tour

  1. royal tourtz

    Rais Samia kuhojiwa sana huko Marekani inashusha hadhi yake kama Rais na hadhi yake kama Taifa

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, maana kila ninavyofungua kucheki Royal Tour naona yuko kwenye vyombo vya habari akihojiwa na kujibu Kuna sehemu sioni kama ni heshima sana kwa Rais kuhojiwa kila mara tena nje ya nchi hali ana crew kubwa tu ambayo anaweza kuitumia kufanya yote hayo. Au...
  2. M

    Propaganda za Serikali kuhusu filamu ya Royal Tour

    Wachaambuzi mbalimbali wa kutoka club house na diaspora kibao wamedai kuwa hizi propaganda zinazopigwa kuhusu royal tour ni za kuijaribu tu kuipamba serikali na mama kiujumla lakini ukweli ni kuwa. 1. Royal tour ni Mali ya huyo Peter aliyetengeneza na haki miliki ya Tanzania royal tour...
  3. John Haramba

    Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022. Filamu hiyo...
  4. P

    Royal Tour itampaisha Rais Samia na kuipaisha Tanzania kimataifa

    Wakosoaji wanasema zimetumika zaidi ya shilingi bilioni tano katika kuiandaa Royal Tour huko mbugani. Yameongewa mengi, mengine ni mbwembwe tu kama ile habari ya Samia kuendesha gari kwa mara ya kwanza baada ya miaka 15 siku alipomuendesha yule mzee wa kizungu kule mbugani. Mengine ni habari...
  5. I

    Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  6. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  7. kavulata

    Royal Tour inatupa deni tusiloliweza

    Kama mitaa ya nchi ni michafu sana, demokrasia ya uchaguzi bado hatuna, vilio vya katiba havijakoma na wasiojulikana bado hawajakamatwa, je, tunadhani kuwa watalii hawana akili? Je, wananchi, madereva, waongoza watalii, polisi na watoa huduma kwa watalii wana ufahamu na ujuzi kuhusu watalii...
  8. Sky Eclat

    Nimesikia eti ni Royal Tour imeiva ila itaozea South

  9. J

    CCM: Taarifa Kuhusu ROYAL TOUR 2022

    Taarifa ya CCM Kuhusu Uzinduzi Royal Tour Jumatatu, April 18, 2022 #ChamaImara #KaziIendelee
  10. Pascal Mayalla

    Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!

    Wanabodi Hii ni Makala ya Jumapili ya Jana. Hongera Rais Samia Kuzindua Filamu ya Royal Tour Marekani, Ingenoga Zaidi Kama Mama Angetua Marekani na Dreamliner Full of Wabongo!. Usikose kuangalia uzinduzi huu mubashara kuanzia Saa ,1:30 usiku huu kwa saa za Marekani ambapo tumepishana masaa 7...
  11. JF Member

    Royal Tour na Vita vya Kiuchumi

    Kwanza naomba nitoe declaration. Mimi ni mtanzania haswa ninaependa kuona maendeleo ya hii nchi. Nirudi kwenye mada, hii royal tour ni deal sana hasa kwa namna inavyotarajiwa na watanzania wengi. Sote tunaamini Tanzania itafunguka na tutapata pesa kwa ajili ya mradi. Lakini pia Mimi...
  12. B

    Tulitegemea uzinduzi wa Royal Tour uwe mubashara kwenye TV kubwa kubwa

    Wizara husika ongezeni ubunifu; tumezoea kuona screen kubwa mtaani zikionyesha matangazo mbalimbali ya biashara. Kwa kuongeza uelewa wa Watanzania na ownership ya agenda ya royal tour Kila Mkoa ungefunga screen kadhaa maeneo yenye watu wengi watu wawe sehemu ya mashuhuda wa tukio la uzinduzi...
  13. Monica Mgeni

    The Royal Tour, nini Faida zake?

  14. 42774277

    Yes, Tunazindua Filamu ya Royal Tour. Lakini kwa mambo ya aibu kama haya hatufiki popote.

    Nmeamka asubuhi asubuhi hii Tanzania is trending on twitter. Baada ya kuingia nimekuta huyo dada mnaijeria anaitwa Zainab amesimulia kisa chake cha kutaka kubakwa pamoja na kuibiwa pesa zake. Unaweza kusoma kisa chake hapa 👇🏾👇🏾 Hiki kisa kimetokea mwaka mmoja uliopita lakini amekisimulia...
  15. JanguKamaJangu

    Gerson Msigwa: Filamu ya Royal Tour hazikutumika fedha za Watanzania

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amefanya mahojiano na Wasafi TV na hii ni sehemu ya nukuu zake kuhusu filamu ya Royal Tour ambayo inatarajiwa kuzinduliwa Aprili 18, 2022 Nchini Marekani: Sababu za Wamarekani kupewa tenda "Ile filamu uzinduzi wake ni Tarehe Aprili 18 na utafanyika mara...
  16. Stroke

    Filamu ya Royal Tour Ingezinduliwa Tanzania Badala ya Marekani kuepuka gharama

    Tunaambiwa kwamba filamu ya Royal Tour yenye kupromote Utalii imegharimu Shilingi za Kitanzania Bilioni tisa. (9). Leo tunaambiwa Rais ana safari ya kikazi yeye na delegation yake marekani na moja wapo ya mambo atayoyafanya ni kuzindua filamu ya Roya Tour. Kwakua hizo kazi nyingine atazofanya...
  17. sinza pazuri

    Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  18. M

    USA WORLD DEMOCRACY TOUR: MH!!!!!!!

  19. J

    Tazama kionjo (trailer) cha filamu ya The Royal Tour aliyoshiriki Rais Samia

    Check filamu kali ya Tanzania Royal Tour inayotarajiwa kuzinduliwa tarehe 22|04|2022 nchini Marekani, Starling wa filamu hii kali ni Mhe Rais Samia Suluhu Hassan. Filamu hii inatarajia kutuletea watalii wasiopungua mil 5 na mapato yatokanayo na Utalii yanatarajiwa kufikia $5BL kwa mwaka hapo...
  20. K

    Ni kweli kwamba ubora wa Royal Tour utaikosesha waangaliaji?

    Watu wamedis ubora wa film ya Royal tour hasa kwa namna picha zinazoonekana kwenye nyasi zilivyomweka mbali na upeo wa sura yake halisi. Wengine wanadis driving na matendo haviendani au havionyeshi reality, mixing ya issue it's like aliyefanya Hana uzoefu ni kipi kinapatikana Tz. Utalii na...
Back
Top Bottom