tofauti

World Tofauti (A Different World in English) is a 2017 Kenyan romantic film directed by Kang'ethe Mungai. The film stars Avril Nyambura and Innocent Njuguna, and features Maureen Njau in a supporting role.

View More On Wikipedia.org
  1. Candela

    Elewa tofauti ya MBPS na Mbps

    MBPS = Mega Bytes Per Second Mbps = Mega Bits Pee second Byte 1 ni sawa na Bits 8. Ukiuziwa internet unlimited unaambiwa ina speed ya 10Mbps haimaanishi MB 10 kwa sekunde, maana yake inaweza ku download 10/8 = 1.25 MB kwa sekunde. Nimeleta huu uzi baada ya jamaa aliyelipia bando ya 100Mbps...
  2. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Wanaume wengi tukishaachana na Wapenzi wetu na tukikutana nao wakiwa na Masela wengine huwa tunaumia Mioyo tofauti na Wao wakiachana nasi?

    Wanaume wenzangu JF katika hili wala tusibishe ukweli ni kwamba huwa tunaumia na hata kutamani Ardhi ipasuke!!!
  3. THE BEEKEEPER

    Tofauti ya ulaya na bongo ni vichekesho sana

    Ulaya umri mdogo tu! Unakuwa maisha yako safi. Bongo umri mdogo upo darasani unasoma aina ya nomino ona utofauti ni vichekesho sana
  4. T

    Je inawezekana ukaomba ajira mkoa mwingine na ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba?

    Je inawezekana ukaomba mfano singida lakini ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba kwenye hizi ajira na je ni bora kuomba kwenye mikoa ambayo Haina ushindani Yani watu hawaipendi?
  5. ndege JOHN

    Natokea kanda ya kati ila nipo Kusini kwa sasa sioni tofauti kila kitu nachotaka kipo

    Ok. Historia yangu Kwa ufupi sana nimezaliwa sgd kukua sgd na shule halafu then dar miaka karibu Sita halafu kituo cha kazi kusini. Sasa kumekuwepo mada nyingi za kupapondea kusini. Kipi hakipo kusini? Je, ni azam tv? Je ni hanson choice? Je ni safari lager au castle je ni chips je ni hali ya...
  6. uhurumoja

    Naamini Hersi angejibu tofauti sana kama ingekuwa tz

    Jana au juzi Hersi ameulizwa kuhusu Aziz kuendelea kuwepo yanga ama ataondoka na akajibu vema TU kuwa mazungumzo yanaendelea na Aziz bado hajasaini huku jibu lake likionesha wazi kukata matumaini ya kumbakisha jangwani Aziz (kwangu mi sio shida maana ni kawaida wachezaji kupitia tz sababu sio...
  7. Superbug

    Ipi tofauti ya kiwanja cha makazi na biashara na makazi pekee?

    Kwenye kumilikishwa viwanja kuna hati za aina mbili: 1. Makazi pekee. 2. Makazi na biashara. Na hata umilikishwaji wake una gharama tofauti cha biashara na makazi kina gharama zaidi per squre meter je? Tofauti ni ipi na faida ni zipi?
  8. KING MIDAS

    Nini tofauti ya maendeleo na mafanikio? Je wewe una mafanikio au una maendeleo?

    Hii ni changamoto yangu kwako Leo. Jipime. Je una mafanikio au una maendeleo? Je Kati ya mafanikio na maendeleo yako ni kipi kinakupa furaha?
  9. Nehemia Kilave

    Kwa hizi tofauti za wanasiasa wanaohamia CHADEMA kutoka CCM na wale wanaohamia CCM kutoka CHADEMA, CHADEMA kuna shida gani ?

    Ukiachana na kuhama kwa miaka ya 90's na mwanzoni mwa 2000 kwa sasa 1.CCM hupokea wanasiasa wazalendo,wachapakazi na wasio na historia kutoka CHADEMA kama kina Kafulila ,Nasari na sasa Msigwa tofauti na waliowahi hamia CDM kutoka CCM wenye kashfa mbali mbali . 2.CCM huchukua na kupokea watu...
  10. BLACK MOVEMENT

    Tofauti ya Watanzania na Wamalawi, Wazambia na Wakenya iko kwenye vitu vikuu vitatu.

