tiseza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania As an investor, are you aware of the valuable incentives you're missing by not registering your investment with TISEZA? READ THIS

    You may be thinking deeply and asking yourself numerous questions, yet still not finding clear answers. Questions like: (a). How are my competitors able to sell their products at prices lower than mine? (b). How are my competitors earning higher even supernormal profits compared to my business...
  2. JamiiForums Tanzania TPSC na TISEZA Waungana Kuimarisha Ufanisi wa Watumishi Wapya

    Mafunzo Elekezi kwa Watumishi Wapya wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) yameanza leo, Mei 28, 2026, ikiwa ni hatua muhimu ya kuandaa wataalamu wa mamlaka hiyo kwa kuzingatia misingi ya utumishi wa umma na miongozo ya serikali. Watumishi wapya 29 wanashiriki...
  3. JamiiForums Tanzania UDOM, SYDF na TISEZA Waibua Mwanga wa Uwekezaji kwa Vijana

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF) pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), leo tarehe 15 Mei 2026, wameendesha mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi yaliyofanyika katika Ukumbi...
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Mkumbo ateuwa wajumbe 7 wa bodi ya mamlaka ya uwekezaji na Maeneo maalum ya kiuchumi Tanzania (TISEZA)

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Mhe. Prof. Kitila A. Mkumbo(Mb.), kwa mamlaka aliyonayo kwa mujibu wa Kifungu cha 8(2)(b) cha Sheria ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi ya mwaka 2025 ameteua wajumbe saba (7) wa Bodi ya Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania TISEZA kutoa ardhi bure kwa wawekezaji. Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike?

    TISEZA KUTOA ARDHI BURE KWA WAWEKEZAJI, Je eneo lipo jirani na reli ya SGR itumike. Eneo la NALA DODOMA lipo kilometa 10 kutoka reli mpya ya SGR ilipojengwa. Je TISEZA inasomana na reli mpya ya SGR ili wawekezaji waweze lutumia reli hiyo ya matrilioni ya shilingi Ni muhimu maeneo ya pembezoni...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Gilead Teri ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Gilead John Teri kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalum ya Kiuchumi Tanzania (Tanzania Investment and Special Economic Zones Authority -TISEZA). Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…