Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Ephraimu Mafuru amesema Tanzania imepanda hadi kuwa nchi ya tano kutoka nchi ya 11 barani Afrika kwa utali wa mikutano hatua iliyochangiwa na uzinduzi wa filamu ya The Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
Zaidi ya mwaka mmoja sasa tangu kuzinduliwa kwa filamu ya Royal Tour Aprili 28, mwaka 2022 kwa ajili ya kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii Tanzania. Akitoa ufafanuzi kwa wanahabari mwaka mmoja baada ya kuzinduliwa kwa filamu hiyo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt Hassan...
Ukurasa huu ni maalumu kwa ajili ya magari ya kukodisha ya aina mbalimbali kadri yanavyotufikia kwenye ofisi yetu ya ubungo
Kwasasa huduma zetu za kiofisi zinapatikana
Dar es salaam
Dodoma
Mwanza
Arusha
Kilimanjaro
Mbeya
Uliza maswali yako yanayohusu magari ya kukodisha,trips,gharama,ushauri wa...
Kinachoendelea sasa ni kuongezeka wimbi la mahujaji wanaoenda kuzuru kaburi la Hayati Magufuli kule Chato tena wanaenda kimyakimya hawataki camera wala media coverage.
Siku ya leo Chato imejaa wageni na haitopita mida kutskuwa na ongezeko la watalii wa ndani na nje kufika Chato kimyakimya na...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Stergomena Tax (Mb) akibofya batani ili kucheza Filamu ya The Royal Tour kwenye Basi la abiria la Kampuni ya Classic ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa kampuni hiyo kuonesha filamu hiyo kwa abiria wanaotumia mabasi yake.
Waziri wa...
Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania
Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya meli nyingine ya kifahari kutia nanga leo fukwe za Kilwa ikiwa na abiria 125 kutokea nchini Ufaransa...
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.
Hatua hii ya...
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa.
Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu.
Hatua hii ya...
Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour.
Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya Taifa letu, ambapo Rais anacheza filamu nzima, tena kama muhusika mkuu katika harakati za...
Video ya Rais William Ruto akiongea na wakenya waishio ughaibuni (diaspora) siku za karibuni, imejaa kila aina ya somo jema kwa uhai wa miaka mingi wa Tanzania yetu.
Ruto kawa muwazi kwa wakenya kwamba anabariki jitihada zao za kutafuta maisha huko ughaibuni, kwamba wanachokipata huko...
Salama wandugu.
Nianze tu kwa kifupi Royal tour msingi wake mkubwa ni kuvutia wawekezaji.
Msingi wa mwekezaji namba moja ni nishati,sasa makamba anachofanya ni kumhujumu bosi wake umeme wake wa kwikwi usioeleweka.
Wanafikiri wanawakomoa wananchi kumbe wanamkoa bosi wao.
At the end of time...
Recently I made a tour in 6 regions in Tanzania. These are my conclusions:
1: Geita town council has the potential to be a municipal.
2: Mwanza is the second largest city in Tanzania so far.
3: Iringa Municipal has all the credentials to be a city. I was impressed by that town.
4:DDdoma is...
Naona yuko Kipenga Xtra, hivi huyu mzee si bado ni kama Technical Director na Kocha wa vijana hapo Utopoloni?
Ni mengi aliyoongea jana ni ukweli, lakini pia yanaweza kuwa na uharibifu kwa wachezaji wa Utopolo. Sasa mbona leo ni kama anaendelea na Media Tour yake?
Mabosi wake hapo Utopoloni...
Ethiopia Thursday morning on his first tour of the region since taking office.
President Ruto is also set to travel to Uganda and Tanzania. The agenda for the regional tour includes talks on business and political ties, according to a dispatch from State House.
On his arrival in Addis Ababa...
Wageni wanaotembelea Banda la Tanzania katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii yanayoendelea nchini Japan wakiangalia Filamu ya "The Royal Tour"
Tanzania imetumia Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Japan (Japan Tourism Expo) yanayofanyika nchini humo kuanzia tarehe 22 – 25 Septemba 2022 kuzindua...
Ukiangalia gharama kubwa za maisha zinavyozidi kuwatesa wananchi, kila kitu kimepanda bei kuanzia chakula, mafuta, vifaa vya ujenzi ndio kabisaaaa. Kuna wakati najiuliza tulitumia zaidi ya Tsh. Bilioni 7 kwaajili ya kushoot filamu ya Royal Tour ili iweje sasa? zimerudi gharama kiasi gani mpaka...
Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka.
Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini?
Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
Dkt. Abbasi, Mchengerwa Kumpokea Balozi wa Amani Duniani Keshokutwa, anakuja kuunga Mkono Royal Tour
Aug 23, 2022 Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema, Agosti 23, 2022, Tanzania inatarajia kuwa mwenyeji wa ujio wa Balozi wa Amani Duniani na Kiongozi...
Rais Samia Suluhu Suluhu amesema sehemu ya pili ya filamu ya “The Royal Tour” inatarajiwa kutoka hivi karibuni lakini itakuja kivingine ikilenga kuonyesha maeneo ya utalii yaliyojificha yaliyopo Tanzania.
Filamu hiyo ambayo ni mwendelezo ya kwanza itapewa jina la “The Hidden Tanzania”.
Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.