Klabu ya Young Africans SC imezindua App kwaajili ya kutoa taarifa zake ikiwemo, historia, habari za michezo, matukio na takwimu za mambo mbalimbali kuhusu Yanga.
Uzinduzi huo umefanyika leo katika Hotel ya Serena, Dar es salaam ukiongozwa na Rais wa Klabu hiyo Eng. Hersi Said