tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. I

    Uwanja wa ndege wa Beirut waanza kuwakagua hata wana diplomasia wa Iran tofauti kabisa na ilivyokuwa huko nyuma

    Uwanja wa ndege wa Beirut unatekeleza hatua kali kwa safari za ndege za Irani, pamoja na mwanadiplomasia - hii ndio sababu. Akiwasili kutoka Tehran kwenda Beirut kwa ndege ya "Mahan Air", mwanadiplomasia wa Iran alitoka moja kwa moja kutoka kwenye ndege hadi kituo cha ukaguzi cha skana ya...
  2. Hi Guyz...

    Am new member here! Nimevutiwa na jukwaa hill kwa mambo mengi zaidi kubadilishana ideas,naombeni ukaribisho weni guyz! Asante.
  3. Tofauti ya vitabu vya MEP na TIE

    Habari za asubuhi wanajukwaa, Naomba kujua tofauti ya vitabu tajwa hapo juu maana naona kuna shule hasa hizi za English Medium zinatumia vitabu vya MEP kufundishia na zingine zinatumia vitabu vya TIE kufundishia. Kwa mfano mwanangu alikuwa anasoma shule flani (ameshamaliza)na walikuwa...
  4. M

    Watawala wetu wajitathmini upya. Tanzania na Msumbiji hakuna tofauti sana

    Napenda kuwaasa watawala wetu kuwa, kuanzia sasa waanze kusoma alama za nyakati. Mwaka 2025 tunarajia kufanya uchaguzi Mkuu. Viongozi wetu waongoke, wasirudie tena yaliyopita katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2019, uchaguzi Mkuu 2020 na uchaguzi wa serikali za mitaa 2024. Kinachoendelea...
  5. Tofauti na pesa, kazi na wasifu, ni yapi mengine ambayo huongeza ushawishi kwa mwanaume dhidi ya wanawake?

    Wengine wanavutia wanawake wengi ambao hata hawafahamiani kwa kina mfano strangers tu
  6. R

    Make up na mask (kifuniko cha uso) kuna tofauti gani?

    Salaam, Shalom!! 1. Mchawi anapokujia usiku, akijua wewe u Roho, utamwona,hupaka unga usoni kisha hunuiza maneno Fulani Fulani Ili asionekane, na nuizo Hilo huambatana na kufunika sura yake Kwa kifuniko Cha mnyama kama mbwa au paka, nyoka, ngombe nk nk. Ndio maana utaota ukikimbizwa na nyoka...
  7. M

    Wanasiasa wa Tanganyika ni tamaa ya madaraka na wanakosa subra tofauti na Zanzibar

    Tamaa ya vyeo, mfuragano nakukosa subra ktk vyama vya siasa 1. NCCR 2. TLP 3. CUF bara 4. Hivi sasa chadema Siasa wanaona mchakato wa siku 1 , 2 au 3
  8. S

    Mshahara wa mkemia uanaeanza kazi salary scale ipi na je ni tofauti kwa tbs,gcla tpdc na wizara kwa chief pharmacist.

    Naomb kujuan salary scale ya mkemia kwa tbs,gcla na tpdc,nimr,nm
  9. D

    Tofauti ya watu wanaomuunga mkono Freeman Mbowe na wale wa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti CHADEMA

    Hizi hapa ndiyo sifa kuu za wanaomuunga mkono Freeman mbowe. machawa wanaotegemea kula na kuendeleza harakati zao kwa mgongo wa mbowe (posho za harakati) Wanachama wenye maono madogo yaliyobebwa na imani zaidi kuliko akili (Hisia) Watu waliokata tamaa ya kushika dola na hawaamini kuwa chama...
  10. Wahaya wana akili sana kiukweli , nimemfatili Dr Ellie Waminian huyu jamaa ana hatari sana

    Leo nilikuwa natazama chomoza TV nimekutana na jamaa mmoja muhaya anaitwa Dr Ellie Waminian huyu jamaa Ana akili Sana . Nimeambiwa ni muhaya Hili kabila litakuwa na DNA Kama za wazungu
  11. Mambo tofauti tunayokutana nayo Madereva wa malori toka enzi

    Hii ni kwa ufupi juu ya mambo mbali mbali tunayokutana nayo toka enzi mpaka leo hii.....Mengine hudhaniwa ni ya kutunga mengine yanahusishwa na uchawi na ushirikina hasa kwenye makampuni ...... Basi hapa nitakuwa nampeni stori tofauti tofauti juu ya vituko na mambo ambayo si ya kawaida sana...
  12. K

    Mfumo wa kutengeneza NIDA. Na mfumo wa kutengeneza kitambulisho cha mpiga kura tofauti yake ni kidogo ila mbona NIDA ni Kero?

    Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu.. Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
  13. D

    Nilichogundua mke kuolewa siyo bahati bali awe na sifa hana tofauti na kiwanja sehemu nzuri kununuliwa ni chapu kwa haraka kuliko magumegume

    Wanaosema kuolewa ni bahati huwa wanajifariji tu! Ukweli ni kwamba kuwa mke wa mtu ni vigezo na sifa maalum ambavyo siyo kila mwanamke anavyo! Kutokuwa malaya haina maana unasifa moja kwa moja kuwa mke wa mtu bali hii ni tabia njema ingawa siyo tiketi ya kuolewa! Mwanamke mwenye sifa ya...
  14. Je, ni ipi tofauti ya Mbowe, Kagame, Museveni, Nyerere na viongozi wa aina hiyo?

    Nyerere Alikaa madarakani zaidi ya miaka 20, hakuna ishu ya maana aliofanya kwenye kuikomboa nchi na umasikini zaidi ya kupandikiza uoga kwa raia….hakupaswa kuitwa baba wa taifa. The worst president in our history. Museveni yupo madarakani tangu sijazaliwa… over 38 years ! Uganda ni nchi...
  15. Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi

    Kuna tofauti gani kati ya sala na maombi pia ni wakati gani utatumia hichi utaacha hichi:)
  16. E

    Bus kuwa VIP linatakiwa kuwaje maana kuna moja nimepanda hakuna tofauti kubwa na la kawaida

    Kuna bus moja huko kanda ya ziwa sitalitaja ila sipandi tena kutokana na kutuona abiria ni wajinga. Baada ya kukuta kampuni niliyoizoea kujaa nikaenda kampuni nyingine nikaambiwa imebaki VIP na nikatajiwa nauli ambapo inaongezeka elfu 15 kutoka ile ya kawaida. Nikawauliza kuna huduma gani za...
  17. Kwa namna fulani Ustaarabu katika jamii yetu hivi sasa ni tofauti na zamani

    Hey wanajamvi heri ya msimu huu wa sikukuu na tukiwa tunaelekea kumaliza mwaka, naamini pilika zinawaendea vizuri kabisa. Kwa sisi tunaopata nafasi ya kuzunguka sehemu tofauti tofauti ndani ya nchi hii,naweza kusema Watanzani angalau sasa tumekuwa wastaarabu. Zamani ulikuwa ukiingia maeneo ya...
  18. Q

    Prof. Tibaijuka: Uongozi wa Chama na wa Nchi ni tofauti, mission ya Mbowe haijakamilika

    PROF TIBAIJUKA: MISSION YA MBOWE HAIJAKAMILIKA! “Nimemsikiliza huyu Katibu. Sidhani kama anafahamu haja ya kutenganisha Chama Tawala na Chama cha Upinzani. Anaongea kama aliyekariri mambo. Anatumia mfano wa Zitto Kabwe (@zittokabwe) kuachia ngazi. Mbowe alielezea vizuri jana suala la Mission...
  19. KERO Nikwamba wafanyakazi wa Tanesco hawana nyimbo zingine tofauti na nyimbo za matusi wanazoimba kila leo wakiwa site?

    Wakuu kheri kwenu nyote. Naandika haya ikiwa siyo mara ya kwanza wala ya pili kuwasikia hawa wafanyakazi wa Tanesco wanaweka nguzo za umeme pamoja na nyaya zake(cable). Vijana hawa haijarishi wapo kwenye makazi ya watu au maporini nyimbo zao ni zilele za matusi.Nauliza kwenu ninyi TANESCO...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…