tofauti za kidini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ndauga: Vijana msidai haki bila kutimiza wajibu wenu, tusikubali tofauti za kidini zituhukumu

    Rais wa Umoja wa Wanazuoni Tanzania (Hay-Atul Ulamaa), Sheikh Abdallah Ndauga, ametoa wito mahsusi kwa vijana kote nchini kujitokeza kudai haki zao kwa njia ya ustaarabu, lakini bila kusahau wajibu wao kama nguzo muhimu ya ujenzi wa taifa. Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 17 Novemba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje mtu anakufundisha kuchukia mtu mwingine kwa jina la dini? Fikra pevu yako iko wapi? Reasoning yako iko wapi? Utu wako uko wapi?

    "Peace cannot be kept by force, it can only be kept by understanding." Albert Einstein Hata hauwezi ukajiuliza kwamba existence ya hapa duniani ni kutokana na hali ya kutegemeana? Bila ya technology kubwa ya mzungu, je mwarabu angeweza kuvuta na ku-process mafuta kwa kiwango kikubwa? Bila ya...
Back
Top Bottom