Wakuu
Baada ya uchaguzi mbovu wa 2020,kulijitokeza dosari kubwa Sana ya uundaji wa serikali KWA mihimili mitatu hasa wa Bunge ambao ulikosa UHALALI wa kisheria KWA kukosa wapinzani wakutosha Bungeni.
KWA kutambua hilo UHUNI ulifanyika KWA mara ya pili KWA KUINGIZA wabunge ambao hawana baraka za...
Idara ya usalama wa taifa, yani najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kundi la watu zaidi ya 15 wanakusanyika wakiwa na siraha maeneo ya mjini, hakuna taarifa yoyote kwa vyombo vya usalama?
2. Mtu wa kwanza hadi wa 19 wanajeruhiwa, hakuna alert yoyote bado kwa vyombo vya usalama?
Kwa hali hii je...
Kumekucha.
Yasemekana wale wababe wasiojua mipaka ya kazi yao, tayari yamewakuta:
Habari hii kwa sasa inazunguka kama moto wa nyika.
Hii ni kumhusu yule dogo aliyewekwa mtu kati, hadi kumkumbuka mjomba wake katika familia wala si serikali.
Kama hii itakuwa si wao wenyewe katika kutaka...
DGIS Diwani Athumani kuondolewa, aweza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP)
Chanzo kinadokeza kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya anaenda kuondolewa na anaandaliwa kuwa Mkuu wa Polisi Tanzania (IGP)
Aidha, inaelezwa kuwa yeye na Wambura Camilius ni miongoni mwa...
Yunus Nassoro Alli, 32yrs, Mshirazi wa Kilimahewa ambaye anatuhumiwa kujifanya mtumishi wa serikali "TISS".
Anadaiwa kukamatwa na kupatikana na vitu vifuatavyo;
1) Plate number nyekundu 112
2) Plate number za njano 27
3) Plate number nyekundu 12
4) Plate number za nje ya nchi 2
5) Plate...
Waziri Mulamula amesema Serikali imepeleka maofisa wake katika nchi za Hungury na Poland ili kuratibu safari za wanafunzi waliokwisha vuka mpaka kutokea Ukraine.
Kadhalika kuna wanafunzi ambao wameamua kwenda kuishi kwa ndugu na jamaa zao huko Denmark, Slovakia na Sweden.
Wanafunzi 11 wako...
Ndugu wanajamvi, msaada tafadhari anayefahamu anuani au barua pepe ya ofisi ya TISS,
Nimepewa task ya kiofisi nitume barua ya kwenda ofisi TISS makao makuu
Au ni njia gani nyingine naweza kuitumia kutuma barua au kuweza kufika ofisini kwao?
Naombeni msaada tafadhali.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa...
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha...
Habari wanajukwaa,
Taasisi za Usalama wa taifa ni moja ya taasisi nyeti kwenye taifa lolote duniani ambapo tukiwa nje huwa tunasikia au kuambiwa kwamba wanaofanya kazi humo ni watu wenye mafunzo maalum na huwa hawajionyeshi au kujitangaza kwa watu kuhusu wanachofanya.
watu wengi wamekuwa...
Kumekuwepo na propaganda ya miaka mingi kuwa CCM inajua kuandaa na kulea viongozi sio tu ndani ya nchi mpaka nchi jirani (Enzi za Mwalimu) nakumbuka hta Mhe.Polepole alisema wana master plan ya kuongoza nchi mpaka 2075!!
Kinachonishangaza toka Mama SSH aingie madarakani ni kama vile CCM...
Umepambana chini juu kutafuta shavu TISS ukakosa, ukapambana ukapata sehemu nyingine ya kupata tonge nyama maisha yakaendelea. Sasa siku umekufa TISS wamekuja kukuzika na kuutambua mchango wako. Mkuu wa msafara wao anatoa shukrani zake kwa familia na kwa marehemu kuwa ulikuwa mtumishi wao mwenye...
Ligi ya Tanzania imeshakuwa kubwa Sasa inapesa na Ina watu wa kutoka mataifa mbalimbali swali langu ni je Serikali yetu Ina moles wake mule TFF?
Je, maslahi ya nchi ndani ya ligi tajiri Afrika Mashariki na Kati nani anayalinda?
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia...
Habari wadau..!
Kumbe kuwa usalama wa Taifa sio mpaka uajiriwe na wale watu.
Mwaka huu nimejikuta tu nafanya kazi za wale jamaa pasipo kujua na kuisaidia serikali kupata 20M ambayo ilikuwa inapotea kama kodi baada ya kuwachoma wakuda fulani kwa serikali na kutiwa hatiani.
Ila hawa waduanzi...
Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma
Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda
Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba na kwenda kufanyia mambo mengine kabisa. Mara tunajenga kwa pesa zetu
Sasa na Samia ameanza...
Rais Samia, anatakiwa kutambua kuwa nje ya Serikali (TISS), kuna supper intelligence ambayo TISS haipo.
Huku nje ya Serikali, kuna wataalam wa uchumi ambao kwenye Wizara ya mipango na uchumi, hawapo.
Huko nje ya Jeshi la Polisi, kuna watu wanajua nadharia ya usalama ambayo ndani ya Jeshi la...
Idara ya usalama wa Taifa (TISS) imeundwa kwa sheria ya bunge namba 15 ya mwaka 1996 (Tanzania Intelligence and Security Service act No. 15 of 1996) iliyosainiwa na Rais Benjamin Mkapa tarehe 20 mwezi Januari mwaka 1997. Sheria hiyo ndio inayoipa mamlaka Idara hiyo kufanya kazi zake ndani na nje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.