Mfanyabiashara na mkulima wa mazao ya Kahawa, Parachichi ,Macadamia na mahindi wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe Tinson Tuloline Nzunda amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Vwawa.
Nzunda amekabidhiwa fomu leo June 29,2025 na katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya...
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nyimbili, Tinson Nzunda, ametangaza rasmi nia ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Vwawa, akiahidi kuleta mabadiliko ya maendeleo endelevu kwa wananchi.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Vwawa, Nzunda amesema ameamua kujitosa kwenye kinyang’anyiro hicho baada ya...