Togo imekuwa nchi ya sita barani Afrika kuruhusu raia wote wenye pasipoti za nchi za Afrika kuingia nchini humo bila visa, kuanzia Mei 18, 2026.
Kwa hatua hii, Togo inaungana na nchi nyingine kama Rwanda, Ghana, Benin, Gambia, na Shelisheli (Seychelles), ambazo tayari zimeshafungua milango yao...