tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. MSAGA SUMU

    Walokole siasa kali wanamuona Joel Lwaga hana tofauti na Diamond

    Hili wakuone unaimba gospel kweli inabidi kwenye verse moja utamke Yesu mara 200. Uvae mashati ya kung'aa ,chini moka na nk. Hawa wasanii wanaoimba gospel janja kwa walokole siasa kali wanawaona kama wanaimba pini za kina Diamond tu.
  2. ommytk

    Leo ni siku ya uhuru wa Tanzania ni Moja ya sikukuu kubwa sana wananchi kwa nchi zingine tofauti na Tanzania inabaki kuwa sikukuu ya serikali

    Leo ni 9 December ni sikukuu ya uhuru wa nchi yetu Tanzania ni sikukuu ambayo tunakutana watu wote kwa dini zote na sio sikukuu ya kidini hii ni ya wananchi wote.tofauti kabisa na ilivyo unakuta kila mtu anaendelea na shughuli zake na inabaki kama mapumziko tu ni sio siku ya kufalia. Kwa wale...
  3. Prof_Adventure_guide

    Tofauti ya siasa na wanasiasa katika nchi yangu na mataifa mengine

    Jambo wana Jamii Forums, Natarajia mu wote mko poa sana. Leo ningependa kujadili kidogo kuhusu historia ya siasa ya Tanzania. Siasa ya Tanzania imeshuhudia mabadiliko mengi tangu nchi ipate uhuru mwaka 1961. Tumeshuhudia utawala wa chama kimoja (CCM) kwa muda mrefu, na pia mabadiliko ya vyama...
  4. RIGHT MARKER

    Uhasama wa koo au familia unaweza kuharibu ndoto za watoto na wajukuu

    📖Mhadhara (69)✍️ Zipo familia au koo ambazo hazina maelewano miaka nenda'rudi. Yaani ukoo fulani hauelewani na ukoo fulani, familia fulani haielewani na familia nyingine, au ndani ya ukoo mmoja hakuna maelewano kati yao. Gomvi nyingi za familia na ukoo zinakwamisha mafanikio kwa watoto na...
  5. ngara23

    Nina mtazamo tofauti kwenye tukio la kutekwa Kwa Abdul Nondo

    Me nawaza tofauti na wengi Nondo ametekwa Kwa sababu Gani? Nondo sio hatari Kwa watekaji 1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT Mwanzo wa tukio Kwa hadhi ya Nondo kusafiri na Saratoga kutoka Kigoma hadi Dar. Yaani M/kiti wa Vijana ACT amekosea laki 3 ya kupanda...
  6. Etugrul Bey

    Kuna Tofauti ya Kuwa Peke Yako na Kuwa Mpweke

    Kuna tofauti kubwa ya kuwa peke yako (alone) na mpweke (lonely),lkn kwa bahati mbaya sana mtu ukiwa peke yako unaonekana eti upo mpweke. Hakuna ubaya kuwa peke yako maadam tu unafurahia kampani yako binafsi ila kama uko peke yako na hujifurahii ukiwa mwenyewe hapo sasa unakuwa mpweke Lakini...
  7. Yoda

    Inawezekana vibwengo ni viumbe wageni kutoka sayari nyingine(aliens) wanaozuru duniani

    Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
  8. G

    Wajuzi mtueleweshe, Tofauti na mategemeo yetu ni kwanini wanywaji wa pombe bado wanafanikiwa

    Muhimu: Wanywaji wanakunywa bila kuharibu ratiba za shughuli zao muhimu, ni tofauti na walevi. Haimaanishi kwamba ni wote lakini kuna kundi kubwa si haba la wanywaji wa pombe wana maendeleo kwenye jamii kwa levels kama ngazi ya familia, ukoo, mtaa, ofisi, soko, n.k. Ukienda pale kariakoo jamii...
  9. Suley2019

    LGE2024 Kampeni za uchaguzi huu ni kama unasikiliza taarabu, zimejaa mipasho mwanzo mwisho!

