Naibu Waziri anayehusika na mambo ya Ajira sijui na Nini vile, amejitokeza na kuwalaumu vijana wenzake kuwa ni walalamishi na wanachagua Ajira! Sina tatizo na Hilo ila tatizo langu ni wapi zilipo Ajira ambazo vijana walipewa wakazigomea?
Ni ujinga na kujilisha upepo kuona au kuwadharau vijana...