Oranges.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msiangalie Kombe la dunia chukueni tahadhari

    Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama. Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Yanga jihadhari na kuporomoka kwa timu 23/24 season

    Yanga imefanikiwa kuingia mechi za makundi kwa uwezo mzuri wa kiufundi kisoka iiliouonesha pale tunisia.mbali na furaha hiyo kwa sisi wapenzi wa soka yanga inalizimika kujihadhali na kuporomoka kwa soka baada ya michuano kuisha. Kuporomoka kwa soka kunatokana na uwezekano mkubwa wa kuibiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Nembo mpya ya timu

    Nisiwe msemaji sana, Picha inajitosheleza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ifike mahala ubora wa Yanga uheshimiwe kwa sasa vinginevyo timu nyingi zitaumia

    Naona kuna baadhi ya mashabiki ambao wao chuki na husda ndiyo wameviweka mbele, badala ya kuangalia mambo ya kuujua mpira. Hata kama unaichukia timu fulani kwa sababu zako lakini ukweli unabaki kuwa ukweli na hauwezi kubadilika. Yanga kampiga Singida goli 4 lakini kuna wale watu wa umbumbuni...
  6. JamiiForums Tanzania Timu za Afrika zinaenda kupata aibu Kombe la Dunia Qatar 2022

    Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto. Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
  7. JamiiForums Tanzania Hizi ndio timu kubwa Afrika kwa sasa

    Makolo hawapo povu ruksa
  8. JamiiForums Tanzania Timu ya As Vital club huko iliko inaomba isipangwe kundi Moja na mnyama mkali Simba

    Kuna jamaa yangu yupo Congo DRC amenidokeza kuwa, mpaka Sasa maombi ya wakongoman wengi ni kuomba kutopangwa kundi Moja la klabu bingwa na Simba timu Yao ya As Vital. Hii imetokana rekodi mbaya waliyonayo clabu hiyo dhidi ya Simba Sports club. Jamaa aliendelea kudokeza kuwa ingekuwa mserereko...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hii tunaiitaje timu kushinda lakini mashabiki wanakosa furaha na kuwa kama wamefiwa hivi

    Hii kitu sijaielewa Wazee wa pira linatembea wameshinda leo lakini mashabiki wake uku wamekuwa kama wamemwagiwa maji ya baridi sijui hii ganzi ya ghafra waliyonayo kuna nini nyuma ya pazia.
  10. JamiiForums Tanzania Nilichojifunza kutoka timu za Tanzania ambazo zimefuzu group stages za CAFCC na CAFCL

    Mwaka jana vijana wangu wawili walikuwa wanafanya mitihani yao ya Taifa. Mkubwa alikuwa akifanya mitihani ya kidato cha 4 na huyu wa mwisho alikuwa akifanya mitihani ya darasa la 4. Matokeo yao yalipotoka mwaka huu yalikuwa hivi:- 1. Huyu wa darasa la 4 alifaulu kwa kupata A zote. Nyumbani...
  11. JamiiForums Tanzania Mgunda hana uwezo, atuachie timu yetu

    Nyie viumbe naamini mmeamka salama japo Mihogo FC wanatupigia sana kelele. Kwa wale mnaofatilia mpira wa Simba hivi karibuni mtaona kabisa Mgunda ana uwezo mdogo sana, kiufupi anabebwa na uwezo binafsi wa baadhi ya wachezaji. Kabla hatujapata aibu zaidi naombeni uongozi wangu/wetu umtimue mara...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sasa Yanga ndiyo timu inayocheza mpira mzuri barani Afrika

    Kwenye suala la kumiliki mpira na kucheza kandanda safi kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla, sioni timu ya kuwashinda wananchiwananchi. Tumaini pekee la wapinzani wanaokutana na Yanga ni kupaki basi na kucheza kaunta attack. Mtihani wa benchi la ufundi kwa sasa ni kuja na mbinu za kuwafunua...
  13. JamiiForums Tanzania Azam TV Mechi ya Timu yangu pendwa Club Africaine na Yanga Mihogo FC ni saa ngapi?

    Nijibuni upesi kwani nataka nimuandae kabisa Mnyasa (Mmalawi) wa kuwa naye usiku mzima wa leo na niandae pombe za kunywa ili kusheherekea tu kutolewa rasmi kwa klabu moja, na Tanzania kubakia kuwakilishwa na klabu moja tu kubwa kuliko inayojulikana hata na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ya...
  14. JamiiForums Tanzania M-BET: Mdhamini pekee wa timu katika NBC PL mwenye furaha kuliko wote

    Kwa hali ilivyo sasa kama mdhamini katika NBCPL anataka kupata return ya haraka kwa hela aliyowekeza, Simba SC ni sehemu sahihi. Hili limejidhihirisha msimu huu (2022/23) ambapo M-BET anapata marejesho lukuki. Katika msimu huu (2022/23); 1. M-BET imemwaga bilioni 1 Simba Queen. Kwa sasa Simba...
  15. JamiiForums Tanzania Timu nyingi zinazojipendekeza kuwahi kwenda kucheza na 'Waarabu' huishia kufungwa magoli mengi mno

    Ni akili ya kawaida tu ambayo wala mihogo mibovu kamwe hawawezi kujua, kuwa ni rahisi sana kwa adui yako kukusoma akijua uko naye karibu tena ndani ya eneo lake kuliko ukimshtukiza tu. Halafu mkiambiwa hamna akili mnakataa na kukasirika. Mlichokifanya kuwahi kuondoka (kusafiri) leo ni kama vile...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye hukuna timu yoyote ya Tanzania ikiwepo Simba yenye mafanikio kimataifa

    Nafuatilia mjadala wa kijinga unaoendelea kwamba eti kwa nini Yanga inafeli kimataifa wakati Simba inafanikiwa! Ili timu iwe imefanikiwa katika mashindano ni lazima ichukue ubingwa na si vinginevyo kwa hiyo timu zenye mafanikio Afrika ni Al Ahly,Zamalek,Esperance,Raja Casablank,TP...
  17. JamiiForums Tanzania Lengo la rais wa yanga kuwaita mashabiki wa timu yake wala mihogo

    Kitendo alichokifanya rais wa yanga ni udhalilishaji wa hali ya juu. Ameonesha namna gani alivyo na dharau na kuwapuuzia mashabiki wa timu ya yanga. Yanga ilikuwepo tangu miaka ya 1935. Viongozi walimtangulia walikuwa wakiheshimu mashabiki. Ni kweli mihogo ni chakula mambacho watu wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Nigeria: Kocha wa timu ya taifa hajalipwa mshahara miezi 6

    Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163). Chini ya Sheria za sasa za FIFA, Peseiro ambaye ni kocha wa zamani wa Saudi Arabia na Venezuela anaweza kusitisha...
  19. JamiiForums Tanzania Njooni tuitakie kila la kheri timu yetu ya Simba kwa mechi ya leo, maana sisi hatushindagi kwa bahasha!

    Wanalunyasi nawaalika kuja kutoa dua na sala ili timu yetu icheze kwa amani pia ishinde. Kumbukeni sisi huwa hatushindi ushindi wa kununua, kwahiyo huwa tunashnda kwa kutumia maarifa na ujuzi wa wachezaji wetu. Nawakaribisha kuja kutoa dua na sala ili timu yetu ishinde.
  20. JamiiForums Tanzania Azam siyo timu ya kubeza, Kocha Mgunda asiwe mbuzi wa kafara

    1. Azam ni timu nzuri, siyo timu ya kuilalamika sana ikikufunga. 2. Mgunda bado anatafuta chemistry ya timu, apewe muda.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…