SHUGHULI za Royal Tour zilizokuwa zikifanywa kwa mara ya kwanza nchini na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan za kutangaza vivutio vya Utalii, Biashara na Uwekezaji nchini zimeanza kuzaa matunda kwa wawekezaji kuanza kujitokeza kuwekeza hoteli za kisasa ndani ya hifadhi...
Leo gazeti za Citizen limeripoti mawakala wa Utalii kutoka Nchini Marekani wameingia Tanzania kujionea vivutio vya Utalii vilivyopo hapa nchini Kwa ajiri ya kuwaleta Wamarekani. Hii ni wiki chache tu tangu Rais Samia Suluhu Hassan afanye kipindi maarufu duniani kinachohusiana na utalii na fursa...
Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum itakayoonyeshwa katika kipindi cha Royal Tour ambayo itatangaza Utalii, fursa za uwekezaji zilizopo nchini...
Kila mwaka duniani kuna wastani wa watalii 1.5 bilioni wanatafuta ni wapi waende kutali au kula bata ||
||Sisi Tanzania ni nchi ya Pili kwa vivutio vingi vya asili duniani lakini tunaambulia watalii chini ya 2m kwa mwaka hapa kunajuhudi zinahitajika Sehemu,
===
Niseme kidogo kuhusu Rais Samia...
ROYAL TOUR NI WAZO ZURI LAKINI...
Nimetafakari sana kabla sijaandika maneno haya. Nina wazo gumu na mkono wangu hauna uwezo wa kuandika wazo langu kwa usahihi. Huu ni ulemavu wa wengi. Unachokitaka unakijua lakini kukiandika kwa usahihi huwezi.
Huku vijijini ukipata mgeni wa kulala...
Kama nchi yaweza kuwa kukwama kwetu ni matokeo ya kuendekeza ukiritimba.
Ukiritimba kila mahali. Si kwenye siasa, haki za kukusanyika, haki za kuzungumza, haki za kujumuika, kushirikishwa, kuona nk. Ni ukiritimba kwa kwenda mbele.
Beberu yuko huku:
Sisi hata ya royal tour...
Sijui...kama nmekosea mtanikosoa. But tusifikie hatua hii ya mtu kuandika kuwa yupo na tour guide rais wa tanzania samia suluhu. Tena bila hata kuweka H.E kama vile anaongelea tu kitu cha kawaida.
WEDNESDAY SEPTEMBER 08, 2021
President Samia Suluhu Hassan is now spending over a week's time in preparation of the most awaited documentary that explores the finest attractions of the country's sites.
Equally hit by the Covid-19 pandemic since late 2019, that has seen world's traveling and...
Kwa mliofuatilia uandaaji na hatimaye kuoneshwa kwa makala maarufu ya Living With Michael Jackson mtakubaliana nami namna mwandishi mashuhuri Martin Bashiri alivyomrubuni, Mfalme wa Pop Duniani, Hayati Michael Jackson, kushiriki kwenye uandaaji wa makala kwa kumhakikishia kuwa makala hiyo...
Nia na dhamira inaweza ya kufanya hii tour inaweza kuwa ni nzuri, ila sidhani kama wamefanya utafiti wa kutosha kuhusu namna sahihi ya kuitengeneza/kuifanya ili kupata matokeo mazuri.
Aina ya washiriki ndio wanaoweza kuifanya hii tour ilete matokeo chanya, na wanaoshiriki akiwemo Rais Samia...
Rais alipaswa afikirie mambo makubwa ya msingi na kuachana na uigizaji anaoufanya kwa kutumia pesa zetu vibaya. Toka ameteuliwa kuwa Rais anazunguka tu.
Hatulii kufanya kazi. Nchi hii watu wanaiba ye hana hata habari ana talii tu. Haya mambo ni ufujaji wa pesa za umma. Badala yake ndo...
THE ROYAL TOUR KUPAISHA UTALII NA UCHUMI WETU WA TANZANIA
Heko kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuongoza na kurekodi kipindi Maalum cha The Royal Tour kuonyesha vivutio vyetu vya utalii,utamaduni wetu pamoja na vivutio vya Uchumi katika Taifa letu...
Nimefuatilia kwa mamlaka zote wanipe mchanganuo wa wa gharama za Royal Tour sijafanikiwa?
Naambiwa uko ngazi za juu. Nafikiri hili jambo lifanyike kwa uwazi na uwajibikaji isije kuwa kichaka cha kupiga kodi za wananchi.
Rais asituambie tu anafanya tour, atuambie bajeti ya tour ni pesa ngapi...
Amani iwe nawe Mama yangu!
Kwanza napenda kukupongeza kwa hii creativity kubwa uliyokuja nayo ya kushiriki na kuiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia kupitia program maarufu ya “The Royal Tour”
Program hii kwa ufahamu wangu imezinyanyua nchi nyingi sana katika sekta ya Utalii na Uwekezaji Mf...
Rwanda: The Royal Tour: Selling Rwanda as a success story
Netanyahu: SPOTTED! Netanyahu reading 'The Jerusalem Post' during filming of 'Israel: The Royal Tour'
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwa ajili ya kuendelea kurekodi kipindi maarufu ya Royal Tour leo tarehe 05 Septemba, 2021.
Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji.
Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour'
● Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.