PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

Mimi nimemshangaa sana kwa haya majibu
 
Tony hizoo n comment za fb wanakuogopa kama ukomaaaa hubrinenolaMungu acha taarabuuu
 
Now we know who is he,
 
Ameacha injili na kugeukia mipasho, mwenyezi Mungu atusaidie sana.
 
Yaani kama Yesu angekuwa na hasira na maneno ya wanadamu kama huyu mchungaji hii dunia isingekuwapo! Yaani mizaha ya kwenye social media tu tayari mchungaji imemuondolea uwepo wa Mungu! Yaani amejibu kama Mwinjaku
 
Kuna mesali wanasema mjuwe ndugu Yako vizuli pale anapo miliki pesa ndipo huta tambuwa ekima yake matamshi aliyo nayo so wengi hushitushwa na majibu kama nahaya Hila apo ndo mjuwe Sasa tunapo elekea ni wapi duniani apa ...
 
Huwa mnatumia mda Gani kupikia Gas ikijaa?
 
🤣😃 hekima ikkosa buana . Unaumbuka vbya
 
😭😭😭Mchungaji, sioni sababu yoyote ya kutumia nguvu kubwa kiasi hicho kujibu haya mambo😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Hata ungekaa kimyaa tu ingetosha,na bado ingebaki utukufu kwa Mungu., unapoendelea kuchochea ndivyo watu wanavyozidi kupata hamu ya kudhihaki zaidi.

Unapotaka DUNIA yote ikuelewe na ikukubali kila unachokiongea hilo ni tatizo kubwa saana,nasi tunakushangaa, kwa sababu hata miujiza yote aliyoifanya YESU KRISTO sio watu wote waliikubali,wengine walikejeli na kutukana,hata ktk ufufuo wa Yesu Kristo wengine hawaamini, na Mungu hashangai wala kulazimisha mtu aamini, kwa sababu sio watu wote wamejaliwa kuelewa siri za Mbinguni, hasa wapagani hawawezi wakakuelewa na wapo sahihi kutokukuelewa kwa sababu Mambo ya Rohoni hutambulikana kwa watu wa Rohoni, mtu wa mwilini hawezi kumtambua mtu wa Rohoni ila mtu wa Rohoni huwatambua wote wa mwilini &Rohoni.

Sasa ni ajabu saana unapotaka kila unachokiongea watu wakukubali na kukusifu,ni hatari saana 😆😆😆

Kwani ungekaa kimyaa ungepungukiwa nini?,kwa sababu hili jambo sio jambo la kawaida, unapoendelea kujitetea ndipo unaendelea kuharibi zaidi,kwa sababu hata uongee hadi kesho hakuna mtu atakuelewa kwa watu wasiomjua Mungu, kwa sababu hata ukiwaambia watu miujiza ile ktk Bahari ya Sham,mto Yordan, wakoma, mwanamke wa serepta , kutembea juu bahari, mikate na samaki, kwale jangwani, mwamba kutoa maji,kwa akili ya kawaida ni haiwezekani kabisa, ni wachache wanaokuelewa., Sasa wewe mbona unapata shida kiasi hicho? Unapolazimisha wakuelewe,tunaanza kuwa na mashaka na wewe😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

Kuna vitu vya kupambana na kulazimisha,lakini sio watu wakuelewe miujiza yako,sikutegemea kama ungejibu hili tena kwa kutumia nguvu kiasi hiki.😭😭😭😭😭😭😭
 
haya n Malibu ya Fb Tony
Bdilika badoo kijana mwenzioo alipigwa wino mweknundu wasirudi dar we si utafinywa serkl za mitaaa ulipotokaa???
 
Back
Top Bottom