Habari zenu wakuu wa mambo!
Ninahitaji kumiliki tovuti kwa ajili ya biashara,
Naomba mnisaidie ni tovuti zipi za Ulaya na America zenye muonekano mzuri lakini hata Languages zilizotumiwa katika uundwaji wa tovuti hizo.
NATANGULIZA SHUKRANI.
Habari wakuu,
Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake.
Hii itasaidia kubaini tatendaji wabovu,manyanyaso na uonevu katika jamii moja kwa moja, tovuti hiyo ikishakusanya maoni, awepo mtu...
Habari wakuu,
Kumekua na tatizo la kutopatikana website ya ETD tangu tarehe 15 mwezi wa 6, imepelekea kukwama kwa safari za watu kwenda nnchi za nje kwa wanaotumia hati za dharura hasa madereva na wajasiliamali.
Tunaomba vyombo husika viangalie njia mbadala ya kuwapatia hati za safari raia ili...
Kwa wale wazee kidogo tutakumbuka kipindi hicho kuna tovuti tulizitumia sana mfano
👉Waptrick
👉Toxicwap
👉Redwap
Na nyingine nyingi. Kitu gani ukikaa unakikumbuka?😂 Ipi ulipendelea zaidi kutembelea.
Multiple outages hit social media, government and news websites across the globe on Tuesday morning, with some reports pointing to a glitch at U.S.-based cloud computing services provider Fastly.
Reuters could not immediately confirm the issue affecting the sites.
Fastly said it was...
Hii tovuti wananchi.go.tz inaendeshwa na iko chini ya Wizara ya habari, utamaduni na michezo.
Lengo lake kubwa ni kwa kila mwananchi mwenye kero, malalamiko, maoni, ushauri, kutoa ripoti za uhalifu, rushwa nk kuandika kero au taarifa yake kwa maandishi na wao wizara wanaipokea na kisha...
Aliyekuwa Rais wa Marekani, Donald Trump ameanzisha tovuti yake ya mawasiliano kwa lengo la kuchapisha taarifa “moja kwa moja kutoka mezani kwake.”
Trump, ambaye alifungiwa katika mitandao ya kijamii kwa kudaiwa kuchochea vurugu katika Jengo la Bunge la Marekani Januari 6 mwaka huu, anatumia...
Zifuatazo ni tovuti bora ambazo zitakuwezesha kusoma tovuti bure au kwa gharama
1. Jamiiforums
Tembelea tovuti ya Jamiiforums kisha nenda katika jukwaa la Sports & Entertainment halafu chagua jukwaa la Entertainment
Katika jukwaa hili utaweza kusoma simulizi na chombezo mbalimbali bure...
Wadukuzi wa Myanmar wamedukua tovuti za serikali baada ya Internet kuzimwa kwa siku ya nne mfululizo.
Tovuti zilizodukuliwa ni pamoja na Tovuti ya Jeshi ya Kufanyia Propaganda, wavuti ya kituo cha Matangazo cha Taifa, tovuti ya mamlaka ya bandari na ya mamlaka ya chakula na Dawa.
Kundi...
Nakumbana na tatizo wakati wa upakiaji maudhui (Picha/Video) Instagram kupitia kompyuta. Nimetumia mbinu mbalimbali kuweza kutatua na kila jitihada pasi ya mafanikio, nawaza yaweza kuwa tatizo toka Istagram moja kwa moja. Kuna yeyote amekumbana na tatizo hili, Ipo namna ya kulitatua?
Blog ni nini?
Blogu ni aina ya tovuti ambayo inatoa taarifa za kila siku za tasnia Fulani, machapisho katika bloghuwekwa mara kwa mara ili kutoa taarifa husika za kila siku.
Taarifa hizi za kila siku zinaweza wekwa kwenye blog zinaweza zikawa habari, tetesi muziki na matukio.
Mfano wa blogu...
Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha kuhusu hukumu mbali mbali za Uislamu, ndani ya kitabu hiki kuna milango mitano nazo ni: a) Twahara...
Kila nikijaribu kuingia kwenye tovuti ya TIN ya TRA napata error messages.
Hii inakera sana tena sana!
Cha ajabu, leo asubuhi kupitia Richard Kayombo, TRA wanajinadi kwenye EFM Radio eti kila kitu kuhusu TIN kimerahisishwa kupitia tovuti ya TRA?
Lakini siyo kweli hata kidogo. Tovuti ya TIN...
Nimeambatanisha screenshot 2. Moja ni tovuti ya chadema na ya pili ni tovuti ya republicans wa Marekani. Japo siungi mkono GOP ninataka CHADEMA kuona aibu hii ya kuwa nyuma sana kutoa mrejesho kwa watu wenye mapenzi na chama.
Mtandao wa Twitter umethibitisha kudukuliwa kwa akaunti hiyo na kueleza kuwa wadukuzi wakuwa wakiwaomba wafuasi michango ya fedha kupitia sarafu za mtandaoni (cryptocurrency)
Tukio hili linajiri ikiwa ni wiki kadhaa tangu akaunti za Twitter za watu mashuhuri zidukuliwe
Uongozi wa Twitter...
Habari, Matarsoft Company inatoa huduma ya kutengeza tovuti ya aina yoyote kwa bei rahisi. Bei yetu ni kuanzia laki moja na nusu (150,000 Tsh)
Mambo yanayopatikana katika huduma zetu.
1. Designing
2. Hosting
3 Domain Name (.com and so on)
4. Seo optimazation
5. First visitors
6. Payments...
Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni.
Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
Habari za leo wanajamvi,
Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati.
Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
Tunatoa huduma ya kutengeneza website (tovuti) kwa bei nafuu. Tunahudumia wateja mikoa yote na hata nje ya nchi.
Malipo ya kutengeneza tovuti unalipa baada ya kazi kukamilika
Tumenefanya kazi na wateja kutoka mikoa mingi ya Tanzania na nje ya nchi pia (Canada & Sweden).
Bei > TZS 450,000...
Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ikitumika vizuri katika sekta ya elimu itasaidia kujenga mazingira mazuri na kuwezesha kuwepo kwa mbinu bora katika ufundishaji na ujifunzaji. Nimetembelea tovuti mbalimbali za elimu hapa TANZANIA, Nimeona mapinduzi makubwa katika sekta ya elimu hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.