tour

  1. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    The Hidden Tanzania: Filamu itakayofuata baada ya The Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ndugu Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni nyota wa filamu ya Tanzania The Royal Tour ameahidi kuja na filamu nyingine itakayoitwa The Hidden Tanzania. Rais Samia amesema filamu hiyo italenga kuonesha vivutio ambavyo havikuonekana katika filamu yakwanza...
  2. K

    Rais Samia apandisha thamani ya Tanzanite

    Filamu ya Tanzania Royal Tour, imeelezwa kuchangia kupandisha thamani ya madini ya Tanzanite. Bei ya madini ya Tanzanite na uhitaji wa madini hayo umeongezeka maradufu baada ya filamu ya Royal Tour kumuonyesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye machimbo ya madini hayo. Katika sehemu ya...
  3. Rashda Zunde

    Royal Tour Tanzania inavyozidi kuzaa matunda

    Kundi la Watalii zaidi ya 60 linalojumuisha Madaktari na Wanasheria kutoka Nchini Marekani leo tarehe 26 Julai 2022,wamewasili eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kwa ajili ya kutembelea Vivutio mbalimbali vilivyoko katika hifadhi hiyo. Wageni hao ambao wanaendelea kutembelea vivutio mbalimbali vya...
  4. Boss la DP World

    Royal Tour: Watumishi wa Umma Tumeona Matokeo Yake

    Kwakweli binafsi nashukuru sana kwa nyiongeza nono ya 25,000/= (kabla ya makato) nadhani haya ni baadhi tu ya matunda ya filamu yetu. Nasema ni matunda maana filamu imemtengeneza msanii kweli kweli na sanaa hiyo aliitumia katika hotuba ya mei mosi na sasa tumeshuhudia na kudhihirisha bila shaka...
  5. Boss la DP World

    Royal Tour: Hatujasahau ahadi za steringingi.

    Steringi wa hii filamu alitwambia kuwa punde baada ya uzinduzi tutashuhudia faida mara 7000 ya gharama zilizo tumika kwenye maandalizi yake. Matokeo yake tunaona mfumuko wa bei ukiongezeka, mwezi wa 7 tarehe 1 tumetangaziwa tozo mpya ya serikali kwenye miamala ya bank itaanza na tayari wafanya...
  6. King_Villa

    Kitu gani hasa kimekuwa na mchango mkubwa katika Uchumi wa Tanzania kati ya Filamu ya Royal tour na Ufufuaji wa shirika la ATCL

    Habari za wasaa wakuu. Wakuu leo nilikuwa natafakari mwendo wa Uchumi wetu katika nyanja hizi mbili ila nikaona niwashirikishe wadau wa JF nione maoni yao . Ila kwanza nianze na tafakari zangu binafsi kwa pande zote . 1.The Royal tour inamchango mkubwa kwasababu nchi yetu bado Uchumi wake uko...
  7. Boss la DP World

    Mpaka sasa Royal Tour haijaleta manufaa yoyote nchini

    Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma. Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja...
  8. Rashda Zunde

    Royal Tour inavyoleta neema nchini

    Baada ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour, watalii na wawekezaji katika sekta ya utalii wameongezeka kwa mujibu wa hoteli za kitalii Dar es Salaam ongezeko la wageni limefika asilimia 280 na Arusha asilimia 340. Kwa upande wa viwanja vya ndege miruko imeongezeka ikiwamo ndege zinazoingia...
  9. ommytk

    USHAURI: Magari ya mwendokasi yatangaze Royal Tour

    Royal tour ebu tuendelee kuitangaza sio kwa ufupi namna ile hii twende nayo kila kona haya mabasi mwendokasi na ikiwezekana hata baadhi ya majengo ya ofisi yawepo matangazo ambayo yatakuwa endelevu
  10. Bibititi1

    Tanzania Royal Tour ilivyoudumaza utalii wa Kenya

    Royal Tour itatupa faida gani ile movie ya kazi gani? Haya ndiyo maneno yaliyojaa kinywani kwa wanaharakati wa Tanzanaia kujaribu kufifisha Juhudi za Rais Samia suluhu Hassan. Sisi tuliozaliwa kwenye mazingira ya utalii tuliona na kufahamu kuwa sekta ya utalii ililala usingizi wa pono. Moja...
  11. M

    Hii michango itayochangishwa si sababu ya Royal Tour, hawa vijana wa Kiholanzi wanaujua Mlima Kilimanjaro tangu enzi na enzi

