PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY

KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU

NDUGU YANGU KAKA PT
BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK

NDIO MAANA UMEONA WANANCHI WANAULIZA MNASEMAJE MMEJAZA GESI WIKIMBILI

HAMKUWA NA HELA
KAMA NDIO KWANN MSIUZE HAYO MAGARI MNUNUE GESI

3.NILIJUA UMEJIFUNZA KWA KIBOKO YA WACHAWI ASHAWAHI DANGANYA WAJINGA MAMBO YA GESI

4.NAAMINI UNA NAFASI YA KUTUBU KAMA UNAJUA ULIDANGANYA NA KAMA.KWELI JINA LA BWANA LIBARIKIWE
5
NIMEONA CLP MDA HUU UMEONGEA KWA HASIRA SANA SIO KAMA MPENDWA KTK BWANA

MBAYA UMEENDA MBALI KWAMBA UKIWA KAZINI KWAKO UKASIKIA KUNA PAST ANADANGANYA WATU ANAJAZA GESI MWAMBIE MBONA YEYE ALIFANYA UMALAYA KUPATA KAZI

N MANENO SIO YA MPAKWA MAFUTA KWAMDA HUU KUYAONGEAA...

KUMALIZA HUU UBISHI WAMBIE WANANCHI LINI TULETE GESI ZETU UTUJAZIE HATA WIKI MOJA TU

M NTAKUWA WA KWANZA KUKUTANGAZIA HUU MUUJIZAOTHERWISE ACHANA NA YA DUNIA NAONA UMEJIKITA KUJIBU MANENO YA MITANDAON KWENYE IBADA

UMESAHAU WATU WAMECHOKA MAKAZINI WAMEKUJA KULISHWA NENO LA.MUNGU NA MIUJIXA

MWISHO TUACHE KUPENDA VYA BURE HATA SHETANI ANAOGOPA SANA VYA BUREE VINA MADHARA MAKUBWAA

MUNGU AWAONGOZEE MKALITANGAZE NENO LA BWANA NA SIO KUJIBU MAMBO YA KITANDAONI IBADANII

SHALOM
SHALOM
SHALOM
 
WALLPER NJOO HUKUU
 
Mpwaaa yaaan tuna mambo mengi wahuni hawana hata huruma ya msibaa mbavu zaooo

Waller kajirekodi mdahuu fb anasema kama Yesu alibadilishaaa maji kwenda divaii why nt pt nkamjibuu nyokooooo
hawa vijana hawana hekima, hela na umaarufu vina wavimbisha kichwaa.. Na mamlaka inawachekea tu na drama zao
 
NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY

KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU

NDUGU YANGU KAKA PT
BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK

NDIO MAANA UMEONA WANANCHI WANAULIZA MNASEMAJE MMEJAZA GESI WIKIMBILI

HAMKUWA NA HELA
KAMA NDIO KWANN MSIUZE HAYO MAGARI MNUNUE GESI

3.NILIJUA UMEJIFUNZA KWA KIBOKO YA WACHAWI ASHAWAHI DANGANYA WAJINGA MAMBO YA GESI

4.NAAMINI UNA NAFASI YA KUTUBU KAMA UNAJUA ULIDANGANYA NA KAMA.KWELI JINA LA BWANA LIBARIKIWE
5
NIMEONA CLP MDA HUU UMEONGEA KWA HASIRA SANA SIO KAMA MPENDWA KTK BWANA

MBAYA UMEENDA MBALI KWAMBA UKIWA KAZINI KWAKO UKASIKIA KUNA PAST ANADANGANYA WATU ANAJAZA GESI MWAMBIE MBONA YEYE ALIFANYA UMALAYA KUPATA KAZI

N MANENO SIO YA MPAKWA MAFUTA KWAMDA HUU KUYAONGEAA...

KUMALIZA HUU UBISHI WAMBIE WANANCHI LINI TULETE GESI ZETU UTUJAZIE HATA WIKI MOJA TU

M NTAKUWA WA KWANZA KUKUTANGAZIA HUU MUUJIZAOTHERWISE ACHANA NA YA DUNIA NAONA UMEJIKITA KUJIBU MANENO YA MITANDAON KWENYE IBADA

UMESAHAU WATU WAMECHOKA MAKAZINI WAMEKUJA KULISHWA NENO LA.MUNGU NA MIUJIXA

MWISHO TUACHE KUPENDA VYA BURE HATA SHETANI ANAOGOPA SANA VYA BUREE VINA MADHARA MAKUBWAA

MUNGU AWAONGOZEE MKALITANGAZE NENO LA BWANA NA SIO KUJIBU MAMBO YA KITANDAONI IBADANII

SHALOM
SHALOM
SHALOM
wakati kapola anaanza huduma yake ni kama alikuwa mkweli. ila kwa sasa hana tofauti na Mwamposa, utapeli utapeli tu
 
OGPAA SANA KUPATA NGUVUZA ZIADA KUPITIA NGONO UTAAIBIKA TU
 
Kweli sio kila homa ni malaria, sasa hapa si tutapata shaka hizo baraka sio za Mungu wa mbinguni, mana hiki kichambo ni cha kishetani kabisa. Sio hekima ya Mungu hii
 
Jamani tuache kumjaribu Mungu kwa namna yoyote ile kwa maana yeye alitupatia uwezo,akili na maarifa.

Ndio maana ukiugua unameza dawa na yeye anakuponya

Gas ikiisha muombe Mungu akujaalie kazini upate hela ukajaze au ukakope gas kwa duka
 
Ndo utujazie na wengine basi hiyo gesi
Hawa watu wanaojifanya miujiza wanaona waumini wao Kama wajinga flani
 
Yaani kama Yesu angekuwa na hasira na maneno ya wanadamu kama huyu mchungaji hii dunia isingekuwapo! Yaani mizaha ya kwenye social media tu tayari mchungaji imemuondolea uwepo wa Mungu! Yaani amejibu kama Mwinjaku
 
Punguza kujitetea kama kweli ni muujiza basi nyamaza Mungu akutete

Ila unavozid kujitetea ndo tunazidi kuamini kua ni uongo ,,uliwai ona askofu au padri wa katoriki anajitete kama nyie wapigaji😂😂
 
Afungue shell ya gesi akae awe tu anajazia watu Kwa kupulizia mitungi, ili awe analipwa
 
Back
Top Bottom