    Salaam ndugu zangu Wanasema mtembea bure sio sawa na mkaa bure, katika harakati zangu za mtu mweusi ndani ya hizi siku mbili nimejikuta nakumbana na Wagombea kadhaa wa Chama cha Mapinduzi na CHADEMA, Nilidhani kwamba kampeni hizi zitahusisha sera za Wagombea kuwaeleza nini hasa Watafanya ili...
  10. Oscar Wissa

    Maana ya Maneno Rhema na Logos na Tofauti yake

    Logos: Katika falsafa na theolojia: "Logos" ni neno la Kigiriki ambalo lina maana nyingi, lakini kwa kawaida linamaanisha "neno," "akili," au "mantiki." Katika Biblia: Inatumika kuelezea Yesu Kristo kama "Neno la Mungu" ambaye alikuwapo kabla ya ulimwengu wote. Yohana 1:1 Rema: Katika...
  11. Mwamuzi wa Tanzania

    Tanzania na Zanzibar ni vitu wivili tofauti kabisa, yawezekana hata viongozi wetu hawawezi kutofautisha kati ya Tanzania na Zanzibar

    Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake. Utata usiomithirika. •Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
  12. Waufukweni

    LGE2024 Tundu Lissu awakalia kooni Maaskofu waliopewa pesa na Rais Samia, ataka warudishe "Hana tofauti na Yuda, hiyo pesa ina laana"

    Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu Wiliam Mwamalanga awavaa Maaskofu waliopewa fedha na Rais Samia, "Rudisheni pesa kama walivyofanya Kenya"
  13. ChoiceVariable

    Miradi hii ilipelekwa Chato. Kila Rais akipendelea kwao kama Hayati Magufuli Tanzania itaendelea kuwepo?

    Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa. Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo 1. Miradi wa Kiwanja Cha Ndege Chato 2. Mradi wa Maktaba ya Kanda ya Ziwa-Chato 3. Mradi wa Chuo Kikuu Chato-Tawi...
  14. Father of All

    Kuna tofauti gani kati ya waganga wa kienyeji na matapeli wa kidini waliotapakaa nchini na Afrika

    Waganga wa kienyeji hutumia miiko kuwaibia wateja wao. Kwa upande wa Pwani waganga wengi wa kienyeji ni mashehe au maustaadhi. Wachunaji au wachungaji matapeli hutumia miujiza. Vyote viwili havina mashiko kiuhalisia na kisayansi. Wote wanatafuta kupiga fedha. Wote ni wababaishaji. Je, hawa...
  15. Eli Cohen

    Tofauti na Iran na vibaraka wake, tishio kubwa katika nchi za magharibi ni mrengwa wa kushoto (liberals, far lefts and woke culture)

    Wanatengeneza kansa katika jamii zao kwa ajili tu ya kuwafurahisha wahamiaji holela, LGBTQ, Feminists, Anti-Christs, #freepalestine (utapeli) , etc Kama ilivyo sera yao ya uhuru na Hatua za bila mipaka itapelekea msingi wa familia kuharibika, jeshi kuwa dhaifu kutokana na influence ya upinde...
  16. J

    Tofauti ya Matoleo na Sadaka na Utoaji Wake

    Tofauti ya Matoleo na Sadaka na Utoaji Wake Kumekuwa na mijadala mbalimbali kuhusu neno sadaka. Wapo wanaoita sadaka na wapo wanaotumia neno matoleo. Matoleo ni neno la ujumla, linalomaanisha aidha sadaka, au michango. Neno matoleo linatokana na neno kutoa. Hivyo chochote kile mtu anachokitoa...
  17. D

    Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  18. GENTAMYCINE

    Kwanini Watoto wa Kike wa Marehemu Mafuru hata hawalii Msibani na hawana Wasiwasi tofauti na Misiba yetu Sisi Uswahilini ambapo hulia kwa Kukufuru?

    Muda wote nawatizama sioni hata anayelia au aliye na wasiwasi na Maisha yake ya baadae baada ya Baba Kufariki.
  19. kali linux

    Kizuri ni kwamba ubongo haujui tofauti kati ya reality na illusion. Tumia hio hack kwa manufaa yako

    Hello bosses and roses. Leo nimekumbuka kitu, miaka ya zamani niliwah kuwa na maumivu ya mgogo yaani nikikaa tu nasikia mgongo unauma, hio hali ilikua inanipa shida sana hasa kipindi cha mitihani nikiwa shuleni, nashindwa kufocus kukimbizana na muda sababu ya maumivu ya mgongo, ila baadae...
  20. Magical power

    Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa

    Vyoo vyetu vya enzi hizo, lakini ajabu hakujakuwa na magonjwa ya UTI tofauti na sasa
Back
Top Bottom