    Raia wa Uholanzi zaidi ya 40 wameanzisha mbio za baiskeli kuzunguka mlima Kilimanjaro kilometa 400 kwa ajili ya kuchangisha fedha kusaidia sekta ya afya nchini. Mbio hizo za baiskeli zijulikanazo kwa jina la ‘Africa Classic’ zimeratibiwa na Shirika la Amref Netherlands kwa kushirikiana na Amref...
  12. MakinikiA

    Kwa tatizo la Ngorongoro nimeichukia filamu ya Royal Tour

    Tatizo la Loliondo linatakiwa kazi Sana kujisafisha maana hata vyombo vya nje vimesharipoti kuhusu vurugu kwa wamasai na dunia inajua Mmsai naye ni sehemu ya adventure, yaani ukimuungalia tu utali tosha sasa unamtoaje Mmsai ni bora kumuhamisha twiga Mmsai abaki, tutegemee hapo watalii...
  13. figganigga

    ‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

    Salaam Wakuu, Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao. Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro. Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe...
  14. M

    Serikali iwe makini na suala la Ngorongoro. Tunaweza tukaharibu umuhimu wa kufanya filamu ya Royal Tour na tukaathiri sekta ya utalii

    Serikali kuweni makini sana na Hili Jambo.Mimi kama mwana CCM na Mtanzania,naweza kusema hili jambo mlimalize kwa ustaarabu Mkubwa. Mnaweza mkawapa maadui wetu kutusemea vibaya,na mwishoe Watalii wakaogopa Kuja Tanzania.Serikalini kuweni makini sana nawahusia. Tumetumia gharama kufanya Filamu...
  15. Frustration

    Rais Samia anaupiga mwingi kupitia Royal Tour hadi Wazungu waamua kuizungumzia Tanzania kwenye games

    Naendelea kuwasalimia kwa jina la Muungano wa Tanzania. Hapo awali nilikuwa nikijua Watanzania pekee ndio tunaoona juhudi hizi za makusudi za mama yetu Samia Saluhu Hasani za kuleta maendeleo kwa njia mbalimbali katika nchi yetu. Jitihada za mama sio tu zinakoshwa na upinzani bali hadi watu wa...
  16. M

    Coco Beach kuwa eneo la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira

    #HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira. ======= Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara, alieleza mikakati hiyo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa upandaji wa miti uliofanywa na kampuni...
  17. T

    Habari za uongo kuhusu mafanikio ya Royal Tour

    Kama wanavyosema watu kwamba ujinga ni mtaji mkubwa sana wa Wanasiasa hasa wa Africa na zaidi Tanzania. Ukizingatia kwamba ujinga bado ni tatizo kubwa sana kwa Tanzania, wanasiasa wanachofanya ni ku'capitalize' kwenye ujinga wa Watanzania. Mtu akishakujua wewe ni mjinga maana yake hata akiamua...
  18. Nyankurungu2020

    Hili sio Bunge tena bali ni genge la watafuna kodi za walalahoi wanaosifia Royal tour isiyokuwa na tija

    Anasimama mbunge bila hata aibu anasema sasa Mahotel ya Dar es salaam yamejaa watalii sababu ya Royal tour. Ni aibu kabisa kuwa na mbnge kama huyu naona aibu hata kumtaja. Mwingine bila hata aibu anasema Royal tour imeibua fursa mpya kwa wananchi wa Tanzania kuanzia kusini mpaka Kaskazini...
  19. A

    Mchezaji wa PSG ya Ufaransa, Ander Herrera atua Mbuga ya Serengeti kutalii

    Mchezaji wa klabu ya PSG (Paris Saint-Germain Club) na Timu ya Taifa, Ander Herrera ametua kwenye Uwanja wa Ndege wa Seronera uliopo Hifadhi ya Taifa ya Serengeti Leo tar 01 Juni, 2022 akiwa ameambatana na Mkewe Isabela Collado kwa ajili ya mapumziko mafupi kufurahia mandhari ya hifadhi hiyo...
  20. Nyankurungu2020

    Royal Tour pamoja na kutumia mabilioni ya pesa haikumulika utalii wa mali kale na historia

    Nchi kama misri na Southa Afrivca zina pata pesa nyingi kupitia utalii wa mali kale historia. Angalia senema ya Royal tour haijakuwa na nia tjabiti kupromote utalii bali usanii wa kutafuna pesa za wananchi. Inaonyesha viongozi wanavua samaki na wachimba migodi wanazama mgodini for what...
Back
Top Bottom