Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umekusanya Tsh. 150.04 bilioni kutokana na tozo za matumizi ya Daraja la Nyerere Kigamboni katika kipindi cha miaka 10 tangu lilipoanza kutumika Mei 2016.
Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Masha Mshomba amesema hayo Jumatatu, Septemba 21, 2026 jijini Dar es...