MNEC TOUFIQ TURKY AAHIDI KUENDELEZA UFADHILI WA WALIMU WA MADRASA
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndugu Toufiq Salim Turky amekutana na viongozi mbalimbali wa Misikiti na Walimu wa Madrasa katika Jimbo la Mpendae ambapo amewatoa wasiwasi kwa kuahidi kuwa ataendelea...
Mbunge wa Jimbo la Mpendae (Zanzibar) ambaye pia ni Mbunge wa Bunge la Afrika anayewakilisha Tanzania, Mhe. Toufiq Salim Turky tarehe 20 Machi, 2025 ameshiriki katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Misri lililofanyika jijini Dar es Salaam.
Kongamano la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.