Niende kwenye mada kuna kijana kaniomba nimuelekeze wapi zilipo ofisi ya chama cha wafanyakazi kutokana na yeye kuwa na mgogoro na mwajili wake yaani TUCTA.
Kwa kuwa ni mfanyakazi kwenye huduma za mahotel nilimweleza TUCTA ni muunganiko wa vyama vya wafanyakazi toka sekta tofauti ila yeye...
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania kuiptia Kamati ya Maudhui imesitisha leseni ya utoaji wa huduma za maudhui mtandaoni ya Mwananchi Newspaper kwa kipindi cha miezi sita, na kuwapiga faini ya Tshs milioni 5.
Adhabu hiyo imetolewa baada ya kubainika kuwa Aprili 13 kupitia mitandao ya kijamii...
Wakuu.
Nimependa leo tujadili suala hili, mitandao ya ngono inaharibu vijana wetu pamoja na utamaduni wetu kama waafrika. Ilikuwa siyo kawaida kuona picha za faragha kwani ilifahamika ni jambo la aibu kuona na pia kulikuwa na hofu fulani.
Zamani kidogo kuona picha hizi ilikuwa lazima ulipie...
Hadi sasa Tumeingia robo ya pili kwa mwaka 2019/20 lakini tovuti yenu haina majumuisho ya mapato ya kila halmashauri kwa mwaka wa fedha 2018/19.
Waziri wakati anatangaza alisema watu wa mapato wanafanya usuluhishi wa mahesabu ndio wataweka, lakini tovuti haina kitu zaidi ya taarifa za mapato ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.