    Malawi kuna Umasikini wa kutisha sana ile nchi, na ukifika unaona umasikini kwa macho kabisa, Ila kitu kimoja kutoka kwao sio wapumbavu kama sisi, ndio maana Democrasia imeshamiri sana Malawi. Pamoja na kiwango chao cha juu cha Umasikini ila sio wajinga wala Wapumbavu.Wamalawi huwezi enda...
  11. GENTAMYCINE

    Wale tunaoangalia Mpira kupitia Dstv nadhani tunaona tofauti Kubwa sana kati ya Mechi ya maana Ujerumani Euro na Takataka nyingine mahala fulani

    Halafu bado utakuta kuna Mijitu kabisa inaacha Kuangalia Mechi ya Euro inayoendelea inatizama Takataka moja hivi.
  12. U

    Kwanini muonekano wa jengo Kanisa Katoliki Salasala uko tofauti na unafanana na makanisa ya KKKT?

    Wadau hamjamboni nyote? Ndugu zangu tumezoea kuona majengo ya Kanisa Katoliki maeneo mbalimbali yakiwa na muonekano wa kipekee unaoakisi majengo ya asili ya karne nyingi zilizopita. Lakini ukitazama jengo la Kanisa Katoliki Salasala Dar es salaam muonekano wake uko tofauti kabisa. Yaani...
  13. matunduizi

    Wazazi wa kiafrika wanaakili tofauti kabisa na wazazi wa kiyahudi kwenye suala la uchumi wa mtoto.

    Kitabu cha kiyahudi Tanakh au Miqra kinatoa siri kubwa kwa familia zao kuhusu Uchumi. Baba huwa anapoingia kutafuta huwa anatafuta kwa sio tu kwa ajili yake bali kwa ajili ya wajukuu na vitukuu. Anaandaa mifumo kuhakikisha anaacha utajiri mkubwa kwa ajili ya watoto na wajukuu. Mithali 13:22...
  14. GENTAMYCINE

    Kumbe hatusajili kwa sasa kwakuwa Skauti wao Mkuu Simba SC anasajili Vyuma vya maana Kimya Kimya tofauti na Misimu iliyopita?

    Asante sana Poti wangu ( mwana Mkoa wa Mara Mwenzangu ) Crescentius Magori ambaye nakukubali kama ambavyo nilikuwa nikimkubali Mapama ( Marehemu Zacharia Hanspoppe ) kwani nimeambiwa kuwa sasa Tajiri na Wewe mnamaliza Shughuli Juu kwa Juu na kimya kimya kwa Kusajili Vyuma huku waliokuwa...
  15. E

    Hivi tofauti kati ya watu kama kina Lucas Mwashambwa na kina Erythrocytes/ faiza Foxy ipi ? Wana umuhimu gani katika Taifa ?

    Hivi Lucas mwanaCCM na Erythrocytes na mtu mwenye mwenye mitazamo kama ya Faiza Foxy watu wasiobadilika zaidi ya kutukuza watu ni Ipi ? Na wana umuhimu gani kwenye Taifa ?
  16. RedPill Prophet

    Usioe mwanamke asiye bikra kama hujawahi kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti

    Kama mwanamume, ikiwa utaoa au kuchumbiana na mtu ambaye si bikira kwa muda mrefu, unapaswa uwe na uzoefu wa kuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti. Kama ni mtu wa Mungu, epuka kuwaoa wanawake wasio bikra, watakufananisha utendaji wako wa chumbani na wanaume waliokuwa nao huko nyuma...
  17. Mturutumbi255

    Tofauti Kati ya iPhones Mpya na Zilizotumika na Namna ya Kuzitambua

    Katika soko la vifaa vya kielektroniki, kununua iPhone mpya au iliyotumika ni chaguo linaloathiriwa na mahitaji na bajeti ya mtumiaji. Kuelewa tofauti kati ya iPhone mpya na iliyotumika ni muhimu ili kuhakikisha unapata thamani bora kwa pesa zako. Hapa chini ni uchambuzi wa kitaalamu juu ya...
  18. Ileje

    Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  19. M

    Makonda ana mapungufu yake lakini ana hekima kubwa na uzalendo. Tofauti na viongozi aina ya Halima Bulembo

    Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa. Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
  20. Roving Journalist

    Serikali yaiagiza TCRA kufatilia wanaouza vocha tofauti na bei elekezi

    Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi amesema Serikali imetoa maelekezo kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufuatilia Wafanyabiashara wanaouza vocha za kukwangua kinyume na bei elekezi. Amesema hayo wakati akijibu swali la...
Back
Top Bottom