Ratiba yangu ya siku mbili ingekuwa hivi:
1. Soko la Samaki Feri
Chukua mwendokasi, tena anzia Mbezi, njoo nalo mpaka soko la samaki Feri, muda wa asubuhi ni mzuri zaidi maana utakutana na wateja wenzako wengi sana hapo Feri, nunua Samaki mkubwa aina ya Jodari. Zunguuka zunguuka humo sokoni...